Pages

Subscribe:

Monday, April 3, 2017

STORY: PENZI LA DADA (SEHEMU YA NANE) 08


Baada ya kuhamia kitandani kwa Coleen radi na mvua nzito ya mae viliendelea kusumbua huku Coleen mda wote akiwa kanikumbatia kwa woga nami nikiwa nimemkumbatia vilivyo kwani nilijua fika tatzo la Coleen, basi wakati nimemkumbatia guku akiwa amenisogelea karibu zaidi nikajikuta naanza kupatwa na hisia za ajabu kwani licha ya Coleen kua na watoto wawili bado maziwa yake yalisimama vilivyo na alikua ni mrembo haswa kipindi, tunasoa alisifika shule nzima.

kwa uzuri wake basi nilijitahidi sana kupambana na mihemko iliyokua inapanda kwa
kasi lakini nikahisi kama naelekea kushindwa kwani muhogo wangu ulisimama vilivyo hali iliyonifanya nianze...

kuona aibu kwani ulikua ukimgusa Coleen nikihofia asije kushtuka kua kaka yake kipenzi nimemtamani.

wakati nikijisuta na nafsi yangu ghafla radi kubwa kuliko yale yote likapiga Coleen
akanigeukia haraka na kuzidi kujisogeza wakati anajisogeza bahati mbaya midomo yetu ikagusana wote tukaangaliana na kuona ss hali si shwari lakini kutokana na uoga wa Coleen tulikua hatuna jinsi zaidi ya kuendelea kukaa wote pale kitandani kwani baada ya radi ile kubwa kupiga ilizidi kumuongeza woga Coleen, tulikaa mda mrefu bila radi kuacha hadi tukajikuta tukipitiwa na usingizi asubuhi na mapema wakati jua linachomoza nikashtuka na kumuona Coleen pembeni yangu akiwa amelala.


Nilimuangalia na kugundua kua Coleen ni mzuri zaid ya nimjuavyo akiwa usingizini uzuri wake ulikua kila siku unanifanya nijione ni kaka bora kua na dada mzuri kama Coleen, niliendelea kumuangalia kwa takriban dkk 8 ndipo Coleen alianza kushtuka na kuamka usingizini akanisalimia za asubuhi nami nikajibu nzur kisha COLEEN akaamka na kwenda bafuni kisha akarejea na kuniambia "ahsant kwa kua hapa jana usiku kwaajili yangu" nikamwambia "usijali ni wajibu wangu.


kwani hata ww upo hapa kwa ajili ya kunitunza mm kwa yaliyonikuta" basi wote tukafurahi kisha Coleen akanikumbusha mda tuliopanga wa kwnda kutembea kweny Uwanja wa Taifa wa Brazil uliopo Lio de jeneiro umewadia basi nikainuka na kuingia kwenda kuoga kisha nikatoka na Coleen naye akaingia kuoga dk 30.



Baadaye akatoka akiwa tayari kashavaa tukaanza kutoka kwenda, ktk mgahawa uliopo hotelini hapa kupata kifungue kinywa ili tuendelee na safari mm nilikunya kahawa na chapati zny asili ya kihindi na Coleen pia akala kama nilichpoagiza ila yy alikunywa chai kwani alihofia kunywa kahawa kutokana kua na matatizo ya presha baada ya dk 20.


Wote tulikua tumemaliza kula na kisha tukatoka nje na kumkuta dereva aliyeandaliwa kututmbeza siku hyo akiwa kakaa nje akiwa anatusubiri tuklipanda gari na kuanza safari ya kuelekea uwanjani tukiwa ktk barara kuu ya kuelekea ktk uwanja wa taifa ghafla tukakuta foleni kubwa sana njiani na taarifa tuliyoisikia ni kuwa uwanja wa taifa na wa kihistoria wa Brazil.
 

Unawaka moto hali hyo ilisababisha watu wahamaki na kila mtu kutaka kwenda
kushuhudia basi ikawa ni vigumu kwenda mbele kwa kua na foleni kubwa sana masaa
mawili baadae tukiwa bado tumesimama ktk foleni huku tukishindwa kurudi nyuma wala kwenda mbele basi tukaamua kushuka ili kutembea kurudi hotelini kwani tulichokua tuanataka kwenda kukiangalia kisingewezekana tena kukiona wakati tupo njiani Coleen.



Akasema anaona itakua vizuri kama kila mtu akitembea peke yake kuzunguka mji tukutane hotelini usiku sikutaka kumbishia. basi kila mtu akaenda upande wake uzunguka mitaa mbalimbali hadi majira ya saa 1 usiku nikaamua kurudi hotelini kutokana na kutembeea mda mrefu nikawa nimebanwa na mkojo ikawa nawahi kutembea kuingia hotelini ili niende nikapunguze oil chafu iliyokua inanisumbua basi kufika chumba tulichokua tumepanga kilikua giza ila ckujali nikijua labda Coleen atakua bado hajarudi nikaingia moja kwa moja kuelekea chooni huku navua suruali
ili niwahi ile nafungua mlango nikakutana uso kwa uso na Coleen akiwa hana hata nguo amejilaza ktk sehemu ya kuogea baada ya kumuona tu pale pale muhogo wangu
ukasimama huku ukiwa unaonekana kwani nilishautoa nje kujiandaa kukojoa.....


Itaendelea....

0 comments:

Post a Comment