Pages

Subscribe:

Thursday, April 23, 2015

UKIINGIA KICHWA KICHWA BONGO MOVIE UNAONDOKA NA UKIMWI

“Ukiingia Kichwakichwa Bongo Movies, Unaondoka na Ngoma” 
Staa anayechipukia vizuri ndani ya Bongo Movies, Suzan  Odero  ‘Taiya’ amefunguka kuwa kama mtu unaingia kwenye tasnia ya filamu kichwakichwa au bila kujitambua lazima uondoke na gonjwa hatari la Ukimwi (ngoma).
Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Taiya alisema kuwa adha hiyo inawakuta sana wasanii ambao ndiyo kwanza wanataka kuingia kwenye tasnia ya filamu ili kufanikisha azma yao lazima...
watoe rushwa ya ngono ndiyo hapo wanapokutana na tatizo hilo.
“Jamani kama mtu siyo muangalifu utajikuta hupati nafasi ya kucheza filamu na ngoma umeibeba na kuhangaika nayo mitaani bila sababu yoyote,” alisema Taiya

0 comments:

Post a Comment