Pages

Subscribe:

Wednesday, November 29, 2017

ALICHO KIJIBU DOGO JANJA BAADA YA KUULIZWA KWANINI HAKUMSINDIKIZA UWOYA RWANDA


Hakikisha maneno yako na matendo yako vinafanana...

Tokea Janja amuoe Uwaya wawili hao hawajawahi kuonekana wakitoka pamoja kwenda mahali popote, alipo ulizwa kama anaweza kutoka na Uwoya Janja alisema, Of-coarse She is my wife lakini sisi tunaishi Private sana na kutoka nae muda wowote inawezekana kwa sababu Uwoya ni mke wangu.

Dogo Janja ambae ni Mume wa Mwigizaji Irene Uwoya aliulizwa kwanini hakumsindikiza Mke wake Rwanda kwenye msiba wa Ndikumana ambae ni...
mume wa zamani na walipata mtoto mmoja pamoja.
 
Dogo Janja hakuwa tayari kulijibu hilo swali na aliishia tu kusema “nadhani maswali ya msingi yameisha".

0 comments:

Post a Comment