Pages

Subscribe:

Saturday, April 18, 2015

EX WA SHAMSA FORD AAMUA KULIPIZA KISASI.. AMPA SIFA KIBAO SIWEMA

Mume wa Shamsa Ford, Dicky ametumia ukurasa wake wa Instagram kumwagia sifa aliyekuwa mpenzi wa Nay Wa Mitego, Siwema. Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya aliyekuwa mke wa Dicky, muigizaji Shamsa Ford kuonekana kwenye picha zilizosambaa mtandaoni akimbusu Nay wa Mitego! Hivyo anachokifanya Dicky kwa sasa ni kulipiza kisasi kwa Nay aliyemchukulia mke wake! Amepost picha na kuandika maneno haya...



0 comments:

Post a Comment