Pages

Subscribe:

Tuesday, April 4, 2017

BABU TALE AISHIWA KIFO MWENYEWE ASEMA HAYA


Siku chache zilizopita katika mitandao ya kijamii tulishuhudia majibizano kati ya Mkurugenzi wa kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo na meneja wa msanii Diamond Platnumz, Babu Tale, Ikiwa majibizano hayo yalianza kwa Eric Shigongo baada ya kuandika ujumbe mrefu kumuhusu msanii Diamond Platnumz akilenga kile ambacho anahisi hakiko sawa kufanywa na msanii huyo.

Babu Tale kwenye exclusive interview na amefunguka kuhusu suala hilo na kudai kwamba ametishiwa maisha na tayari amekwisha...
itahadharisha familia yake endapo kuna baya litakalo mkuta basi familia yake itajua mtu wa kumuwajibisha.
 
“Tatizo letu kubwa ni biashara tu, hajaanza leo kuiandika biashara yangu vibaya, kaanza kipindi ambacho magazeti yana nguvu, lakini sasa hivi hayana nguvu tena. Biashara ya sisi na yeye ilikuwa haimuhusishi Diamond, ilikuwa inamuhusisha Harmonize lakini amemzungumzia Diamond kwasababu Diamond ni mkubwa.”

0 comments:

Post a Comment