Pages

Subscribe:

Monday, October 24, 2016

HUYU NDIYE MWANAMKE ANAYE DATE NA IDRIS SULTAN


Inasemekana eti Idris na Mrembo ajulikanaye kama Sanchoka kwa sasa ni wapenzi baada ya kuonekana pamoja huko Afrika Kusini walipoenda kwa ajili ya MTV awards.

Picha na Video mbali mbali wakiwa pamoja zainazagaa huku instagram. Tazama hapa...

 
.


0 comments:

Post a Comment