Pages

Subscribe:

Wednesday, October 26, 2016

MENEJA WA DIAMOND AJA NA MPYA HII KWA MENEJA WA ALIKIBA


Kali nyingine imeibuka Mitandaoni siku ya leo, Naam ‘Uchekechaji’ wa Udiamond na Ualikiba unatupa kingine cha kuzungumza kwenye mitandao tena hasa pale mjini Instagram.

Katika zile lugha za Kimitandao siku ya Jumatano hupewa ‘Kinashi’ cha ‘WCW’ (Woman Crash Wednesday) yaani kumposti Mwanamke aliyekonga hisia zako na...
kumuhusudu zaidi.

Kilichowashangaza Mashabiki wengi zaidi
kutokana na kile kinachotajwa kuwa ni bifu baina yao.

Leo meneja wa Kimataifa wa Muimbaji
Diamond Platnumz, Sallam ‘Mendez’, amemposti Meneja wa Hasimu wao Kibiashara, Mrembo Seven Mosha kama #WCW wake.

PicsArt_10-26-01.23.59
Hali hiyo imefanya wengi kuingiwa na maswali wasijue Uongozi wa pande zote mbili wameyamaliza ama la??

0 comments:

Post a Comment