Pages

Subscribe:

Thursday, October 20, 2016

BOBBY SHMURDA AHUKUMIWA KIFUNGO MIAKA 7 JELA

Mkali wa ‘Hot Boy’ Bobby Shmurda amehukumiwa kwenda jela miaka 7.
Mwezi uliopita, Bobby alikubali mashataka yaliyokuwa yanamkabili ya kumiliki  silaha kinyume  cha sheria, Japo alidai kuwa alilazimishwa na wakili wake kukubali mashitaka hayo.

Hata hivyo mwanzo alikuwa amehukumiwa miaka 5 lakini hakukubali kwasababu rafiki yake, Chad “Rowdy Rebel” Marshall alikuwa amehukumiwa... miaka 12 kwahiyo ikabidi aongezewe ili rafiki yake apunguziwe, wote wamehukumiwa miaka 7 na mahakama.

0 comments:

Post a Comment