Pages

Subscribe:

Wednesday, April 5, 2017

STORY: PENZI LA DADA (SEHEMU YA KUMI) 10


nilifika alipolala Coleen na kumuangalia huku mapigo ya moyo yakiongezeka speed
kutokana na hofu licha ya kuwa nilikua na hamu ya kumuona tena Coleen lakini nilijua
wazi ninachokifanya hakikua kizuri na endapo Coleen akishtuka, cjui atachukua uamuzi gani lakini kufikilia hayo yote nguvu ya ibilisi ilikua kubwa kwani licha ya kujua madhala yote hayo nikapotezea na kutaka kutimiza azma yangu.

Nilianza kushika gauni la Coleen ambalo ni jepesi maalum kwa kulalia huku jasho
jembamba likinitoka hadi katika vidole mwili wote ukawa baridi kama nimepigwa sindano ya ganzi nilishika taratibu hadi...
nikafanikiwa kuona ziwa lake la kushoto nilitamani kulishika lakini hofu ikawa anaweza kuamka alafu ikawa ni aibu kubwa kwangu akiona nilitaka kumfanyia kitu kama kile, nikaamua kuacha kushika na kufunua upande wa pili ili niweze kuona maziwa yote mawili.

Wakati naanza kufunua upande wa pili ghafla Coleen akaanza kugeuka niligeuza haraka haraka na kwenda kitandani kwangu na kujifanya nimelala huku jicho moja nikiangalia kama Coleen ataamka moja kwa moja lakini hakuamka na kuendelea
kujigeuza mwishowe akatulia nikagundua itakua ameendelea kulala lakini hofu kwangu ikawa kubwa kuliko kawaida.

Nikaamua kujilaza ingawa nilijua kwa mawazo niliyonayo nisingeweza kulala huku
nikimmkumbuka Coleen na mambo yaliyotokea huku nikijilaumu pia kwa kitendo nilichotaka kufanya nilijihisi nilikua mkosaji sana kwa dadaangu ambae kaacha kazi zake ilimradi tu anisaidie mm na matatizo niliyokua nayo wakati nafikilia hayo nikakumbuka kumbe sikua iliyofuata ndio ilikua siku ya mm na Coleen kurejea nyumbani kwani mda tuliopanga kukaa Rio de jeneiro ulikua umeisha nilitamani, kuendelea kubaki kwani ingawa nilijua tukirudi America nitahamia kwa Coleen lakini nilijua ctaweza kupata nafac ya kulala nae chumba kimoja kama ilivyokua ss hlo lilinifanya nikose usingizi kabisa, nikajikuta nazidi kumfikilia Coleen kivingine tofauti na dada nikajihisi nampenda Coleen kimapenzi zaidi ya dada. 

Ila bado nikawa sina uhakika kama nampenda kweli au namtamani kwa jinsi alivyoumbika hilo pia likawa linasumbua kichwa changu,.... nilikaa macho hadi asubuhi bila kulala Coleen alipoamka akagundua hlo lakini akatania kwa kusema "ulikua unaota safari au mbna unaonekana haujalala hata kidogo"! nikamwambia "natamani kurudi kazini ndio mana" akacheka kwani alijua kabisa nilidanganya.

Coleen akaingia kuoga alipotoka akaniambia "ndege inaondoka saa 6 mchana kwahyo
jiandae kwani tunatakiwa kufika mapema" sheria za viwanja vya ndege unatakiwa kufika lisaa limoja kabla ya mda uliopangwa ili kuwahi kupita vizuizi haraka na usichelewe kupanda ndege.

Hilo hata mm nililitambua kwahyo Coleen aliponiambia nijiandae ckubisha nikaamka na kwenda kwenda kujiandaa nilipotoka nilikua tayali nishavaa nikamkuta Coleen kavaa gauni jekundu refu lililompendeza kupita kiasi nikajikuta nimebaki mdomo wazi nisijue la kusema zaidi ya wow!

Coleen akaniangalia na kusema "nimelinunua hapa hapa siku ile tulipotembea kila mtu
kivyake" do i look great?(akimaanisha je nimependeza) nikasema ndio umpendeza sana Coleen akasema "ahsante" Basi tukaanza kufunga mabag yetu na kuanza kutembea kuelekea kweny mgahawa uliokua hapo hotelini ili tuweze kupata kifungua
kinywa kabla ya kuanza safari.

Tulipokua mgahawani macho yangu hayakusita kuenjoy uzuri wa Coleen nilimuangalia kuanzia juu hadi chini kila nilipopata nafasi nilijikuta nasahau hata kunywa chai Coleen akiwa anakaribia kumaliza mm ndio naanza Coleen akaniuliza "hautaki kuondoka Rio au mbna tangu jana hauko sawa ?" nikamuangaliabila kujibu kitu kwani huku nikijisemea moyoni laiti ungejua ww ndio unatesa mawazo yangu usingesema hivyo!

Baada ya dk 40 ilikua tayali nishamaliza kunywa chai tukaanza safari ya kuelekea airport nikiwa njiani nikapigaa simu kwa watu niliowapa kazi ya kuhamisha vitu vyangu kuvipeleka mji anaokaa Coleen wakaniambia tayari vilikua vishapelekwa.

Ofisini nako walikua tayali washakamilisha mipango yao ya kunihamishia katika ofisi za ndogo zilizopo mji Port elizabeth kwahyo safari yangu ilikua ni moja kwa moja kwenda nyumbani kwa Coleen tulifika uwanja wa ndege wa jiji la port elizabeth saa 7 usiku tukachukua tax hadi nyumbani kwa Coleen ambako tulikuta watoto wake wawl wakiwa washalala Coleen akanionyesha chumba ntakachokua nnalala tukaagana na kila mmoja akaingia chumbani kwake.


******************** ************************ ************************* ********************
Simulizi zitakujia hapa hapa kila siku kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa nne asubuhi na ukipitwa na story basi nenda hapo juu kwenye menyu kisha bofya mahali palipo andikwa LOVE & STORY. Pia waweza kudownload Application yetu kwa kubofya neno DOWNLOAD hapo chini ufuate na maelekezo ili uweze kupata story na updates mbalimbali kwa muda muafaka na kwa urahisi zaidi.
 

Tukutane tena kesho muda kama huu.. ahsante


Download

0 comments:

Post a Comment