Pages

Subscribe:

Monday, May 16, 2016

KUTOKA MTV BASE: DIAMOND ANA COLLABLE NA CHRIS BROWN

Tegemea kuwasikia Diamond na staa wa Marekani,  Chris Brown kwenye ngoma moja. Kutuo cha runinga cha MTV Base kimetoa taarifa hiyo ya muhimu kwa mashabiki wa staa huyo wa Bongo Fleva kupitia Instagram yao, wameandika
“@diamondplatnumz working on a future project with #chrisbrown,”

Taarifa hiyo imepokelewa kwa shangwe na mashabiki wa Diamond, ambao wameonekana na...
shauku ya kusikia zaidi kuhusiana na collabo hiyo ambayo Diamond mwenyewe bado hajaizungumza.
mond

0 comments:

Post a Comment