Pages

Subscribe:

Friday, January 22, 2016

ALIKIBA: SIJUI KUTONGOZA NA WALA SIJAWAHI KUTONGOZA MWANAMKE

Mwanamuziki machachari wa Bongo Flava Ali Kiba Amefunguka kwenye kipindi cha Sporah Show kuwa toka ajue kitu mapenzi hajawahi tongoza msichana na hajui kutongoza..Amedai wanawake wote ambao amewahi kuwa nao kimapenzi hakuwatongoza bali... ilianza tu kama ushikaji na mwisho kujikuta wameshakuwa wapenzi bila kujua.... Kwa sasa Ali Kiba anatoka na Mrembo Jokate...Kumbe na Hakutongozwa eehh!

0 comments:

Post a Comment