Pages

Subscribe:

Friday, June 2, 2017

BARNABA: KAMA HUNA CHA KUONGEA KAA KIMYA

Msanii wa Bongo Fleva, Barnaba amewataka wasanii wenzake kutopenda kuongea sana katika vyombo vya habari kama hamna ulazima wa kufanya hivyo hasa pale wanapoyumba kimuziki.

Barnaba amesema kuna wasanii kila mara ni kusema kuweni tayari kwa ujio wangu hadi inafika wakati unajiuliza tuwe tayari mara ngapi? na kuongeza kuwa muda mwingine kutokuongea kuna...

FELLA AWEKA WAZI SABABU ZA JUMA NATURE KUFELI KWA SASA KIMUZIKI

Kama wewe ni shabiki wa Bongo fleva kuanzia miaka ya 2000 na kuendelea naamini utakuwa unalikumbuka kundi la muziki la TMK Wanaume, kundi ambalo lilikuwa likivikutanisha vichwa kama Juma Nature, Chege, Temba na hata KR MUllah.

Kundi ambalo baadaye lilikuja kugawanyika na kuibua makundi mawili ambayo ni TMK Wanaume Family na TMK Wanaume Halisi ambapo Juma Kassim Kiroboto ndiye ambaye alikuwa kiongozi wa TMK Halisi ambao...

MSANII KUTOKA AFRICA AKABIDHIWA JUKWAA LA BET 2017

BET wametoa orodha ya wasanii ambao watapanda katika steji ya utoaji tuzo usiku wa June 25 Jumapili mwaka 2017. 

Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika katika jiji la (L.A)Los Angeles nchini Marekani katika ukumbi wa Microsoft Theater , Hata hivyo msanii tokea bara la Afrika Wizkid nae ametajwa katika watu watakao weza kushiriki kutoa burudani kwenye Tuzo hizo kubwa huku list hiyo ikiwa na...

ASLAY AWA CHANZO CHA KILA MMOJA YAMOTO BAND KUCHOMOKA KIVYAKE

Imebainika sababu ya kundi la Yamoto Band kuamua kila msani kutoa wimbo wake ni baada ya msanii Aslay kutoa wimbo ‘Kida’ bila ruhusa ya uongozi wa kundi hilo na bila kushauriana na wenzake.

Akizungumza na EA Radio katika kipindi cha Planet Bongo, msanii Beka amesema baada ya Aslay kuchukua hatua hiyo nao walishawishika kufanya hivyo ndipo...