Pages

Subscribe:

Wednesday, April 29, 2015

Download: Young Killer ft Roma, Linah & Ommy Dimpoz_Mungu Baba


Download

PICHA YA OMMY ILIYO JICHORA MAUNGO YA MWILI YAZUA GUMZO MTANDAONI

Picha ya Ommy Dimpoz iliyozua Gumzo Mitandaoni Siku ya Leo..Kama macho yako ni Mazima Embu iangalie Picha hiyo hapo juu kwa Makini alafu Uniambie ina Shida Gani

ROMA AMTUNDIKA MIMBA LOTUS MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA NIRVANA

LOTUS KYAMBA kathibitisha kupitia kipindi chake cha Nirvana kwamba mimba aliyonayo msababishaji ni mwanahiphop Roma Mkatoliki na anampenda sana. Big up Roma kwa kutarajia kuongeza kiumbe kingine.

Download: Jason Derulo_Cheyenne


Download

Download: Tyrese ft Jennifer Hundson_Shame


Download

FAMILIA YA DIAMOND YADAI KUWA NA MASHAKA NA MIMBA YA ZARI

Familia ya ‘President’ wa Kruu ya Wasafi, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ imeamua kuweka kikao kumbana staa huyo aweke wazi kama ni kweli ana uhakika mimba aliyonayo mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari’ ni ya kwake au magumashi.

Kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na familia ya staa huyo, ndugu wa karibu akiwemo mama, binamu yake Romy Jons, wajomba zake, mameneja na marafiki wa karibu wa familia, waliamua kuweka kikao hicho...

JINI KABULA ATAJA MCHAWI WA SOKO LA FILAMU

 Jini Kabula Ataja Mchawi wa Soko la Filamu
Staa mrembo wa Bongo Movies,  Mariam Jolwa ‘Jini Kabula’ amesema kuwa anguko la soko la filamu za Bongo asitafutwe mchawi, kwani wasanii wengi wanaigiza chini ya kiwango na ndiyo maana kazi zao hazifanyi vizuri, licha ya kutumia...

Video; Cyrill Kamikaze_Nikikuona (Official Video)



Watch Here

MARTIN KADINDA: SIPENDI DRAMA ZA WEMA TEAM WEMA MSINITUSI

Meneja  wa staa mrembo, mjasiliamali  na mwigizaji  wa filamu, Wema Sepetu , Martin Kadinda ametoboa kuwa anapenda kila kitu kuhusu Wema isipokuwa  ‘drama’  zake na kuwasihi watu ambao ni mashabiki na watetezi wa Wema Sepetu kwa kila jambo huko...

BEN POL SIGNED LONG TERM MANAGEMENT CONTRACT WITH PANA MUSIQ

Tanzanian leading music act, Ben Pol, signed a long term management contract with Panamusiq, a recently established artist management company based in Dar es Salaam. Ben is an award winning singer and songwriter mainly prolific with R&B tunes that have always...

DIAMOND KUZINDUA TV STATION YAKE MEI 1 MWAKA HUU

Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa clouds fm, msanii Diamond platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station yake binafsi atakayoizindua mei 1 kwenye party ya zari inayofahamika kama zari all white party itakayofanyika mlimani city.

TETESI ZA NDOA YA WEMA ZAWA GUMZO

Ubuyu Mpya unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star wema sepetu inayotarajiwa kufungwa ivi karibuni. Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu zimeshachukuliwa, kinachosubiriwa tu ni bwana harusi huyo mtarajiwa kuchukua jiko lake bila...

AGNESS MASOGANGE AJIBU TUHUMA ZA KUFUKUZWA SOUTH AFRICA

Q1. Tulisikiaga umepata uraia wa south na ulisema hutorudi bongo mbona umerudi ghafla na kuna madai umetimuliwa ukweli ni upi?
AGGY:Hapa ni home hata iweje so ninapojiskia hamu ya kurudi narudi lkn sauz ndo sehemu ya kufanyia biashara zangu..
.
Q2: unafanya biashara gani ambayo watu hawaioni?.
AGGY:Sio lazima kila unachofanya lazima watu wajue, unachotakiwa kujua ni kwamba nafanya biashara zangu kule...

JOKATE: KUNAMTU NAMTAMANI SANA KIMAPENZI NA NINAMVUTIA KASI NIMPATE

Aliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jocate Mwegelo “jojo” amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata Kupitia bonge moja la show weekend “the playlist” Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake “Leo leo” na Ice Prince “Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yani, ila...

Tuesday, April 28, 2015

BABBI AMSHIRIKISHA KIDUMU KWENYE WIMBO WAKE MPYA


Baada ya kutamba na nyimbo kadhaa alizofanya pekee yake bila kushirikikiana na mtu, Msanii Babbi sasa kamua kufanya nyimbo na Kidumu uitwao Hoi na amesema anauachia rasmi ijumaa hii ya May 1.
Babii anasema kuwa anaamini wimbo huu mpya wa Hoi aliomshirikisha msanii Kidumu utapendwa sana na watu maana ni...

NIKKI WA PILI ATOA SOMO KWA WASANII

Staa wa Muziki Nikki Wa Pili ametoa mtazamo na ushauri kwa wasanii, hususan wale wanaofanya muziki wa Bongo Flava, kufahamu vizuri aina ya muziki wanaofanya ili kudumu na kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Kwa mujibu wa uchambuzi wa Nikki, amesema...

AUNT EZEKIEL AWAPONDA MASTAA WAKIKE WANAO JIREMBA MSIBANI

Aunt Ezekiel Asema Haya Kuhusu Mastaa Kujiremba Misibani
Aunt Ezekiel amewaponda wasanii wanaokwenda misibani wakiwa wamejipara kupita kiasi. Staa  huyo aliwaponda mastaa wenzake wenye tabia ya kutumia sehemu za misiba kugeuza uwanja wa kuonyesha mavazi na vito vya thamani katika miili yao.
“Wenye tabia hizo acheni kujipodoa katika msiba, tunakera wenzetu ndiyo maana linaongelewa kila siku tuishi kulingana na...

Download: Shabibi International_Sijali


Download

Download: Tonto_Sophia (Cover)


Download

Lyrics: Mariah Carey_Infinity

Mariah Carey's New Song 'Infinity' - Full Song & Lyrics!
[Verse 1]
Why you mad? Talkin' 'bout you're mad
Could it be that you just lost the best you've ever had?
That’s your bag, yup, that’s too bad
Show is over, you ain’t gotta act
Name hold weight like kilos
Boy, you actin' so corny like Fritos...

JOKATE AGEUKA TAPELI ASAKWA USIKU NA MCHANA

Wakati akiwa na mkataba wa shilingi bilioni nane na nusu wa bidhaa zenye nembo yake kutoka Kampuni ya Rainbow Shell Craft, mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amekwaa kashfa ya utapeli akidaiwa ‘kuchikichia’ shilingi...

AMUUA MKEWAKE KISA KIKIWA NI SALUNI




HII ni zaidi ya ukatili! Jiji la Tanga bado linazizima kufuatia mauaji ya kutisha yanayodaiwa kufanywa na mwanaume aitwaye Khalfan  Hamad (46), dhidi ya mkewe, Mary Lucas (20) kwa kumchinja na panga kisa kikidaiwa ni wivu wa mapenzi 

Tukio hilo lililoacha simulizi ya kushangaza miongoni mwa wanandoa na wanaotarajia kuingia, lilijiri Aprili 18, mwaka huu nyumbani kwa...

KING MAJUTO: BAADA YA FILAMU 100 NITAPUMZIKA

Baada ya Filamu 100 nitapumzika- King Majuto
Mchekeshaji mkongwe, Amri  Athumani ‘Mzee Majuto’ amefunguka na kuweka wazi project yake mpya ya kuandaa filamu 100. Majuto ameiambia Bongo5 kuwa amefanya hivyo ili baada ya kumaliza kazi hizo apate muda wa kupumzika wa kutosha.
“Yeah na shoot na edit halafu nahifadhi, zikifika 100 nakaa na kupumzika nakula bata, makampuni kama yakihitaji filamu mimi...

WEMA AWA BALOZI WA HOSPITALI YA MACHO

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu ameteuliwa kuwa balozi wa hospitali ya kimataifa ya macho. Taarifa hiyo imetolewa na meneja wake, Martin Kadinda kwenye Instagram:

Mrembo wa Tanzania, muigizaji na mjasiriamali Wema Sepetu, Amesign makubaliano ya kuwa Balozi wa Hospital Ya Kimataifa Ya macho Iliyopo Ali hassan mwinyi Road katika jengo la Tropical House #mkataba huu wa ni wa...

Download: Mariah Carey_Infinity


Download

Download: Ciara_One Human Army



Download

MKE WA HUSSEIN MACHOZI AFUNGUKA BAADA YA HUSSEIN KUTAMKA KUWA HAKUWAHI KUOA MOMBASA

Yule dada aliyedai kufunga ndoa na Hussein Machozi ameibuka na kusema haya Maneno kwa Uchungu baada ya Hussein Machozi Kudai Anatafuta Kick na si kweli kwamba walifungua ndoa :

"Hey jameni hebu msinidhalilishe. mimi ndie mke wa Hussein. na sidhani nikwanini niseme nilifunga ndoa ya kiislam kama niuongo.mimi namuogopa sana Mungu. Ndoa nikitu ambacho nibaraka. mume wangu amenidhalilisha kisa cha kufanya hivyo sikijui. ila mm niko thayari kama akisema aniacha i will say fine. cause haina haja kua na mtu anaekukana ama anaekana Ndoa. Yamenisikithisha sana haya maneno. na kwa ujumbe wenu yeye hakutoroka ndoa. Bali mm ndie nnaeishi nje ya Africa. so yy alirudi...

Video: Mo Music_Nitazoea (Official Video)


Watch Here

Monday, April 27, 2015

Download: Joh Makini_Nusu Nusu (Audio)


Download

ROSE NDAUKA ATOA TAMKO KUHUSU KUVUNJIKA KWA NDOA YA SHETTA

Taarifa zilizomfikia Soudy Brown ni kwamba ndoa ya msanii Shetta imevunjika baada ya taarifa kumfikia mke wake kuwa Shetta anamahusiano na mwigizaji Rose Ndauka.
Soudy aliamua kumtafuta Rose Ndauka, majibu yake yalikuwa hivi; “Kwanza kitu ambacho ningependa kumuambia asipende...

Video: Erick Omondi_Nasema Nawe (Rmx)


Watch Here

SIWEMA AAMUA KUMUWEKA HADHARANI SERENGETI BOY WAKE

Ni kama Vile Kujibu Mapigo..Mrembo Siwema ambaye alikuwa Mpenzi wa Nay wa Mitego na kumzalia mtoto mmoja na kisha kupigana chini kwa tuhuma za kumfumania laivu akiwa na Kiserengeti Boy ameanza kumuweka wazi katika mitandao kijana ambae ni mpenzi wake kwa sasa. Inasemekana mapenzi na Kijana huyo hayakuanza jana wala leo ili yapo muda mrefu ila walikuwa wakifanya kwa siri mpaka siku...

TAZAMA PICHA 4 ZA DIAMOND AKILA BATA NA ZARI HUKO ZANZIBAR

Diamond akilibusu tumbo la mpenzi wake Zari ambaye ni mjamzito. See more pics inside...

Sunday, April 26, 2015

DIAMOND NA ZARI BEGA KWA BEGA MPAKA ZANZIBAR KWA MARA NYINGINE

See more pics inside...

PICS: TAZAMA PICHA ZA DIAMOND ALIVYO PAGAWISHA HUKO ZENJI

Jana Usiku ilikuwa ni zamu ya Zanzibar Kupata Utamu wa Diamond baada ya kuwapagawisha kwa show kali sana pale Ngome Kongwe Tazama baadhi ya picha hapa...

Video: Joh Makini_Nusu Nusu


Watch Here

SITTI MTEMVU KUZINDUA KITABU CHA "CHOZI LA SITTI"

Taarifa ya aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu, kwa vyombo vya habari leo imeeleza kuwa, Sitti atazindua kitabu kinachoelezea faida na hasara ya mitandao ya kijamii. Amesema pamoja na kwamba mitandao ya kijamii ikitumiwa vizuri, huleta mapinduzi ya kimaendeleo ya kihabari kwa haraka...

SOMALIA WABADILI UWANJA WA MPIRA KUWA KAMBI YA JESHI

Uongozi wa Chama cha soka nchini Somalia SFA, umerejea kutoa tamko la kuyataka majeshi la kulinda amani nchini humo kuondoka kwenye uwanja wa taifa wa michezo wa nchi hiyo uliopo mjini Mogadishu.
Uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 70,000, kwa zaidi ya miaka 10 umekua ukitumiwa na jeshi la kulinda amani nchini Somalia hali ambayo inazuia...

MARLAW NA BESTA WAFANIKIWA KUPATA MTOTO WA KIUME

RAY C: NIMENENEPA LAKINI KIUNO BILA MFUPA KIPO PALE PALE

Rehema Chalamila aka Ray C amewatoa hofu mashabiki wa muziki wake, kuwa unene wake haujakiathiri kiuno chake bila mfupa bali kimemwongezea uwezo wa kukatika kuliko zamani! Ray C ambaye alitamba na nyimbo kama ‘Sikuhitaji’ na ‘Umeniacha’, ameiambia Global TV kuwa anahisi uwezo wake wa kukatika kumeongezeka...

Download: Chiba Wa Ajabu_Kojo


Download

Download: Young Ray ft Jux_Uzuri Wake


Download

Friday, April 24, 2015

PICHA YA WEMA AKIWA HOSPITALI YASHTUA WENGI

Hii ni Moja Kati ya Picha za Wema Sepetu zinazorushwa mtandaoni toka Jana zikiwa Hazina maelezo ya Kutosha kama ni mgonjwa ama ni Project ya Movie! Picha zinaonyesha Mazingira ya Hospitalini akihudumiwa. Mashabiki zake wengi leo wanauliza Je ndio Matibabu ya...

Download: Bexy Wamusic, Diamond & Tessy_Ukisinzia


Download

WAGANGA 26 NA MADAKTARI WAJITOKEZA KUMTIBU WEMA SEPETU

Wema Akubali Waganga 26 Kumtibu
Kufuatia tatizo la kushindwa kupata ujauzito alilonalo msanii maarufu Bongo, Wema Sepetu, hivi karibuni waganga wapatao 26 kutoka sehemu mbalimbali nchini walijitokeza na kuomba kuunganishwa na staa huyo ili wamtibu.
Waganga hao wa tiba asilia pamoja na madaktari kutoka hospitali mbalimbali kwa nyakati tofauti...

LULU ARUDI TENA INSTAGRAM BAADA YA KUJITOA SIKU KADHAA ZILIZO PITA

Siku ya Jana Accounts Mbali mbali  Maarufu za Instagram zimeshinda zikipost kuwa Lulu michael amerudi instagram kwa jina la lizymichael  Baada ya Kujitoa siku Secky alipofariki Dunia Baada ya watu kuanza kumuhusisha lulu na Kifo Hicho kitu ambacho hakikuwa Kweli. Baadhi ya Meseji huku instagram kuhusu kurudi kwa lulu Insta hizi Hapa..

Download: Tinashe_I'm Coming 4 u


Download

Download: Hama Boy ft Shebby Love & Becka Tittle_Umeniacha


Download