Pages

Subscribe:

Wednesday, October 26, 2016

ALIKIBA ASEMA HAYA KUHUSU NYUMBA INAYO SEMEKANA KUWA NI YAKE

Ally Kiba aikana nyumba inayoonekana mitandaoni wakisema ni yake, hii ni alipokua akihojiwa kwenye moja ya radio maarufu nchini. "Aliyekwambia mi Nina nyumba nani, naishi nyumba ya kupanga hata ingekuwa yangu mi sipendi show off ni maisha yangu" alisema

0 comments:

Post a Comment