Pages

Subscribe:

Sunday, April 26, 2015

RAY C: NIMENENEPA LAKINI KIUNO BILA MFUPA KIPO PALE PALE

Rehema Chalamila aka Ray C amewatoa hofu mashabiki wa muziki wake, kuwa unene wake haujakiathiri kiuno chake bila mfupa bali kimemwongezea uwezo wa kukatika kuliko zamani! Ray C ambaye alitamba na nyimbo kama ‘Sikuhitaji’ na ‘Umeniacha’, ameiambia Global TV kuwa anahisi uwezo wake wa kukatika kumeongezeka... zaidii kutokana na unene. “Sina tofauti na Ray C wa zamani,” alisema. Ray C ni yule yule, kiuno cha zamani ni kile kile. Sema sasa hivi kina nyama kidogo kwahiyo sasa hivi nikifanya kidogo tu yaani ni rahisi zaidi kwangu

0 comments:

Post a Comment