Pages

Subscribe:

Wednesday, April 29, 2015

ROMA AMTUNDIKA MIMBA LOTUS MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA NIRVANA

LOTUS KYAMBA kathibitisha kupitia kipindi chake cha Nirvana kwamba mimba aliyonayo msababishaji ni mwanahiphop Roma Mkatoliki na anampenda sana. Big up Roma kwa kutarajia kuongeza kiumbe kingine.

0 comments:

Post a Comment