Pages

Subscribe:

Monday, October 31, 2016

Watch & Download: Godzilla ft Maua Sama_Your Body (Official Video)

post-feature-image

Watch Here

KALA JEREMIAH: WANANDOTO RMX WASHIRIKI 8 WAMESHA INGIZA VOCAL


Takriban miezi miwili sasa imepita tangu msanii wa Hiphop Kala Jeremiah alipotoa ahadi ya kufanya remix ya wimbo wake wa “Wanandoto” na mashabiki zake wenye vipaji na kutoa tamko la kwamba mashabiki hao wawe wanajirekodi video fupi huku wakiimbia beat ya Wanandoto kwa kutumia mistari yao binafsi na kupost katika kurasa zao za instagram na kuweka hash tag ya Wanandoto (#Wanandoto).

Ukimya umetawala juu ya suala hilo, ndio sababu zilizofanya mwandishi kupiga story na mkali huyo na kutaka kujua uliishia wapi mchongo huo.
“Project ya wanandoto remix inaenda vizuri na...

HAMISA MABETO: SIJAWAHI KUWA NA URAFIKI WALA UADUI NA ZARI


Hamisa Mobeto, amekanusha tetesi zinazoenea mitandaoni kuwa ana uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamuziki Diamond Platnumz. 

Kupitia kipindi cha The Playlist cha Times Fm juzi Jumamosi, Hamisa amedai kuwa anamfahamu mpenzi wa Msanii huyo Zari kwa kuwa ni Mzazi mwenza wa Platnumz,
“Unajua huwezi kusema mi na Zari tuko sawa au hatupo sawa kwa sababu...

IYANYA ASAINI MKATABA RASMI NA MAVIN YA DON JAZZY

Iyanya ameungana rasmi na Tiwa Savage, Korede bello, Reekado banks na wengine kwenye label ya Mavin Records iliyo chini ya Don Jazzy.
Akiwa anamtambulisha rasmi Iyanya kwenye label yake, Don Jazzy ameandika kwenye Instagram: The SUPREME MAVIN DYNASTY is pleased to welcome @Iyanya to the ever growing Mavin Family. Pls join us to welcome him and let the world know that we #Up2Sumting. #MavinActivated.

jiunga Mavin ya Don Jazzy

Iyanya ameungana rasmi na Tiwa Savage, Korede bello, Reekado banks na wengine kwenye label ya Mavin Records iliyo chini ya Don Jazzy.

Akiwa anamtambulisha rasmi Iyanya kwenye label yake, Don Jazzy ameandika kwenye Instagram: The SUPREME MAVIN DYNASTY is pleased to welcome @Iyanya to the ever growing Mavin Family. Pls join us to...

HUU NI UJUMBE WA FRANCIS CHEKA JUU YA KIFO CHA THOMAS MASHALI


14719663_1520067368007074_7543799241525690368_n
Wiki hii imeanza kwa huzuni kwa mashabiki wa mchezo wa ngumi nchini baada ya kifo cha bondia Thomas Mashali hasa baada ya kusikia taarifa za chanzo cha kifo hicho. Mmoja wa watu walioumizwa na taarifa hizo ni Francis Cheka. Kupitia mtandao wa Instagram, Cheka ameandika...

WIZKID ASITISHA MKATABA WAKE WA KUWA BALOZI NA GLO

Wizkid ameweka wazi kuachana na ubalozi na kampuni ya simu ya Nigeria ya Glo.
Tarahe 28 Oktoba, Wizkid aliweka wazi kuhusu kuachana na kampuni hiyo ya simu.

Kwenye account yake ya twitter wiz ameandika:
Officially no longer with GLO, it was nice working with the amazing people at the company, wish the company...

HAMISA MABETO: VIDEO YA SALOME NDIYO NILIYO LIPWA PESA NDEFU KULIKO VIDEO ZOTE

Modo wa kike kiwango Bongo, Hamisa Mobeto, amesema kuwa alilipwa pesa nyingi mno kuonekana kwenye video ya wimbo wa ‘Salome’ wa Diamond Platnumz. Akizungumza kupitia kipindi cha The Playlist cha Times Fm, Hamis amedai ndiyo video aliyolipwa mkwanja mrefu zaidi kuliko zote alizowahi kuzifanya. 

“Siwezi sema ni kiasi gani ila ni a lot of money” alisema Mobeto. Katika Hatua nyingine modo huyo wa kimataifa ameitaja Video ya Barnaba ‘Magube gube’ kuwa ndio...

HII NDIYO TAARIFA YA KIFO CHA BONDIA THOMAS MASHALI

post-feature-image
Bondia Thomas Mashali ameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kupigwa na watu baada ya kudaiwa kuitiwa kelele za mwizi, kwa mujibu wa taarifa ya mtu wake wa karibu.

Mashali aliyezaliwa kwa jina Christopher Fabian Mashale aliuawa baada ya kupigwa akiwa huko Kimara jijini Dar es Salaam. Inasemekana wakati akinywa pombe, ulizuka ugomvi na mtu mmoja ambaye...

WEMA SEPETU AMWANDIKIA UJUMBE HUU MISS TANZANIA 2016

Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amedai mshindi wa shindano la Miss Tanzania 2016, Diana Edward alistahili kuchukua taji hilo. Kupitia Instagram, Wema ameandika: When You Nailed that question Properly, I knew that The Crown was Yours…. Congratulations mdogo wangu.

You deserve it… And I have a very good feeling about Your performance in the Miss World Beauty Pageant…. You will do...

Sunday, October 30, 2016

JUA CALI: GENGE BADO IPO JUU

juacaligenge-20161029-0001
Msanii jua cali kaelezea kuhusu kundi la genge na ukimya wake wa muda kunako gemu na kudai kuwa Genge bado ipo na haitokaa kushuka, Msanii wa kenya Jua cali ameeleza kuwa ukimya wake ulikua wamaandalizi ya album kwa hiyo kwa sasa tutegemee mengi kutoka kwake huku akibainisha yeye ajashuka kimuziki. 

Jua Cali anasema bado yuko juu na kwakua yuko juu basi na genge Bado iko juu, Japo kunawengine wametawanyika ila bado yupo na mambo...

MR BLUE: SIJAWAHI KUPATA TUZO YOYOTE KTK MUZIKI


mrbluebyser1988-20161029-0001
Msanii wa Bongo Fleva nchini Mr. Blue ameweka bayana kwamba pamoja na kukubalika na mashabiki wengi na kuwa kwenye tasnia ya muziki kwa muda mrefu hajawahi kupata tuzo hata moja ya kutambua mchango wake kwenye muziki.

Akizungumza katika kipindi cha Friday Night Live (FNL) kinachorushwa na EATV, Mr. Blue amesema anatambua umuhimu wa msanii kupata tuzo ila kwa bahati mbaya yeye...

DIAMOND ATIKISA NCHINI MALAWI APIGA SHOW SAA KUMI NA MBOLI ASUBUHI


14717487_1627203447579395_8916577059703095296_n
Licha ya mvua kubwa kunyesha, Diamond amefanikiwa kupiga show iliyofana kwenye Sand Music Festival iliyofanyika kwenye fukwe za Living stone Jumamosi hii. Mpiga picha wake, Kifesi amedai kuwa mvua kubwa ilinyesha na...

VANESSA MDEE ABADILI MWONEKANO NA KUONEKANA HIVI

Vanessa mdee ameamua kuingia kwenye utamaduni mpya huku akiwashangaza mashabiki wake Ameamua kuingia kwenye utamaduni wa watu wa Raggie kama bob marley na lucky dube, Baaadhi ya mashabiki wameonekana kutokukubaliana...

LULUDIVA: NILIGAWA PENZI KWA SH MIL 1.5 ILI KUMUUGUZA MAMA YANGU

MUUZA sura kwenye video za Kibongo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva,’ amefunguka kuwa katika maisha yake hata siku moja hawezi kusahau jinsi alivyolazimika kugawa penzi kwa mzee, kisa pesa za kumtibisha mama yake mzazi ambaye alikuwa anaumwa hoi!

Lulu aliongeza kuwa wakati akifanya tukio hilo alikuwa ni msichana mwenye umri wa miaka 18, ambaye hakuwa na kazi na ilihita kiasi cha shilingi milioni moja na nusu kwa ajili ya...

STORY: NILIACHA USISTER NIKAWA MCHAWI 6-7

Image result for SISTER AT THE CHURCH
ILIPO ISHIA: “Baba yako alianguka chooni, akatokwa mapovu kinywani, alipokimbizwa hospitali akaaga dunia kabla hata ya huduma, nimeshangaa sana. Muombee baba yako, kuna mkono wa mtu na huyo mtu mwenyewe atajulikana siku si nyingi.” “Eti mama ni kweli?” SASA ENDELEA… 

Mama alibaki kimya, machozi yakimchuruzika. Nilihisi uchungu ambao sikuwahi kuupata tangu kuzaliwa. Nilimkazia macho mabaya mama. Kama angekuwa na rika langu ningemvaa mpaka chini. Niliwaza niondoke bila kumaliza msiba, lakini...

Download: Alikiba_Risabela


Download

Downloa: Solidstar ft Diamond Platnumz_Money


Download

Saturday, October 29, 2016

ABBY SKILLS AWASHUKURU ALIKIBA NA MR BLUE


Msanii wa Bongo Fleva Abby Skills amesema anawashukuru sana wasanii Ali Kiba pamoja na Mr. Blue kwa kumrejesha kwenye game la muziki baada ya kupotea kwa miaka minne mfulilizo, Abby ameyasema hayo alipokuwa katika kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV ambapo pia alitambulisha ngoma yake mpya na video yake inayokwenda kwa jina la ‘Averina’ ngoma ambayo amewashirikisha Ali Kiba pamoja na Mr. Blue.
  “Ninawashukuru sana Ali Kiba pamoja na Mr. Blue kwa kunirudisha kwenye game , ni watu ambao tumekuwa pamoja na wameisapoti sana...

LINAH AMJIBU AMINI NA KUACHA SWALI ZITO

amini-na-linah
Baada ya Amini kudai msanii mwenzake Linah Sanga amebadilika na kupoteza ule uimbaji wake wakuvutia, Linah amefunguka na kuizungumzia kauli hiyo, Muimbaji huyo ambaye aliwahi kufanya vizuri na wimbo ‘Ole Themba’ amesema kwa sasa yeye yupo juu zaidi ya Amini.

“Unajua soko letu lilivyo linabadilika badilika na hii ni biashara kusema nifuate ‘Ulinah’ sana naweza nikapotea kwa sababu watu walianza kuongea toka kwenye ‘Ole Themba’ lakini ‘Ole Themba’ ni...

NYANDU TOZZY AFUNGA NDOA KIMYA KIMYA

nyandu-tozzy
Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Kundi la BOB, Nyandu Tozzy amefunga ndoa kimya kimya na mpenzi wake wa muda mrefu, Rapa huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Kiboko ya mabishoo’ amekuwa ni msanii wa pili ndani ya mwezi huu kufunga ndoa baada ya...

Download: Jos Mtambo ft KG Son_Domo Langu


Download

MWANA FA KUJA NA COLLABLE HII KWENYE WIMBO WAKE MPYA


Mtangazaji wa kipindi cha Ngazi kwa Ngazi, Salama Jabir amemwaga mchele wa ujio wa wimbo mpya wa Mwana Fa, Salama Jabir aliwadokeza watazamaji wa kipindi chake kuhusu ujio wa wimbo mpya wa mwana Fa ambao ni collabo na mwanadada Vanessa Mdee.

“Mwana FA hivi karibuni atatuletea dude lake moja hivi, natoa za chini ya carpet amemshirikisha Vee Money, litakuwa linaitwaa...

MR. BLUE: MIMI NDIYE RAPA PEKEE NINAYESHINDANA NA WASANII WANAO IMBA


14693664_595616103955897_4004294784263913472_n
Mr Blue amedai kuwa yeye ndio rapper pekee anayeshindana na wasanii wanaoimba, Rapper huyo amesema hayo kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV wakati akifafanua sababu ya kutumia aka nyingine siku za hivi karibuni ‘Most Expensive MC’.

“Unajua mimi ndio rapper pekee ninayeshindana na wasanii wa kuimba. Ukiachilia mbali kwa mali nazomiliki lakini hata mashairi yangu, ninaweza nikakaa mwaka mzima nikatoa...

Watch & Download: Kakengi_Sorry (Official Video)


Watch Here

Watch & Download: Abby Skills ft Alikiba x Mr Blue_Averina (Official Video)


Watch Here

BIBI KIZEE ALIYE JICHONGEA JENEZA AFARIKI DUNIA

Mkazi wa Kijiji cha Lindusi Peramiho mkoani Ruvuma aliyejichongea jeneza, Scholastica Mhagama amefariki dunia kwa ugonjwa wa pumu, Mapema mwaka huu wakati alipohojiwa, bibi huyo alitaja sababu za kujichongea jeneza kabla ya kifo kuwa, ni kuhofia kuzikwa kama mnyama baada ya kuwa na ugomvi wa mara kwa mara na kaka zake. 

Kaka yake mkubwa aliyekuwa akimhudumia kabla ya kufariki dunia, Felix Mhagama (82) alisema dada yake alikufa Jumanne ya wiki iliyopita kwa ugonjwa huo, Mhagama alisema licha ya kipindi cha uhai wa dada yao, kugombana mara kwa mara walikuwa...

LORD EYES: RAY C BADO ANACHUMBA CHAKE


 
Rapa Lord Eyes ambaye ni mmoja wa wasanii wa kundi la Weusi amefunguka na kusema msanii Ray C bado ana chumba chake kwenye muziki na kusema yeye bado anamuombea kwani kwa matatizo aliyonayo kwani yale ni kama maradhi hivyo hayaponi kwa siku moja. 
 
Lord Eyes ambaye kwa sasa amepumzishwa kwenye kundi hilo na kusema kuwa mpaka sasa yeye hawasiliani wala kuongea na Ray C na kusema ila anamuombea Mungu apone na...

Friday, October 28, 2016

Z ANTO: UKIWA NA SIX PACKS UNATOKA KIMUZIKI


 
Msanii Z Anto ambaye amewahi kutamba kwenye tasnia ya muziki wa bongo fleva amefunguka na kusema muziki wa bongo fleva sasa hivi ni rahisi sana kwani msanii akiwa na 'Six Pack' harafu akaimba imba tu anatoka kimuziki tofauti na zamani.  

Z Anto alisema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio hivi karibuni alipokuwa kwenye heshima ya bongo fleva na kusema hiyo kwake si changamoto yeye...

Watch & Download: Chemical ft Msaga Sumu_Kama Ipo Ipo Tu (Official Video)


Watch Here

Download: Abby Skillz ft Alikiba x Mr Blue_Averina


Download

Watch & Download: Tiwa Savage_Rewind (Official Video)


Watch Here

HIVI NDIVYO AUNT EZEKIEL ALIVYO SHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Alhamisi hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa Malkia wa filamu nchini, Aunty Ezekiel ambaye anadaiwa kutimiza miaka 30 lakini kwenye sherehe hiyo imeonekana kuwa ya siri huku akisherehekea na watu wachache aliowaalika. Tazama picha hapa...

SHAMSA FORD: MIMI NI MWANAMKE NISIYEWEZA KUFICHA HISIA ZANGU

Msanii wa filamu na mama wa mtoto mmoja Shamsa Ford amesema yeye ni mwanamke ambaye hawazi kufisha hisia zake za mapenzi.

Malkia huyo wa filamu ambaye alifunga ndoa miezi mitatu iliyopita na mfanyabishara wa maduka ya nguo Chidi Mapenzi, amesema amekuwa akijiachia katika mitandao ya kijamii kueleza hisia zake juu mume wake kutokana na...

ALI KIBA: WALIOSHINDA TUZO ZA MTV MAMA WALISTAHILI USHINDI


alikiba
Mkali wa wimbo ‘Aje’ AliKiba amefunguka na kuzungumzia ushiriki wa watanzania kwenye tuzo za MTV Mama Awards 2016. Muimbaji huyo ambaye alikuwa miongoni kati ya wasanii watakaotumbuiza kwenye tuzo hizo na pia aliwania tuzo ya ‘Best Collaboration’ ya wimbo wa Unconditionally Bae alioshirikiana na Sauti Sol, amesema watanzania walijitahidi lakini walizidiwa na wasanii wa nje ndiyo maana wakashindwa kutamba.

“Katika ushindani kuna kushinda na kushindwa sisi hatusemi kuwa tumeshindwa na naamini Tanzania ina vipaji sana na kila msanii anajitahidi kufanya kwa uwezo wake ili...

Watch & Download: Eric Omondi_Sang'ombe (Salome Video Cover)


Watch Here

BEN POL: SI LAZIMA KUMSHIRIKISHA MTU ILI WIMBO UWE MKUBWA


14540592_1660041167640345_73887417609748480_n
Mkali wa muziki wa RnB, Ben Pol amefunguka sababu inayoweza kuufanya wimbo ukawa mkubwa, Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa wimbo ukiwa mzuri ni rahisi kuhit hata usipomshirikisha msanii mkubwa.

“Kinachoboost wimbo si msanii bali ni wimbo wenyewe. Ukiangalia ‘Moyo Mashine’ nimeimba mwenyewe umekuwa mkubwa, ‘Sofia’ niliimba mwenyewe lakini...

DIAMOND, SAUTI SOL, OMMY DIMPOZ NA KING KIBA KUWANIA TUZO KIPENGELE KIMOJA

platz-tile
Waandaaji wa tuzo za mitindo za Uganda,  Abryanz Style and Fashion Awards wametangaza majina ya mastaa watakaowania vipengele mbalimbali.

Wakali wa muziki wa Afrika mashariki, Diamond, Alikiba, Ommy Dimpoz na Sauti sol wamekutana kwenye kipengele kimoja cha ‘Most stylish artiste’ Huku Juma Jux, Nedy Music na Idris Sultan wakikutana kwenye ‘Male Most dressed Celebrity’
Jokate Mwegelo, Wema Sepatu na Wolper Stylish watachuana na...

ALIKIBA: SIPENDI KIKI NA SITO FANYA KIKI KAMWE


14716444_1139160262829024_4134658599454507008_n
Hitmaker wa ‘Aje’ Alikiba amesema Kiki ni kitu ambacho hakipo kwenye menu yake. Alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Clouds 30 kupitia Clouds TV.

Kwanza kwangu mimi hicho kitu hakipo, sijui kusema mimi nina hela. Na kuna watu wengine wanaongopa kwa kusema uongo tu kwasababu watanzania tumeshakubali kupelekwa na...

KAJIANDAE YA OMMY DIMPOZ NA ALIKIBA KUTOKA SOON


Amefunguka kupitia kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV mfalme wa Bongo Fleva Alikiba kuhusiana na ujio wa ngoma mpya ambayo kashirikishwa na Omary Nyembo almaarufu kama Ommy Dimpoz.


kama unakumbuka vizuri ngoma ya “Nai Nai” ndio ngoma ambayo ilimtambulisha Ommy Dimpoz katika game ya music, kutokana na ukali wa ngoma hiyo na mapokezi ikiwa ngoma hiyo...

MR BLUE AAMUA KUJIITA NYANI MZEE NA KUACHANA NA SIMBA


14240737_1128283583922262_1534775813_n
Mr Blue amelitaja jina lake jipya analolitumia baada ya lile la ‘Simba’ kuchukuliwa na Diamond Platnumz, Rapper huyo amesema kuwa kwa sasa anatumia jina la ‘Nyani Mzee’ kama jina lake jingine la utani.

“Actually kwa sasa jina la Simba nimeliacha ila kwa sasa natumia jina la ‘Nyani Mzee’ nikimaanisha nimekwepa mshale mingi. Nasubiri...

HII NDIYO KAULI YA SHILOLE BAADA YA LINAH KUMTAMBULISHA MPENZI WAKE


Ni katika mtandao wa Instagram ambako mwanadada Linah aliamua kukata mshipa wa aibu kwa muda na kuamua kuposti picha inayomuonyesha akila busu kali kutoka kwa mpenzi wake mpya, Shilole hakutaka kusubiri hata dakika ipite baada tu ya kukutana na picha hiyo, na kuamua kuacha ujumbe mzito kwenye...

JAH PRAYZAH AMSHUKURU DIAMOND KWA KUMTAMBULISHA KWENYE RAMANI YA AFRIKA


cvsrpfvxgaaem9m
Ukishikwa mkono na waliokutangulia na wewe shika wengine walio nyuma yako. Davido kupitia Number One Remix, alimtambulisha Diamond kwenye ramani ya Afrika. Baada ya miaka michache, Diamond pia amefanikiwa kuwatambulisha zaidi wasanii wengine kwenye jicho pana la muziki wa bara hilo. 

Miongoni mwao ni Akothee wa Kenya na Jah Prayzah wa Zimbabwe.
Jina la Prayzah limekuwa kubwa nje ya Zimbabwe mwaka huu baada ya kumshirikisha Diamond kwenye wimbo wake Watora Mari. Kama hiyo haitoshi, muimbaji huyo hivi karibuni...

KAULI YA MADEE JUU YA KASSIM MGANGA HUENDA AKARUDI TIP TOP

kassimmganga-20161028-0001
Msanii na gwiji wa tungo za mahaba kassim mganga uenda akasainiwa na Tiptop connection kwa kuwa ameshafanya mazungumzo ya awali na Madee ivyo anasubiri mazungumzo ya mwisho na manager wa kikosi hicho Babutale.

Madee akiongea katika kipindi cha ‘street joint’ ya Dizzim, amefunguka kuwa kassim alimfuata wakazungumza kuhusu yeye kujiunga na team hiyo, lakini hakuweza kumpa majibu yamoja kwa moja. Madee anasema bado ajalifikisha hilo kwa...

Thursday, October 27, 2016

JOKATE ATAJA SABABU ILIYOFANYA TZ KUKOSA TUZO ZA MTV


jokate-2
Super business woman, Jokate Mwegelo aka Kidoti amefunguka sababu anayodhani ilifanya wasanii wa Tanzania washindwe kushinda tuzo za MTV MAMA zilizofanyika Jumamosi iliyopita nchini Afrika Kusini.

Mwanamitindo huyo alikuwa akijibu swali la mmoja wa mashabiki wake kwenye mtandao wa Twitter, lililokuwa likiuliza “Je ni kweli...

NDOA YA TUNDA YAMFANYA DOGO JANJA ATAMANI KUOWA


14719178_561965393998059_8437852548827709440_n
Usishangae pale utakapopokea ujumbe wa Dogo Janja akikuomba mchango wa harusi (iwapo atafanya hivyo). Ni kwasababu muimbaji huyo wa Kidebe anaweza kuwa ameshawishika kujiunga na kambi ya wavaa pete kwenye kidole cha chanda – asante kwa ushawishi alioupata kutoka kwa Tundaman. 

Tunda aliuaga ukapera wiki iliyopita katika harusi iliyofanyika huko Morogoro na mchakato mzima ulimshawishi Janjaro kufikiria kufanya kitu kama hicho. Akiongea na Clouds TV, Madee alidai kuwa...

DYNA NYANGE: NITAFANYA KAZI NA LEBO ITAKAYO KUBALI MASHARTI YANGU


dayna-nyange
Dayna Nyange amefunguka kuwa atakuwa tayari kuwa chini ya lebo yoyote endapo watakubaliana na masharti yake. Hitmaker huyo wa ‘Komela’ amemuambia mtangazaji wa Maisha FM ya Dodoma, Silver Touchez “Kikubwa nachoangalia ni sababu, kabla sijajiunga na lebo yoyote lazima niwe na vitu vyangu ambavyo navitaka na wao wanavitu vyao wanavyotaka.”

“Record label ni studio tu ambao watu watakuwa wanasimamia kazi zangu ni kitu ambacho mimi mwenyewe ninaweza nikaenda...

Watch & Download: Avril_Yule Dame (Official Video)


Watch Here

SOGGY DOGGY AMFANANISHA COUNTRY BOY NA NGWEA


Rapa mkongwe Tanzania Soggy Doggy amefunguka na kusema kuwa vijana kwenye muziki wa hip hop saizi wanafanya vizuri na ili uende nao sawa lazima upite njia wanazopita wao.

Hii inamfanya hata yeye ameshindwa kuachia kazi mpya mpaka akamilishe video kabisa, Soggy Doggy alisema hayo jana kutoka Mabibo Mwisho Jijini Dar es Salaam,
Soggy anasema kwa wasanii wa hip hop sasa akimsikiliza rapa...

HII NDIYO KAULI YA WEMA SEPETU KWENYE BIRTHDAY YA AUNT EZEKIEL


Ilifahamika kuwa mastaa wawili wa Bongo Movie Wema Sepetu na Aunty Ezekiel hawana mahusiano mazuri, na hiyo ni baada tu ya mahusiano ya kimapenzi ya Diamond Platnumz na mwanadada Wema Sepetu kusitishwa na kutokea hali ya sintofahamu kwa mwanadada Aunty Ezekiel atajikita zaidi na upande gani ikiwa yeye ni baby mama wa dancer wa Diamond Mose Iyobo.

Unachotakiwa kukifanya ni kufuta kabisa fikra hizo katika kichwa chako, kwasababu madame Wema Sepetu ameamua kukata utepe kuhusiana na...