Pages

Subscribe:

Friday, May 27, 2016

CHOMBEZO: PENZI LA DADA (Sehemu ya Kwanza) 01


PENZI LA DADA (sEHEMU YA 1)
MTUNZI:KHAMIS KAMBI

Jina langu naitwa John O'conner naishi ktk mji wa chicago soon baada ya kumaliza chuo nimejiunga na kampun ya John and Bertty tawi la Chicago nikafanikiwa kupanda cheo hadi kua meneja mauzo wakati nipo hpo nilikutana na msichana mrembo anaitwa Tatiana alikua ni mrefu mweny umbo la kuvutia lips zake mda wote zimeloa akitabasam hata kama una hasira ...na ww utatabasam naam huyo ndio Tatiano msichana aliyetokea jimbo la Texas wakati tupo ktk majukumu ya kazi cku zote tulipenda kufanya kazi pamoja kwa kushirikiana hali iliyoleta ukaribu mkubwa kati kadri cku...
zilivyozid kwenda nilijikuta naanza kumpenda sana Tatiana ambaye ofisini watu wengi tulipenda kumuita Tayna kwa upole, ucheshi na upendo wake nilijitahid kuficha hisia zangu lakin cku moja nikajikuta nimezidiwa na kumuomba kama itawezekana twende tukapate kahawa baada ya kazi haikua rahisi ila nilikua jasir kusema bahata nzur alikubali kwahyo tukapanga tukutane kweny mgahawa uliotulia ili tuweze kubadilishana mawili matatu cku hyo niliona masaa yanachelewa kuliko kawaida
Shauku na hamu ilikua 2 kutoka kutoka na Tayna ili nipate fursa ya kudodosa nijue kiundani kuhusu maisha yake basi jioni iliwadia nikaingia ndani kuvaa shati zuri safi na la kuvutia huku nikijiangalia kila mara ili nione kama naweza kumvutia Taina nillivyomaliza kuvaa huku najiashtukia nikawasha gari hadi mtaa wa Michaelsen anapoishi Tayna wakati nafika alikua tayar kashacmaa nje akinisubir akiwa kavalia gauni nyekundu inayong'aa iliyomwenyesha umbo lake kwa uwazi zaid mate yalinidondoka mithili ya teja aliyebwia unga kwa kushangaa jinc Tayna alivyoumbika nilikosa la kusema hadi ghafla nikasikia sauti nyololo ikiniita Johnnn

.....Johnnn sauti hii nyolol ilinishtua kama mtu niliyekua usingizini nikawa sina la kusema kwan dhahili nilionekana kuvutiwa na jinsi alivyovaa ckusema meng zaid ya neno moja 2 lilitoka umependeza nikamwambia huku najisuta akajibu kwa sauti nzur zaid ya niliyoickia ahsante, ahsante huku akisema "mbna leo nimevaa kawaida sana '' nikajitahid kubalaguza maneno nitafte neno zur nikamwambia sio siri leo umependeza kupita kiasi ghafla akanibusu shavuni na kuniambia ahsante ilikua kama ndoto nikajishka mara mbilimbil pale mdomo wake ulipo2a nikiwa siamini kilichotokea ilikua kama mwili wangu umetiwa ganzi. niliweza kusema neno moja tu karibu naye akatabasam nikafungua mlango wa gari ili aweze kuingia tuanze safar.
nilipokua naendesha gari macho yngu hayakutoka miguuni mwake ambapo kulikua na mpasuo uliyoonyesha mapaja yake yanayovutia hayana hata doa huku nikimeza mate najitahidi asigundue kinachotokea.


 ghafla ukimya ulikatishwa pale Tayna alipouliza unapendelea music wa aina gani bila kujibalaguza nikjabu slow jamz akatabasam na kuniambia hata mm pia napenda kusikiliza slow jamz zaid basi hadi tunafka mgahawani stor zilikua juu ya nyimbo mbalimbali ambazo alikua anazipenda na nilizokua napenda bas baada ya kuwasir mgahawani tukaelekezwa meza ya kukaa mana tulikua tushaweka oda baada ya kukaa tuliletewa vikombe vya kahawa na tukaendelea na story nilimuhadithia kuhusu familia yangu mama , ndugu zangu mapacha na dada yangu colleen ambae alikua ni rafik yngu mkubwa nyumbani na matatzo yake yaliyomfka baada ya kufiwa baada ya mume wake kufariki then na yey akaniambia kuhusiana na mateso aliyopitia ktk uhusiano wake uliopita jinsi alivyochomwa kweny unyayo na moto na mpenz wake huku machoz yakimtoka yakionyesha jinsi gani inamuuma nilijitahd kumpa moyo na kumpa pole.
 

mwisho wake alinielewa ikabid nijitahd kubadilisha stor ili nisiendelee kumuumiza baada ya stor mbil tatu kidogo alirudi sawa na tukaendelea kuenjoy mana kulikua na band inapiga mziki uliotulia tulifurahi sana kuweza kujuana zaid mana ilitufanya tujione tuko huru kuongea lolote, mda wa kuondoka ulifika nikaletewa bill nikalipa tukainuka ili tuondoke nikawahi mlangon kama kawaida nikamfungulia mlango thn tukatoka tukaingia ndani ya gari ili tuelekee mtaa wa michalseen anapoishi Tayna safar hii ndani ya gari ilikua ni furah 2 na kutaniana safar ikawa fupi kuliko nilivyotegemea basi tulipowasili, akaniambia sio mbaya nikienda kuona kwake bila ya kuchelewa nilishuka ili asije kuahirisha tulipanda ngazi hadi ghorofa ya kwanza tuksimama nje ya lango akafungua tukaingia ndani akawasha taa ili tuweza kuona.

Kilikua ni chumba kizur kilicopangiliwa sittn room ikiwa haina vitu vingi bt inavutia kuitazama akanikalibisha ktk kiti yy akaomba aende kubadil nguo na kuniulza ntatumia kinywaj gani nikamwambia maji yanatosha akanileta maji na kutokomea chumbani baada ya dk kadhaa alirud akiwa kavalia gauni jepec jeupe vazi la kulalia lilifanya mihemko yangu ipande ghafla kwamza ilikua mda mrefu tangu nikutane na mwanamke mara ya mwisho pili ni uzuri aliokua nao nilibaki nimegwaya nisijue cha kufanya Tayna akasogea akakaa karbu yangu na kuniambia kartbu nyumban nikamwambie ahsant huku nikiibia kumuangalia kwa machio ya uchu....

0 comments:

Post a Comment