Pages

Subscribe:

Tuesday, April 21, 2015

HUYU NDIYE MFALME WA AFRIKA KUSINI ALIYE AMURU WAGENI WAUAWE


Huyu jamaa Mfalme wa Wazulu nchini Afrika ya Kusini,ndiye aliyeagiza waafrika toka nje ya Afrika Kusini wauawe. Eti kwa kisingizio kuwa watu wa Afrika Kusini hawana kazi na kazi zao zinachukuliwa na wageni. Kwa wanaoikumbuka vizuri historia ya mapambano Afrika Kusini, Kabila la wazulu hawakushiriki kikamilifu katika vita ya...
ukombozi. Chief wao maarufu anayejulikana Chief Mangosuthu Buthelezi alikuwa anajikomba sana kwa utawala wa makaburu, na baada ya uhuru ni kama amesahaulika kabisa. Chief huyu alianzisha chama kinaitwa Inkatha Freedom Party, lakini hakikupata umaarufu wowote maana kilikuwa cha kikabila sana.

0 comments:

Post a Comment