Pages

Subscribe:

Thursday, May 26, 2016

WEUSI WAASHOOT VIDEO YAO NA CHIDMAN PAMOJA NA MSANII MWINGINE WA SA

13258940_617719245043779_2092866993_n


Weusi wapo nchini Afrika Kusini walikoenda kushoot video za ngoma mpya. Weusi wakiwa na msanii wa Nigeria Chidinma na muongozaji wa video, Justin Campos

Haijajulikana kama wameenda kwaajili ya mradi wa kundi ama ni kazi binafsi za Joh Makini lakini awamu hii...
wameenda wote, G-Nako na Nick wa Pili. 


13248723_280575235615697_1511826046_n Weusi wakiwa na rapper wa Afrika Kusini, Khuli Chana
Joh alipost kwenye Instagram picha wakiwa na msanii wa Nigeria, Chidinma pamoja na muongozaji wa video, Justin Campos.
“Team work make the dream work @chidinmaekile @gorilla_films #justinecampos #Weusi #PerfectCombo #itsawrap #onTotheNextOne #MunguniMwema #GODENGINEERING,” aliandika Joh.
Pia alipost picha wakiwa na rapper nguli wa Afrika Kusini, Khulichana. “#WeusiMeetsKhuli @khulichana01 #YouKnowWhathappen..GET READY!!!!,” aliandika.
Kwenye picha nyingine akiwa na Khulichana, Joh aliandika, “#EastMeetsSouth JOHMAKINI X KHULI CHANA coming soon #2kings #wemakingmoves #GODENGINEERING.”
13267583_1788291978068397_1053754685_n
Hizo zitakuwa collabo zingine kuwa kwa Joh Makini baada ya Don’t Bother aliyomshirikisha AKA.

0 comments:

Post a Comment