Pages

Subscribe:

Sunday, April 2, 2017

CIARA AANZA MAANDALIZI YA KUMPOKEA MTOTO WAKE WA PILI



Safari ya Ciara na mumewe Russell Wilson kupata mtoto wao wa kwanza inakaribia. Lakini atakuwa ni mtoto wa pili kwa Ciara. Katika kujiandaa na mapokezi ya mtoto huyo, staa huyo wa muziki amefanya baby shower wiki hii na kuwashirikisha rafiki zake pamoja na...
watu wake wa karibu.


0 comments:

Post a Comment