Pages

Subscribe:

Sunday, April 19, 2015

VITUKO: NYERERE NA KAWAWA UGHAIBUNI

Image result for Nyerere na kawawa
Karume na Nyerere: Ilitokea safari moja Nyerere alienda ughaibuni na Kawawa na kufika huko wakakirimiwa kwa kahawa.Walikunywa pamoja hadi ikatokea Nyerere kutosheka akaamua kufunika kikombe isipokuwa Kawawa utaratibu wa kufunika kikombe yeye hakuujua hivyo akawa anaweka mezani kikombe kinajazwa tena naye kwa aibu aliendelea...
kunywa hadi Nyerere alipomwambia Kawawa funika kikombe!
Wakati wa kulala kilamtu chumba chake Kawawa kaingia chumbani hakuona kitanda akalala sakafuni,asubuhi Nyerere akaja kumtazama na kumuuliza ulilala wapi na yeye akamwambia sakafuni! Nyerere akabofya ukutani kikatokea kitanda,Kawawa akabaki kushangaa!

0 comments:

Post a Comment