Pages

Subscribe:

Thursday, January 28, 2016

DIAMOND PLATNUMZ KUMSAINI RICH MAVOKO KWENYE LEBO YA WASAFI

Staa wa Africa na Bongo flava, Diamond Platnumz ameendelea kuonyesha nia yake ya kuwasaidia wengine kukua kimuziki baada ya kufikia hatua kumsainisha Rich Mavoko kwenye lebo yake ya Wasafi.

“Rich Mavoko mara ya mwisho nilikuwa natakiwa nimsaini wasafi, Rich mavoko alitakiwa awe signed wasafi kabla ya nyimbo yake hii kutoka, ilitakiwa ikitaka awe chini ya wasafi, lakini kuna vitu vilichelewesha kwasababu kulikuwa na...

PENZI LA ASLAY NA TESSY CHOCOLATE LAYEYUKA

Msanii wa kundi la Yamoto Band, Aslay Isihaka ametangaza kuwa yupo single. Kabla ya hapo, Aslay aliwahi kuweka hadharani uhusiano wake na video model aitwaye Tessy Chocolate.

Hata hivyo siku za hivi karibuni muimbaji huyo aliacha kupost picha za mrembo huyo kwenye mtandao wa Instagram kiasi cha watu kuanza kuhisi kuwa mambo yameharibika. Wiki hii aliiambia E-Newz ya East Africa Television kuwa kwa sasa...

Download: Peter Msechu x Ben Pol_Nyota Ya Samboira

Peter Msechu & Ben Poul

Download

DIAMOND HANA BIFU NA IDRIS, AMTUMIA SALAMU ZA BIRTHDAY

noma


Hutakiwi kuwa na kinyongo na boyfriend wa ex wako hata kama amempa ujauzito, kwa mujibu wa Diamond Platnumz.

Diamond amemtumia Idris salamu za pongezi kwenye siku yake ya kuzaliwa Alhamis hii. Hatua hiyo imekuja wakati ambao kila mtu anadhani Diamond na Idris haziivi tena kwakuwa mshindi huyo wa Big Brother Africa 2014 amepokea...

Download: Young Killer ft Lonka_Insta Message


Download

Download: Lady Kaya ft Harmonize_Wivu Wa Nini


Download

Download: Zadii_KimbauMbau


Download

PACHA WA KANUMBA ADAIWA KUWA MHAMIAJI HARAMU KUTOKA...


RAMMY34
Mkali wa filamu Bongo, Rammy Gallis ‘Pacha wa Kanumba ’ anadaiwa kuishi nchini bila vibali maalum, jambo linalomuweka hatarini muda wowote kuweza kutimuliwa Bongo kutokana na tumbuatumbua ya Serikali ya Rais John Pombe Magufuli inayoendelea.
 
Kwa mujibu wa chanzo, kuna hatihati kubwa ya msanii huyo ambaye wengi wamezoea kumuita Msomalia kufungashiwa virago kwani hana uhalali wa kuendelea kuwepo nchini. “Yaani kwa hii...

WEMA AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSU UHUSIANO WAKE NA IDRIS

WEMA232

Ikiwa leo Idris Sultan anasherekea miaka yake kadhaa ya kuzaliwa, mpenzi wake Wema Sepetu amefunguka haya kwenye ukurasa wake mtandaoni kuonyesha dunia ni jinsi gani alivyozama penzini kwa kijana huyo ambaye ni mshindi wa BBA 2014.

Nimeandika na kufuta karibia mara mia maana kila ninachotaka kuandika najikuta naona hakifai and maybe hakitoshi…. Im busy looking for the Proper words to tell you how I truly feel bu...

FOYSA SPORTS ACCADEMY YAANZA MAZOEZI RASMI


 See More Photos Here...

Download: Country Boy ft G-Nako, Chid Benz, Stamina & Climax Bibo_Mtaa Kwa Mtaa (rmx)


Download

Download: Kimbunga_Asanteni Kwa Kura (Asanteni Kwa Kuja)


Download

Download: Mike Tee_Kiduchu


Download

Wednesday, January 27, 2016

Lyrics: Rihanna ft Drake_Work

Work, work, work, work
Work, work
You see me I be
Work, work, work, work
Work, work, work
You see me
Do me dirt, dirt, dirt, dirt
Dirt, dirt, dirt
Work, work, work, work
Work, work
When you gonna learn, learn, learn, learn, learn, learn
Join me I deserve it...

Watch & Download: Wiz Khalifa_Hello (By Adele)


Watch Here

Download: Rihanna ft Drake_Work


Download

DIAMOND: SWIZZ BEATZ ANATAKA NIFANYE NAYE KAZI

Producer na Rapper wa Marekani, Swizz beatz hakuishia kuicheza ‘Nana’ na ‘Nataka kulewa’ za Diamond hivi hivi bali anataka kufanya nae kazi. Akiongea na Ayo Tv, Diamond amesema Producer huyo ambaye pia ni Mme wa Alicia keys alimtafuta hivi karibuni kwa lengo la kutaka waingie studio. 

“Kuna Collabo na watu wengi sana Kwa mfano kama juzi, juzi kati nafikiri, kama siku tatu nyuma hivi Swizz alinicheck akanambia itabidi tufanye kazi nikamwambia...

Download: Usher ft Ty Dolla Sign_Freak


Download

Watch & Download: KIBOKO KABISA BEHIND THE SCENE 1

majuto24

Watch Here

PICHA YA KIMAHABA YA JOKATE NA ALI KIBA YAZUA GUMZO

Penzi la Jokate Mwegelo na Alikiba linazidi kupamba moto. Wawili hao wanaonekana kuanza kukubaliana na ukweli kuwa hawawezi tena kuyaficha mahaba yao kiasi cha kuanza kufanya photoshoot za pamoja za mradi ambao...

BARAKAH DA PRINCE AKANA KUWA NA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA NISHA

Hatimaye Baraka Da Prince ameweka wazi kuwa hakuna uhusiano wowote wa kimapenzi na Staa wa Bongo Movie Nisha ila mashabiki ndiyo wanakuza mambo. Baraka amesikika kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Afrika Radio, akisema yeye na Bi dada ni washikaji tu na wamekuwa...

Tuesday, January 26, 2016

RAPPA KUTOKA TANZANIA ATAJWA KUWANIA TUZO ZA KORA NCHINI NAMIBIA

Rapper Wakazi kutoka hapa home Tz ambaye ni mkali kwenye anga za muziki wa Hip Hop ameingia kwenye Kinyang’anyiro cha kuwania tuzo “Kora_Awards ” ya Best Hip Hop Act 2016,  Tuzo ambazo zinategemea kutolewa...

AY AFANYA RMX YA ZIGO ILI KUWAPA FUNZO WASANII WA NDANI

12509174_10153372908158379_166997376138407366_n

AY alisema kuwa amefanya Zigo rmx na Diamond ili kuwapa funzo wasanii wenzake wa ndani. Amesema kufanya remix ya wimbo huo na Diamond ni kuwaaminisha wasanii wa ndani kuwa wanaweza kufanya kolabo zao wenyewe kwa wenyewe na kwenda kimataifa.
 
“Dhana kubwa ya kufanya kazi na ‘artist’ mwenzangu wa nyumbani ni kuonesha kuwa tunaweza kutengeneza wimbo mkubwa na ukafanya vizuri Afrika nzima bila...

TIFFAH NA KAIRO MTOTO WA AKA WAKUTANISHWA

12543216_218441638491274_1431632084_n
See more pics inside...

FAIZA ATUMIA NJIA HII KUFIKISHA UJUMBE KWA SUGU

FAIZA ALLY42
Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally ambaye ni mzazi mwenzie na Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameamua kutumia mtandao wa instagram kumfikishia ujumbe mzazi mwezie kuhusu matunzo ya mtoto kwa madai kuwa kwa sasa hawana mawasiliano.
 
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao huo, Faiza aliweka video ya mtoto wao Sasha akimuomba hela baba yake (Sugu) yakusukia nyewele na kisha Faiza akaandika;
“Anae mjua baba wa huyu mtoto amwambie...

DAVINA: SIPENDI SCENES ZA KUSHIKWA SHIKWA KITANDANI


halima yahaya23
Msanii mkongwe wa filamu, Halima Yahya maarufu kama Davina, amesema katika maisha yake ya sanaa ya uigizaji hapendi scenes za mapenzi hasa hasa zile zinazomtaka aonekane akishikwa shikwa kitandani.
Muigizaji huyo ambaye ni mama wa watoto watatu, amekiambia kipindi cha Papaso cha TBC FM kuwa...

ZARI: WAKINIITA BI KIZEE HUWA NAJIANGALIA KWENYE KIOO NAJIONA...

Zari amekuwa akitupiwa maneno mengi ya kashfa kupitia mtandao wa ‘Instagram’ hasa kuhusu suala la umri wake kuwa ni mkubwa kuliko mpenzi wake Diamond. ‘’Naona kwenye Instagram wakiniita mie mzee,lakini nitafanyeje,lakini nikijiangalia kwenye kioo najiona...

Download: Stamina ft Mr Blue_Panga Pangua



Download

Download: Muba Kaniki_Kizunguzungu


Download

Download: Abby Skillz_Mama Koku


Download

Download: Baghdad ft Stamina_Kama


Download

Friday, January 22, 2016

Download: Kanye West ft. Miley Cyrus & Travi$ Scott_Black Skinhead (Remix).mp3


Download

DIVA AKANUSHA KUMENDEWA NA BILLIONEA WA ARUSHA

20160121022325


Mtangazaji wa Clouds FM, Diva Tha Bawse amekanusha taarifa iliyoandikwa na gazeti la udaku la Kiu kuhusu kumendewa na bilionea wa Arusha.

Habari hiyo ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho ‘Bilionea wa Arusha amsaka Diva wa Clouds.’

“Tell them am looking for the real thing ‘a commitment’ and that’s hard to find kipitia magazeti,” Diva ameiambia Bongo5.
“In case kweli wana nia waje watoe posa kwa Mzee Malinzi and...

BARAKA DA PRINCE ATUA NAIROBI KUFANYA COLLABO NA SAUTI SOL

12424466_531579763683010_1534350619_n


Barakah Da Prince amedai kuwa hivi karibuni ataenda Kenya akiwa na producer wa AM Records, Bob Manecky kwaajili ya kwenda kufanya collabo na hitmakers wa ‘Uliza Kiatu’ Hartband pamoja na bendi maarufu zaidi Afrika Mashariki, Sauti Sol.


Akiongea kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumamosi iliyopita, Barakah amesema lengo lake kubwa la kufanya hivyo ni...

MSAMI: IRENE UWOYA BADO ANANIPENDA

Irene Uwoya akiwa na mpenzi wake Msami (600x400)


Msanii wa muziki ambaye pia ni mwalimu wa dance, Msami amesema bado anapendana na Irene Uwoya.
Msami aliiambia Ayo TV Junatano hii kuwa kila siku amekuwa akiambiwa anapendwa na mwanadada huyo. “Najua kwamba ananipenda na amekuwa akiniambia mara nyingi mpaka...

ALIKIBA: SIJUI KUTONGOZA NA WALA SIJAWAHI KUTONGOZA MWANAMKE

Mwanamuziki machachari wa Bongo Flava Ali Kiba Amefunguka kwenye kipindi cha Sporah Show kuwa toka ajue kitu mapenzi hajawahi tongoza msichana na hajui kutongoza..Amedai wanawake wote ambao amewahi kuwa nao kimapenzi hakuwatongoza bali...

Thursday, January 21, 2016

Download: AY ft Diamond Platnumz_Zigo (rmx)


Download

ZARI: SINA HAJA YA KUPIMA DNA TIFFAH NI MTOTO WA DIAMOND

zari11
Kwa wiki kadhaa kwenye kwenye mtandao wa Instagram kumekuwa na majibishano ya vijembe kati na Wema Sepetu na Zari hasa kuhusiana na uhalali wa mtoto wa Tiffah kama ni wa Diamond. Zari amepiga stori na @cloudsfmtz moja kwa moja kutoka Sauz.

‘’Ngoja nikwambie kitu mimi ni mzazi ni muda mrefu Wema na timu yake wamekuwa wakimsema mtoto wangu…Mara Oooh Tiffah Katunzi…Tiffah Ivan..Sasa ninachoshangaa Wema hayupo na Diamond sasa mambo ya...

WEMA ADAI KUWA KAJALA NI MTU MZIMA LAKINI HANA...

WEMA6521
Wema Sepetu amesema hataki tena kuwa karibu na rafiki yake wa zamani Kajala Masanja kwa madai alishindwa kumtafuta na kumuomba msamaha kwa makosa aliyoyafanya.

Akizungumza katika kipindi cha Take One cha Clouds TV, Wema alisema Kajala kwa sasa anamchukulia kama mtu asiyemfahamu.
“Mimi mtu ambaye sitaki kujiassociate naye namtoa kabisa ndio maana naweza nikakaa nikakuuliza Kajala ni nani? Huu sio muda wa...

PICHA FEKI ZA LINEX ZAMPA PRESHA MAMA YAKE

Linex


Linex hakuwashtua mashabiki wake tu kwa picha za harusi kwenye Instagram, bali pia mama yake.

Hata hivyo Linex amedai mama yake alipata mshtuko wa furaha baada ya kuamini kuwa hizo ni dalili za mwanae kuja kuoa siku moja. “Hizi picha tukio linaweza kutokea kweli,” alikiambia kipindi cha E-News cha East Africa Television.
 
“Hata mama yangu baada ya kuona tukio na kumwelekeza akasema inawezekana mwanangu unajitabiria kuoa. Kwahiyo mama yangu...

Download: Darassa ft Rich Mavoko_Kama Utanipenda


Download

Wednesday, January 20, 2016

SHETTA ANAMILIKI "LAND ROVER DISCOVERY"

12530799_1551691211823124_755153642_n


Shetta ni miongoni mwa wasanii wachache wanaotembelea gari za kifahari Bongo.

Muimbaji huyo wa Shikorobo anatembea Land Rover Discovery. Akizungumza kwenye kipindi cha E-Newz cha East Africa Television Jumatatu hii, Shetta alisema kwa sasa hataki kusema chochote kuhusiana na chuma hicho hadi baadaye.
 
“Sitaki kuzungumzia suala la gari, acha sasa hivi iende ende kwanza,” alisema.
Diamond, Nay wa Mitego, Wema Sepetu, AY na wengine ni...

Watch & Download: Tunda Man_Mama Kijacho [Official Video]

Mama-Kijacho-1

Watch Here

PRODUCER WA KENYA AELEZA JINSI ALIVYO MSHIRIKISHA WILLOW SMITH KWENYE WIMBO WAKE


ukweli-715x715
Producer na Mwanamuziki wa Kenya,  Brendern Denousse aka Ukweli amemshirikisha Mwanamuziki wa Marekani, Willow Smith kwenye wimbo wa “Get Lost,”.
Ukweli amesema alitengeneza beat la wimbo huo kisha akamtumia msanii mpya wa Marekani , JABS ambaye alikutana naye kwenye mtandao wa Soundcloud lakini kitu kizuri zaidi, baada ya miezi mitatu wimbo huo ulitoka ukiwa na...

Lyrics: Adele_Hello


Hello, it's me, I was wondering
If after all these years you'd like to meet to go over everything
They say that time's supposed to heal, yeah
But I ain't done much healing


Hello, can you hear me?
I'm in California dreaming about who we used to be
When we were younger and free
I've forgotten how it felt before the world fell at our feet

There's such a difference between us
And a million miles

UONGOZI WA DIAMOND WAITOLEA UFAFANUZI KAULI YA DIAMOND KUHUSU KUIDHINISHA NYIMBO ZA BONGO KUPIGWA MTV BASE

Uongozi wa Diamond umeitolea ufafanuzi kauli ya Diamond  kuhusu kuidhinisha video za wasanii wa Bongo kupigwa kwenye kituo cha MTV Base.
“Ingekuwa kweli nyimbo ya Harmonize ambaye ndio msanii wa Diamond, ingekuwa Exclusive MTV au ingekuwa inapigwa kila siku kwasababu ndio biashara yake, si ndio, hilo sio neno la kweli, yule aliyetoa hiyo habari amechukua...

PICHA YA NUHU NA SHILOLE JINSI WALIVYO KUTANISHWA

NISHA KUFUNGUA 2016 NA KIBOKO KABISA

nisha32
MCHEKESHAJI mahiri katika tasnia ya filamu Salma Jabu ‘Nishabebee’ amesema moja ya sababu ya yeye kuwa mahiri ni kutokana na kuwasikiliza mashabiki zake wanahitaji sinema gani ndio imemfanya asishuke na kuwa nyota na kwa kuliona hilo anakuja na filamu ya Kiboko Kabisa kuukaribisha mwaka 2016.

“Nimejifunza kitu wapenzi wa filamu zetu wanalalamika kuhusu hadithi zetu mapenzi mapenzi kwa staili moja lakini kuna sehemu zimesahaulika, katika Filamu yangu ya Kiboko kabisa utagundua maisha ya...