Pages

Subscribe:

Thursday, November 30, 2017

HAMISA MOBETTO AGUSWA NA NIACHE YA DIAMOND PLATNUMZ

November 27,2017 msanii Diamond Platnumz aliamua kuachia nyimbo zake mbili ambazo ni “Niache” na “Sikomi” na baadae mwanadada Hamisa Mobetto ambaye pia ni mzazi mwenza alipost kipande cha wimbo huo wa ‘Niache’ kupitia mtandao wake wa Snapchat na kisha kuandika ujumbe ambao umetafsiriwa kwa namna tofauti na wanaotumia mitandao hiyo.

Jambo hilo limefanya mashabiki waongee maoni yao, huku wengine wakisema Hamisa ameguswa na hivyo amemjibu Diamond baada ya...

FEROOZ: WIMBO WANGU MPYA UMENIPA MATUMAINI MAPYA

Msanii wa muziki wa bongo fleva, Ferooz ambaye anafanya vyema na wimbo wake 'Nakaza roho' ameweka wazi kuwa alichoimba kwenye wimbo huo ni ukweli mtupu na kusema kuna watu wake wa karibu kama Prof Jay, Chege wamempa kisogo. 

Ferooz akipiga stori na mwandishi wa tovuti ya EATV amesema kuwa watu wake wa karibu wengi wao walimtenga na kumuweka pembeni na kudai hata...

STORY: NALIA NA NAFSI YANGU (Sehemu Ya Nne) 04

Related image
sehemu ya:4
Mtunzi: Agatha Francis


Au wewe ndiye mtu unayejua kulea watoto wa wenzio kabla huzaa wa kwako, kaka yangu vipi wewe", Mke wa Baraka aliongea maneno yale kiasi kwamba mumewe na nduguye Mark walibaki wakishangaa, mama Careen machozi yalimtoka tu hakuweza ongea chochote kile lakini mkewe Baraka hakujali yote hayo aliendelea.


"samahani mama Careen, kaka yangu najua ananiheshimu na kunisikiliza hawezi kuoa mwanamke ambaye tayari umezaa vipi mumeo akirudi si na wewe...

Download: Timbulo_Vibaya


Download

Watch & Download: Alikiba_MAumivu Per Day (Official Video)


Watch Here

Download

Watch & Download: Abdu Kiba ft Alikiba_Single (Official Video)


Watch Here

Download 

TEGEMEA COLLABLE HII KUTOKA KWA HARMONIZE NA SARKODIE


Msanii wa muziki wa Bongo Flava kutoka label ya WCB, Harmonize ameingia location kufanya video na rapper kutoka nchini Ghana, Sarkodie.

Muimbaji huyo ambaye anafanya  vizuri na ngoma ‘Shulala’ ambayo amemshirikisha Korede Bello kutoka Nigeria amezidi kuonyesha njaa ya kutusua kimataifa. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ame-share...

ENOCK BELLA AFUNGUKA UKWELI JUU YA MAROMBOSO KUZUIWA NA WCB KUPIGA SHOW


Mwisho mwa weekend iliyopita kundi la Yamoto Band lilitumbuiza katika tamasha la Fiesta lakini msanii Maromboso hakuwepo, sasa Enock Bella amejibu kuhusu hilo.

Enock amekanusha uvumi kuwa Maromboso alizuiwa na uongozi wake wa sasa, WCB kuhudhuria show hiyo ambayo Aslay ndiye aliyewaita Enock na Beka Flavour jukwaani,
Muimbaji huyo ameendelea kwa kusema Maromboso alikuwa...

HIKI NDICHO ALICHOKIFANYA BARAKAH SIKU YA KUZALIWA ALIKIBA


Tokeo la picha la baraka da prince na alikiba
Kwa muda mrefu sasa wadau wengi wa muziki wa Bongo Fleva wamekuwa wakiamini kuwa Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Barakah The Prince na mfalme wa Bongo Fleva, Alikiba wana bifu au tofauti miongoni mwao baada ya Baraka The Prince kujitoa kwenye lebo ya RockStar4000 ambayo ipo chini ya Alikiba na Meneja wake Seven Mosha.

Ukweli ni kwamba Barakah The Prince hana tofauti/bifu  yoyote na Alikiba kama ambavyo mashabiki wengi wa Alikiba na wadau wa muziki walivyokuwa Hitmaker huyo wa Sometimes kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha hilo kwa...

MWAMUZI AVUNJA HISTORIA YA MIAKA 15 YA LEBRON JAMES


CLEVELAND, OH - NOVEMBER 01: LeBron James #23 of the Cleveland Cavaliers celebrates a second half basket while playing the Indiana Pacers at Quicken Loans Arena on November 1, 2017 in Cleveland, Ohio. Indiana won the game 124-107. 

NOTE TO USER: User expressly acknowledges and agrees that, by downloading and or using this photograph, User is consenting to the...

Wednesday, November 29, 2017

STORY: NALIA NA NAFSI YANGU (Sehemu Ya Tatu) 03

Related image
sehemu ya:3 
Mtunzi: Agatha Francis

"mbona unagubu sana mke wangu jamani", alipofika hapo aliona sura ya mke wake ikibadilika na kwakua alimjua mke wake ni mkorofi ilibidi aanze kujichekesha akisema"mke wangu bhana, muache bwana shemeji achukue jiko ndiyo mda wake sasa", mke wake hakujibu jibu kwani maneno ya mume wake hakuyapenda.

Basi mambo muhimu ya nyumbani yalifanyika siku ile nakusubiri kesho ambayo Mark alihaidi atapeleka mke kwa dada yake. Siku ilipofika mkewe Baraka...

Download: Mafikizolo ft Harmonize_Don't Go


20 out now! Hope we listening, giving away another double ticket to the show this Saturday. #mafikizolo #20

Download

ETO'O AFUNGUKA BAADA YA TAARIFA KUSAMBAA KUWA AMELIPIA NDEGE IWARUDISHE WAHAMIAJI WA CAMEROON WALIO KWAMA LIBYA


Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Antalyaspo ya nchini Uturuki, raia wa Cameroon, Samuel Eto’o Fils amekanusha tetesi zilizosambaa mtandaoni kuwa amewalipia tiketi za ndege wahamiaji wa nchi hiyo waliokuwa wamekwama Libya kurejea makwao. 

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Eto’o amesema kuwa tetesi hizo hazina ukweli wowote. Ameandika...

ALICHO KIJIBU DOGO JANJA BAADA YA KUULIZWA KWANINI HAKUMSINDIKIZA UWOYA RWANDA


Hakikisha maneno yako na matendo yako vinafanana...

Tokea Janja amuoe Uwaya wawili hao hawajawahi kuonekana wakitoka pamoja kwenda mahali popote, alipo ulizwa kama anaweza kutoka na Uwoya Janja alisema, Of-coarse She is my wife lakini sisi tunaishi Private sana na kutoka nae muda wowote inawezekana kwa sababu Uwoya ni mke wangu.

Dogo Janja ambae ni Mume wa Mwigizaji Irene Uwoya aliulizwa kwanini hakumsindikiza Mke wake Rwanda kwenye msiba wa Ndikumana ambae ni...

MBUNGE GODBLESS LEMA AMJIBU MANGE KIMAMBI KUPITIA TWITTER

Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amemtoa wasiwasi mwanadada anayefahamika kama mwanaharakati wa mitandaoni Bi. Mange Kimambi kuwa asijali kwani wananchi watatoa maamuzi juu ya kilichotokea kwenye uchaguzi mdogo Jumapili iliyopita.
 
Lema amelazimika kumuondoa wasiwasi mwanadada huyo baada ya kuonyesha hisia za hasira kwaviongozi wa upinzani ambao wamekuwa...

BROWN WA JACQUELINE WOLPER AFUATA NYAYO ZA NUHU MZIWANDA

Brown Achora Tatoo Yenye Jina la Wolper Kifuani Mwake
‘Kiben’teni’ Wolper, Barnaba Lukindo maarufu kama ‘Brown’, ameonyesha mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake mkali wa sinema za Kibongo ambaye kwa sasa hivi ni mbunifu wa mavazi, Jacqueline Wolper Massawe, kwa kuchora tatoo kwenye kifua chake yenye jina la mdada huyo.
 
Brown amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii na kuonekana...

WATANZANIA RUKSA KUMILIKI ARDHI NA KUISHI KENYA BILA MASHARTI


“As a mark of our continued commitment to you, our Brothers and Sisters in the East African Community; from today, you will be treated like Kenyans. Like your Kenyan brothers and sisters, you will need only your identity card,” he said, adding that “You can now work, do business; own property, farm and if you wish, and find a willing partner, you can marry and settle in Kenya.”
“Our Brothers and Sisters in the East African Community, you are our closest friends; our fate and yours are joined at the hip; our troubles and triumphs are...

PICHA 9 ZA TUNDU LISU AIPO TEMBELEWA NA MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana tarehe 28 Novemba, 2017 amemjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu anayepata matibabu katika hospitali ya Nairobi nchini Kenya.

Mhe. Samia Suluhu Hassan amemfikishia salamu za pole kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ambaye amemtakia matibabu mema na...

KENYA KUONGOZWA NA MARAIS WAWILI..!!! ODINGA ATANGAZA TAREHE YA KUAPISHWA

Kiongozi wa Upinzani Kenya NASA, Raila Odinga amesema anatarajia kuapishwa kuwa Rais wa nchi hiyo Desemba 12, mwaka huu ambayo itakuwa siku ya uhuru wa Kenya.

Odinga ametoa kauli hiyo ikiwa katika uwanja wa Jacaranda saa chache baada ya Rais Kenyatta kuapishwa kuwa Rais katika uwanja wa Kasarani, Hata hivyo, wakati Odinga akisema hayo, Rais Kenyatta mara baada ya kuapa amewaambia na wananchi wa Kenya kuwa hakutakuwa na...

Tuesday, November 28, 2017

MR NICE: HATA PESA ZA KUMSAIDIA DUDU BAYA BADO NINAZO


Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Mr. Nice amesema anajua kwa sasa Dudu Baya ana hali mbaya ila kama msanii huyo anatajitokeza yeye yupo tayari kumsaidia ili aweze kuendelea na muziki wake. 

Muimbaji huyo ambaye kipindi cha nyuma alikuwa na ugomvi mkubwa na Dudu Baya, ameiambia E-Newz ya EATV kuwa anapoishi nchini Kenya amekuwa akisaidia watu wengi hivyo haoni tabu...

KIFESI AKIMBIZANA NA MENEJA WA DIAMOND MTANDAONI


Kutoka Tanzania muziki umewafanya wanaojihusisha na tasnia hiyo kwa namna yoyote inayoweza kuwatengenezea idadi kubwa inayoweza kuwategenezea umaarufu wa kujizolea mashabiki kwa kiasi kikubwa ni kitu ambacho kinaendelea kati ya meneja wa kimataifa wa msanii Diamond Platnumz ‘Sallam Sk’ ambaye kivingne unaweza kumuita ‘Mendez’ na mpiga picha maarufu Tanzania ‘Kifesi’.

Kupitia akaunti za mtandao wa picha wa Instagram, wawili hao, yaani Mendez na Kifesi utagundua kuwa wako katika kasi ya kujipatia wafuasi wengi zaidi kupitia...

STORY: NALIA NA NAFSI YANGU (Sehemu Ya Pili) 02

Related image
Sehemu ya:2
Mtunzi: Agatha Francis

 "Sawa mume wangu sasa nimekuelewa sio unakua muoga unadhani tukiacha mali itakuaje ila itakua vizuri sasa ukimpigia simu kaka Mark pia aje maana peke yetu hatutoweza maana tangu aondoke hajarudi kabisa", mke wa Baraka aliongea.

Basi walicheka sana Baraka alimtania mke wake kwakusema mwanamke mbishi wewe ungekua mwanaume sijui ingekuaje usijali lakini Mark nampigia sasa hivi kaniletee...

SERIKALI YATANGAZA KUNUNUA CONDOM NA KUZIGAWA BURE NCHI NZIMA

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kununua kondomu zitakazosambazwa nchi nzima bure, kwa lengo la kupunguza maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Kinga kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Neema Rusibamaila wakatiu wa uzinduzi wa mkakati wa kitaifa wa kondomu na kueleza kwamba kondomu hizo...

KAJALA ATAMBA KWENYE VIDEO MPYA YA SAIDA KAROLI OMULILO

Video mpya ya 'Omulilo' ambayo ni kazi yake mwanamama Saida Karoli imeachiwa rasmi, huku Kajala akiigiza muhusika aliyeimbwa kwenye wimbo huo. 

Video hiyo inamuonyesha Kajala akiwa anaishi kwa shoga yake kipenzi, lakini licha ya kumsitiri anafanya kitendo kibaya cha kumtaka shemeji yake kimapenzi kwa kumtega kwa kumvalia...

BEKA FLAVOUR: ASLAY HANA MSAADA WOWOTE KWANGU

Msanii Beka Flavour ambaye ni moja ya zao la Yamoto Band, amesema kwamba baada ya kundi hilo kusambaratika hapati msaada wowote kutoka kwa wenzake kama ilivyokuwa awali. 

Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Beka amesema kwenye kazi zake za sasa msanii mwenzake Aslay hajamsaidia kitu chochote, na hata yeye hajampa...

EBITOKE AAMUA KUANIKA UZURI WAKE TAZAMA PICHA ZAKE 5 HAPA



Ebitoke ni Mchekeshaji kutoka kundi la Timamu. Ebitoke amepata umaarufu mkubwa kutokana na style yake ya kupaka mafuta mengi na wanja mpana pamoja na mavazi ya ‘kishamba’. Kutokana na style yake baadhi ya mashabiki wamekuwa wakimchukulia kama mtu mshamba na msichana ambaye si mrembo. 

Hiyo imekuwa ikifanya pindi anapoonekana kapendeza au nje ya muonekano wa awali watu kumkodolea macho. Sasa hizi ni baadhi ya picha ambazo ameamua kuachana na muonekano wake wa kuigiza. Tazama hapa chini...

T.I.D KUMCHUKULIA HATUA ZA KISHERIA BEN POL BAADA YA KUIMBA WIMBO WAKE



Msanii wa Muziki wa Bongo Flava, TID amesema hajapendezwa na kitendo cha Ben Pol kuimba ngoma yake katika tamasha la ‘Fiesta’ wakati yeye hakuwa sehemu ya tamasha hilo, Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo, East Africa Radio kuwa atazungumza na wakubwa wake pamoja na wanasheria wake ili kumchukulia hatua Ben Pol.

“Nina kesi moja na Ben Pol, huyo jamaa kwenye concert moja kubwa sana halafu ilikuwa na sponsored na wamemlipa hela nyingi lakini kwenye nyimbo zake alizofanya katika...

JAYDEE AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUSAINI LEBO YATAURUS


Baada ya msanii wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jadee kusaini kufanya kazi na label ya Taurus Musik amefunguka mambo machache. Lady Jaydee amesema label hiyo itakuwa ya pili kufanya nayo kazi tangu mwaka 2001, kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram Lady Jaydee ameandika;

Mara ya kwanza kabisa ku sign na record label ilikuwa 2001 ambapo nili sign mkataba wa Albums 2. Album yangu ya kwanza Machozi na album ya pili Binti  Baada ya hapo sikuwahi ku...

UVUMILIVU WAMSHINDA DIAMOND AIMBA MATATIZO YANAYO MKABILI KTK MAHUSIANO YAKE



Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz ameachia wimbo mpya wenye simulizi ya kinachomshinda katika kuishi maisha ya mahusiano ambapo hakuacha kusimuliza juu ya tukio lililotokea mpaka kupata mtoto wake wa tatu ‘Prince Abdul’ kwa mrembo Hamisa Mobetto.

Diamond Platnumz kama ilivyo kawaida yake kuyazungumzia mapenzi kwa malalamiko hakuacha kuwahusisha mtayarishaji wa kazi hiyo Lizer na dada yake Esma jinsi walivyomshauri juu ya...

Download: Diamond Platnumz_Niache

  Play Here 
Download

Download: Diamond Platnumz_Sikomi


Play Here 

Download

Sunday, November 26, 2017

Watch & Download: Beka Flavour_Sarafina (Official Video)

video-beka-flavour-sarafina

Watch Here 

STORY: NALIA NA NAFSI YANGU (Sehemu Ya Kwanza) 01


Related image

Sehemu ya:1
Mwandishi: Agatha Francis

Hapana mke wangu sio vizuri kugombana na watu kwa hali hiyo uliyonayo, tumuache tu, MUNGU mwema tutapata sehemu ingine nzuri zaidi ya ile, ilikua ni sauti ya kijana Baraka akiongea na mkewe, "Hapana mume wangu, eneo lile ni mali ya wazazi wangu, walipofariki waliniachia linisaidie katika maisha, sasa yeye Mzee Moto la kwake tangu lini, mimi siwezi kumuachia mume wangu, kwahili utanisamehe tu", mke alimjibu.

Mume wake huku akionekana kakasirika sana lakini Baraka aliendelea kwakusema" mke wangu si unajua mzee Moto alivyo mkorofi kijiji kizima kinamtambua kwamba ni mkorofi na isitoshe mke wangu ni...

Download: Single Sally_Asuu


Download

FAMILIA YA NDIKUMANA YATOA MAAMUZI JUU YA MTOTO WA MAREHEMU

Familia ya marehemu Ndikumana ambaye alikuwa mume wa muigizaji wa filamu Tanzania, Irene Uwoya, imesema iko tayari kumsaidia mtoto wao aliyeachwa na marehemu Hamadi Ndikumana, Krish Ndikumana, ili kuweza kufikia ndoto yake ya kuwa mcheza soka maarufu. 

Akizungumza na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, mdogo wa marehemehu Hamadi Ndukaman, Laddy Ndikumana, amesema wao kama familia wako tayari kuhakikisha...

MBALI NA KUTUMIKA KAMA MAJANI YA CHAI PIA MCHAI CHAI NI DAYA YA MATATIZO HAYA 9



Mchai chai ni mmea ambao unatambulika hapa nchini pamoja na Afrika kwa ujumla wake, lakini hapa nchini wengi huutambua mmea huu kama kiungo katika chai na husaidia kinywaji hicho kuwa na harufu nzuri.

Tafiti kadhaa zinaonesha kuwa mchaichai una vichocheo muhimu vinavyoweza kupamban ana athari kadha wa kadha tumboni, kwenye mkojo na hata kwenye vidonda. Wengine huamini kuwa mchaichai unaweza kutibu baadhi ya maradhi kama...

YANGA WAFANIKISHA MNASA KAYEMBE KANKU KTK USAJILI WA DILISHA DOGO


Klabu ya Yanga imefanikiwa kunasa saini ya beki wa kati, Fiston ‘Festo’ Kayembe Kanku kutoka klabu ya Balende FC ya DR Congo kwa  mkataba wa miaka miwili.

Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga iliyotolewa kupitiwa kurasa zao za mitandao ya kijamii  zimedai kuwa Kayembe alikuwepo nchini akifanya majaribio kwa muda mrefu chini ya...

DOGO JANJA APIGA SHOO NA VAZI LA KANZU KWENYE JUKWAA LA FIESTA


Ahsante Dar es salaam.... 📸: @yuzo_mnene

Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja jana usiku alipanda kwenye jukwaa la Fiesta kwa namna yake kwani kabla ya kuingia kwenye stage ilianza kwanza kuoneshwa video ya sherehe za harusi yake na Irene Uwoya.

Kama dakika mbili hivi na baadae aliingia kwenye jukwaa akiwa amevalia vazi aina ya Kanzu kitu ambacho...

NYOTA NDOGO AWATETEA AKINAMAMA NCHINI KENYA KWA UJUMBE HUU



Muimbaji kutoka nchini Kenya, Mwanaisha Abdalla a.k.a Nyota Ndogo ameambatanisha ombi lake kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta anayetegemea kuhapishwa 26 mwezi Novemba mwaka huu.

Akiyatumia maneno yanayoashiria kuguswa na uchungu wa kile chenye sura ya unyanyasaji wa akinamama na jinsia ya jamii ya watoto wa kike kwa ujumla, Nyota Ndogo amemuomba Rais Uhuru Kenyatta...

Friday, November 24, 2017

ROBINHO AKATANA KESI YA UBAKAJI NA KUKATA RUFAA



Kufuatia Mahakama ya nchini Italia kumuhukumu kifungo cha miaka tisa jela straika wazamani wa klabu ya AC Milan na timu ya taifa ya Brazili, Robinho hapo jana siku ya Alhamisi kwa kosa la kushiriki kumbaka mwanadada wa Albania tukio lililofanyika mwaka 2013, mwanasoka huyo aijibu mahakama kupitia mtandao wake wa Instagram.

“Nimeshachukua hatua zote za kisheria kwa ajili ya kujitetea, siku husika kwa namna yoyote kwenye tukio hilo kama...

Download: Mafikizolo ft Wizkid_Around The World


Download

Download: Davido_Like Dat


Download

HIZI NDIYO GARI ZA MKOLONI ZINAZO TUMIKA MPAKA LEO HUKO MADAGASCAR

Njia za usafirishaji hutofautiana kwenye nchi na nchi kutokana na maendeleo yake ya teknolojia na miundombinu. Kwenye pitapita za mitandaoni smashkilimanjaro imekutana na aina ya usafiri unaotumika katika Kisiwa cha Madagascar kilicho kwenye Bahari ya Hindi.

Katika kisiwa hiki moja kati ya usafiri mkuu ni gari aina ya Citroen’s 2CV ambazo hutumika kama taxi. Citroen’s 2CV inaelezwa kuwa ni gari ambayo kiasili ilikuwa inatumika na  bado inatumiwa katika...

BEKA FLAVOUR AENDELEA KUFUATA NYAYO ZA ASLAY


Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania,Bakari Katuti a.k.a Beka Flavour ameingiza kicha chake cha muziki wake katika mfululizo wa kuachia ngoma moja baada ya ngingine ndani ya muda mithiri ya jinsi anavyoendelea kufanya Aslay.

Beka akiwa ni mkali anayebaki katika masikio ya wengi kwa ngoma ya Libebe na Sikinai, ni miezi miwili tangu amechia rasmi kazi yake aliyomshirikisha mR. Blue ‘Tuwe Sare’ kisha ‘Unanimaliza’ sasa...

ENOCK BELLA: MUNGU KAMJAALIA ASLAY KIPAJI NA MTUNZI MZURI



Kwa namna msanii Aslay anavyoachia ngoma kila wakati, mashabiki wamekuwa wakitania huenda aliondoka na daftari la nyimbo katika kundi la Yamoto Band, sasa Enock Bella amejibu kuhusu hilo.

Muimbaji huyo wa ngoma ‘Sauda’ amesema hapana hilo halipo ni Mwenyenzi Mungu tu kamjalia Aslay kipaji na mtunzi mzuri kitu ambacho hata yeye...

JAYDEE APATA MANAGEMENT MPYA YA KUSIMAMIA KAZI ZAKE ZA SANAA



Malkia wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jaydee amefanikiwa kupata uongozi mpya ambao utasimamia kazi zake za muziki baada ya kuachana na Seven Mosha.

Akiongea na mtu wa karibu wa msanii huyo amethibitisha hilo kuwa Jide kwa sasa amepata uongozi huo mpya wa kampuni kutoka Nigeria ambao wanafanya kazi nchini Kenya. Chanzo hiko kimesema kampuni hiyo inafahamika kama...

HEMEDY PHD: WATOTO WANGU SITA WOTE WAMEPISHA MIEZI MIWILI MIWILI



Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Hemedy PhD amefunguka mambo kadhaa kuhusu yeye kuwa baba wa watoto sita, Muimbaji huyo ambaye anatamba na ngoma ‘January to December’ ameiambia Planet Bongo ya EA Radio katika watoto wake sita alionao wamepishana kila mmoja miezi miwili katika kuzaliwa.

“Mtoto wangu mkubwa ana miaka mitatu waliofuatia wote wanapishana miezi miwili miwili, sitaki drama kila mtu na mama yake lakini all in all...

Watch & Download: Godzilla_x (Official Video)


Watch Here

Download Mp4

Download: Beka Flavour_Sarafina


Download

CYRIL KAMIKAZE NDANI YA TUHUMA YA KUMZALILISHA FEZA KESSY

Star wa Bongo Fleva Cyril Kamikaze amefunguka kuhusu tuhuma zinazomkabili za kumzalilisha mpenzi wake Feza Kessy kwa kuanika picha inayoonyesha matiti yake katika mtandao wake wa instagram. 

Kamikaze amesema haoni tatizo lolote la ile picha kwani ni picha  ya kawaida sana na haijaonyesha kiungo chochote cha Feza anachojua ni kwamba picha ile inaonyesha sehemu kidogo ya...