Pages

Subscribe:

Sunday, November 26, 2017

DOGO JANJA APIGA SHOO NA VAZI LA KANZU KWENYE JUKWAA LA FIESTA


Ahsante Dar es salaam.... 📸: @yuzo_mnene

Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja jana usiku alipanda kwenye jukwaa la Fiesta kwa namna yake kwani kabla ya kuingia kwenye stage ilianza kwanza kuoneshwa video ya sherehe za harusi yake na Irene Uwoya.

Kama dakika mbili hivi na baadae aliingia kwenye jukwaa akiwa amevalia vazi aina ya Kanzu kitu ambacho...
ni nadra sana kukiona kwa wasanii wa muziki wa kidunia kuvaa vazi hilo kwenye majukwaa ya burudani.

0 comments:

Post a Comment