Pages

Subscribe:

Thursday, May 26, 2016

VANESSA MDEE KUFANYA COLLABLE NA MSANII KUTKA UFARANSA

13267325_1186684574676609_1258199952_n


Vanessa Mdee na msanii wa Ufaransa, Lylah wanatarajia kuja na wimbo utakaozikutanisha Bongo na Ufaransa kimuziki.

Lylah ni msanii maarufu wa R&B na Zouk nchini Ufaransa. Wawili hao wameshare ujio wa single ya kupitia Instagram. “New Heat Coming #France #Tanzania can’t wait for you to hear it. Much love for my beautiful talented sister girl @lylahoriginal,” aliandika Vanessa kwenye...
picha akiwa na msanii huyo aliyoiweka Instagram.

0 comments:

Post a Comment