Pages

Subscribe:

Monday, April 3, 2017

COUPLE MPYA: J LO NA ALEX ROD WATIKISA JIJI LA NEWYORK WIKIENDI HII


Jiji la Newyork lilikuwa na gumzo wiki hii baada ya kuonekana staa wa muvi na muziki Jennifer Lopez akiwa na mpenzi wake mpya Alex Rod huku muda mwingi wakiwa wameshikana mikono na pembeni alioneka mama wa J Lo akiwapa sapoti. 

Tazama baadhi ya picha hapa...











0 comments:

Post a Comment