Pages

Subscribe:

Tuesday, April 4, 2017

NEYMAR JR APEWA JINA JIPYA NA KOCHA LUIS ENRIQUE

Kocha wa Barcelona Luis Enrique amemwita Neymar “mnyama” baada ya mshambuliaji huyo, kufunga bao lake la 100, katika ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Granada.

Mshambuliaji huyo wa  kimataifa wa Brazil, alifikia idadi hiyo mabao, katika michezo 177, akimzidi Lionel Messi, mabao 10, kipindi...
Muargentina huyo, naye akifiksha idadi kama hiyo ya mabao 100.
Enrique, amesema Neymar, ana uwezo wa hali ya juu, na angependa kumuona akifunga mabao mengine 900, ili afikishe mabao 1000, kwa kuwa bado ataendelea kubaki Barcelona.

“Natumai atafunga mabao mengine 900, hivyo tutaendelea kumuona kwenye klabu ya Barcelona kwa miaka mingi ijayo,” Alisema Erique.

Ushindi huo unamaanisha Barcelona, wana tofauti alama mbili na vinara wa ligi ya Hisapnia, Real Madrid, inangawa timu hiyo, ya kocha Zidane ina mchezo mmoja mkononi.

0 comments:

Post a Comment