Pages

Subscribe:

Monday, May 16, 2016

MIRROR AWACHUKUA OMMY DIMPOZ NA JORDAN KWENYE NGOMA ZAKE MBILI MPYA


Mirror_full


Msanii wa muziki wa Bongo Flava kutoka label ya Wema Sepetu, Endless Fame Film, Mirror anajipanga kuachia kolabo zake mbili ambapo moja amemshirikisha Ommy Dimpoz.

Mirror ameimbia bongo5 kuwa kwenye kazi nyingine amemshirikisha Jordan.“Sasa hivi kuna ngoma zipo mbili na nimeshashoot pia video. Kuna moja na Jordan kutoka Dejavuu video imefanyika South Africa na...
kuna nyingine pia nimefanya na Dimpoz,” amesema.
“Zote zipo tayari muda tu ukifika zinatoka, mashabiki wasione kimya ndio nilikuwa nawaandalia kazi nzuri,” ameongeza.

0 comments:

Post a Comment