Pages

Subscribe:

Friday, April 24, 2015

INJINIA ADAI KUWA NYUMBA YA DIAMOND IMEJENGWA CHINI YA KIWANGO

Kutokana na Kuanguka kwa upande mmoja wa ukuta wa uzio wa Nyumba ya Diamond Gazeti moja maarufu limeongea na injinia mmoja wa majengo aitwaye Injinia Stuart na kusema kuwa ukuta huo inaonekana umejengwa kwa ratio ndogo sana hivyo ni rahisi kuanguka.
Aidha injinia huyu wa majengo amesema japo nyumba inaonekana ina marembo mengi na nzuri lakini... kama nayo ilijengwa kwa ratio hiyo iliyotumika kujenga ukuta basi kuna hatari ya nyumba yote kuanguka hapo baadae , Injinia huyo amemshauri Diamond Kuleta wataalamu na kuipima nyumba yote ili isije kuleta madhara makubwa

Diamond alifuatwa na kuambiwa lakini mwenyewe alisema kuwa fundi aliyejenga ukuta ni tofauti na aliyejenga nyumba hivyo anaamini nyumba ilijengwa katika ratio nzuri.

0 comments:

Post a Comment