Pages

Subscribe:

Saturday, April 18, 2015

HEMEDY PHD AWATAKA VIJANA WAJIONGEZE KTK SIASA


Msanii wa muziki Hemedy PHD, anaongezeka katika orodha ya mastaa wanaounga mkono kampeni ya Zamu Yako 2015, kwa kuwataka vijana kwa mwaka huu kujiongeza kufuatilia na kushiriki katika masuala ya kisiasa na uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka.
Hemedy amesema kuwa, kipindi ambacho yeye alikuwa anajiandikisha...
kupiga kura kwa mara ya kwanza mwaka 2010 huko Tanga, muamko haukuwa mkubwa ila katika kipindi hiki ni muhimu kwa vijana kuwa sehemu ya uchaguzi, vilevile kuifahamu katiba.

0 comments:

Post a Comment