Pages

Subscribe:

Tuesday, May 31, 2016

NAMELESS AAMUA KUUPIGA CHINI MUZIKI

13
Mwanamuziki aliyejitengenezea jina kubwa katika tasnia ya muziki Afrika Mashariki aliyesifika na Ngoma ya Sinzia, David Mathenge ‘Nameless’ imevuja kuwa amepiga chini masuala ya muziki na badala yake ameamua kudili zaidi na ishu zake zingine za kibiashara.

Kikichonga na gazeti hili, chanzo cha kuaminika kutoka nchini Kenya ambacho kipo karibu na Nameless kilisema kuwa, msanii huyo kwa sasa hafanyi muziki ‘sereousy’ kama...

MTOTO WAKIUME AZALIWA AKIWA NA NYWELE SEHEMU ZA SIRI NA HAMU YA NGONO

34C56F6700000578-3616389-The_toddler_known_only_as_Akash_was_found_to_have_the_testostero-a-22_1464615966532


Mtoto wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja nchini India aliyebainika kuwa na nywele kwenye sehemu zake za siri na hamu ya kufanya mapenzi amegundulika kuwa na tatizo la homoni ambalo ni nadra sana.

Mtoto huyo ambaye jina lake ni Akash, alipatikana akiwa na homoni za testosterone zenye kiwango cha mtu mzima mwenye miaka 25. Hiyo inamaanisha kuwa alikuwa na uume wenye size kama ya mtu mzima, ndevu na nywele za sehemu za siri pamoja na...

MIRROR KUTUPA KARATA YAKE KWENYE FILAMU

Wema na Mirror

Msanii wa muziki ambaye yupo chini la ya kampuni ya filamu ya Wema Sepetu ‘Endless Film’, Mirror, amesema kukaa ndani ya kampuni hiyo kwa muda mrefu kumemfanya atamani kuigiza.

Akiongea na Bongo5 Jumapili hii, Mirror amesema ipo siku mashabiki wake watashangaa ameibukia kwenye uwigizaji. “Nimekaa kwa muda mrefu sana Endless Film, chini ya Wema, na yeye ni mwigizaji mzuri sana, kwa hiyo katika hali ya kawaida lazima...

MASIMANGO YALINIFANYA NIMTAFUTE BABA YANGU

Msanii Gerry wa Rhymes amefunguka kuhusu sababu iliyomfanya amfuate baba yake mkoani Shinyanga, na kuonana naye kwa mara ya kwanza baada ya miaka 21 kupita, tangu waonane kwa mara ya mwisho. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Gerry amesema masimango aliyokuwa akiyatoa baba yake wa kambo pamoja na kitendo cha...

SHOW YA MASAA MATATU KWANGU NI SAWA NA MAZOEZI

Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, amesema kuperform show kama hizo na live band ni kitu cha kawaida kwa msanii.
“Kuperfom masaa matatu ni kitu cha kawaida kwa msanii ambaye yupo serious na kazi, hauko serious usijiite wewe msanii, msanii unatakiwa uwe perfect every where, fanya...

KESI YA MESSI YAANZA KUSIKILIZWA HISPANIA

Raia huyo wa Argentina na mshambulizi wa Barcelona, anakabiliwa na mashtaka ya udanganyifu na kukwepa kulipa kodi takriban dola milioni 4.5 kati ya mwaka wa 2007 na 2009.

Messi na babake Jorge, ambaye ndiye anayesimamia mali yake wanadaiwa kuficha mamilioni ya pesa katika visiwa visivyotoza kodi vya Belize na Uruguay. Mamlaka ya ushuru ya Uhispania inadai walitumia...

MASTER J AWACHANA WASANII WA HIP HOP

12224676_1683413261895812_1910400538_n


Mtayarishaji mkongwe wa muziki hapa Bongo, Master Jay amewajia juu wasanii wa Hip Hop bongo kwa kushindwa kutumia fursa zilizopo.

Miaka ya hivi karibuni muziki wa Hip Hop nchini umeonekana haulipi huku baadhi ya wasanii wa muziki huo wakigeukia kwenye muziki wa kuimba wakati kwenye list ya wasanii wanaoongoza kwa mkwanja duniani ni...

DIAMOND AOMBA RADHI KWA MASHABIKI WAKE DALLAS TEXAS KWA KUKATISHA SHOW

Diamond Texas

Msanii wa muziki anayefanya vizuri kimataifa, Diamond Platnumz amewaomba radhi mashabiki wake wa muziki wa Dallas Texas, Marekani baada ya show yake ya Mei 28 kukatishwa kutoka na ukumbi kuwa mdogo na kufanya usalama wa watu kuwa mdogo.


Muimbaji huyo amewataka maandaaji wa matamasha kuandaa show zao kwenye kumbi kubwa kwa kuwa muziki wa Watanzania umekuwa. Kupiti facebook Diamoand alipost picha na kuandika...

JAY MOE KUVUNJA UKIMYA WA MIAKA MINNE KWA PESA YA MADAFU

Jaymoe

Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Jay Moe anatarajia kuvunja ukimya wake wa miaka 4 kwa kuachia wimbo mpya wiki hii uitwao ‘Pesa ya Madafu’.

Akiongea na Bongo5 Jumapili hii, Jay Moe amesema ukimya wake wa muda mrefu umemfanya ajiandae vizuri ili asiwaangushe mashabiki wake.

“Nina project mpya ya Jay Moe mwingine, baada ya miaka 4 toka 2012 ndio last time nilifanya muziki,” alisema Jay Moe. “Kwa hiyo imenichukua miaka 4 ya kuweza kujipanga tena, na kusema kwamba...

EX WA LINAH AFUNGA NDOA

nagar-54


Aliyekuwa mpenzi wa msanii wa Bongo Flava Linah Sanga, Nagar aka Nagarico amefunga ndoa wiki iliyopita.

Nagar pia aliwahi kuhusishwa kuwa na uhusiano na Wema Sepetu. Alifunga ndoa na mpenzi wake aliyemtaja kwa jina moja tu kuwa la KHADIJA na kusema hataki mambo yake kwa sasa yawe...

BILL NAS: GODZILLA HAJIAMINI SIIGI CHOCHOTE KUTOKA KWAKE


Bill nass 001
Rapper anaekuja kwa kasi kwenye game ya muziki wa kizazi kipya nchini Bill Nass amekanusha madai kuwa amekua akigeza stayles na aina ya utamkaji wa maneno kutoka kwa  rapper Godzila. Kwenye mahojiano aliyofanya kwenye kipindi cha D’Wekend Chart Show cha Clouds Tv weekend hii,Bill Nass alidai kuwa licha ya madai ya Godzila na watu wake karibu kudai kuwa katika nyimbo zake amekua akiiga stayles kutoka kwake, anaamini kuwa hawalingani na hawafanani kwa chochote na...

PICHA: HARMONIZE AMTAMBULISHA WOLPER NYUMBANI KWAO

HARMONISE23
Wikiiliyopita staa anaechipukia kwenye bongo fleva Harmonize alimpeleka mpenzi wake Jacqueline Wolper kwao Mtwara alikoenda kutumbuiza kwa mara ya kwanza tangu aukwae ustaa kupitia label ya WCB. Tazama picha hapa...

SHILOLE ATOA SABABU NNE ZA KUPENDA VIJANA WADOGO

MSANII nyota wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole, baada ya kusemwa kwa muda mrefu, hatimaye amefunguka na kutoa sababu nne za yeye kupenda kutoka na wanaume wanaotajwa kuwa ni wadogo kwake kiumri.

Akizungumza nyota huyo ambaye pia hufahamika kama Shishi Baby, alisema maneno ya watu juu ya jambo hilo siyo sahihi, kwani historia ya maisha aliyopitia ndiyo inayomfanya aonekane mkubwa, wakati yeye ni...

BAADA YA NAY KUCHEPUKA DEMU WAKE NAYE ACHEPUKIA KWA BELLE 9

SIYO siri tena! Baada ya mkali wa Muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuchepuka kwa msichana wa Kihabeshi mwenye asili ya Ethiopia, aliyekuwa mpenzi wake Lulu Abass ‘Lulu Diva’ naye ameamua kugeukia kwa staa wa muziki, Abedinego Damian ‘Belle 9’.

Akizungumza na Over Ze Weekend Lulu ambaye ni muuza nyago kwenye video za Kibongo alidai kuwa, Nay hajatulia na badala yake anahitaji kuwa na mtu asiye na skendo za kutembea na wanawake ovyo na...

HADITHI: NYUMA YA CHOZI (Sehemu Ya Kwanza) 01

SI KILA CHOZI LIDONDOKALO, hudondoka kwa huruma au maumivu, mengine nyuma yake yamebeba siri nzito. Siku zote siraha ya mnafiki huwa machozi, unaweza kuona anakuonea huruma kumbe kikulacho kinguoni mwako, anakutafuna taratibu ukishtuka amekumaliza. Deusi aliamini wote waliomlilia siku ya hukumu yake hasa mkewe na rafiki yake kipenzi walikuwa na uchungu wa kweli, lakini kumbe ilikuwa siri nyuma ya machozi. Ukitaka kujua yote naomba twende pamoja katika hadithi hii tamu. TWENDE SASA…

CHOMBEZO: PENZI LA DADA (sehemu ya pili) 02

............. Baada ya kufika mlango wa
kuingilia ndani kwa Tayna nilimshusha huku tukiendelea kupeana mabusu ya
kimahaba Tayna alikua anatoa miguno iliyozid kuniongeza hamu nami ckuwa
mnyonge nilimshka Tayna kila kwenye kipele kinachostahili kukunwa
tuliendelea kupeana raha huku tukielekea chumbani Tayna alijua jinsi
ya kunichanganya alijua kila palipo na haja ya kuguswa na kunifanya niwe
mfungwa wa himaya yake Baada ya kufika kitandani Tayna alianza...

TUNAOUWA HIP HOP NI WASANII WENYEWE


Fid-q
Msanii Fid Q amekiri wazi kuwa wasanii wa Hip hop nchini ndiyo chanzo cha muziki huo kushindwa kukua kwa kasi na kuweza kutoboa kimataifa kutokana na wasanii wenyewe wa Hip hop kutotaka kuwekeza katika kazi zao. Fid Q amesema hayo kupitia kipindi cha eNews na kudai kuwa anakubali kuwa wasanii hao wanaandika vizuri sana.

Wana midundo mizuri lakini kinachowafelisha ni wasanii hao kutotaka kuweka nguvu kubwa kwenye video zao na kufanya video za kawaida kabisa ambazo zinashindwa kwendana na...

Monday, May 30, 2016

Download: Godfather Iguana_Gheto Langu [rmx]


Download

Watch & Download: Joti_Malkia Wa Nguvu [Official Video]


Watch Here

Download: Cyrus Engine_Kiki Juu Ya Kiki


Download

HIKI NDICHO KITAKACHO KUWEPO KWENYE ALIKIBA TV

Series ya taarifa kubwa za michongo ya kimataifa aliyopata Alikiba mwezi huu imeendelea. Wikiendi iliyomalizika, kampuni ya usimamizi inayofanya kazi naye, Rockstar4000 imetangaza kuingia naye ubia kwa kuanzisha kile kilichopewa jina ‘Alikiba TV.’

Kwa wengi taarifa hiyo iliyoandikwa kwa Kiingereza haijaeleweka vizuri na hivyo nimelazimika kumtafuta meneja wake, Seven Mosha kumuomba atupe ufafanuzi zaidi. “Aikiba amezindua Alikiba TV ambayo ni content kuhusiana na kazi yake – matukio yote around him kikazi itakayokuwa inapatikana...

BAADA YA KUTOBOA PUA SASA DIAMOND AJA NA MENO YA DHAHABU

Diamond Platnumz's Baby Mama, Zari shared a pic of her hubby, Diamond Platnumz to ask for the fans to vote for Diamond on BET 2016 Awards, On his Pic Diamond platnumz seems to make changes on his teeth, not yet known even he has attached 'golden teeth' or...

Download: Raymond_Freestyle

Kabla ya kumfahamu akiwa WCB, Raymond ni msanii wa rap aliyefahamika kitaa kwa uwezo wake mkubwa wa kufreestyle. Wengi hawaujui uwezo wako huo hivyo sasa tunakupa ladha ya uwezo wake huo kama alivyouonesha kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumamosi iliyopita.

Download 

WANAWAKE NCHINI KENYA WAANDAMANA BAADA YA WAUME ZAO KUSHINDWA KUWAPA MIMBA

Wanawake katika jimbo la Ndeiya nchini Kenya walifahamisha kuwa waume zao wanashindwa kuwapa ujauzito kutokana na mwenendo wa unywaji wa pombe haramu ambazo zinaathiri nguvu za kiume.
Katika maandamano ya amani yaliofanyika katika kituo cha biashara cha Thigio, wanawake walioandamana Alhamisi walifahamisha kukerwa na wanaume wanaojihusisha na ulevi kupita kiasi. Nancy Wangare alifahamisha kuwa katika kijiji
hicho wanawake wachache walioolewa...

HASHEEM THABEET ATUA KIMYA KIMYA NCHINI TANZANIA

Tangu nimeanza kumsikia, Hasheem Thabeet hajawahi kuwa mtu wa matangazo mengi pale anaporudi nyumbani. Mchezaji huyo wa kikapu aliyefanikiwa kuchezea timu nne zilizopo kwenye ligi ya NBA nchini Marekani, yupo jijini Dar es Salaam kwa
Mchezaji huyo aliyeenda hewani, Jumamosi alionekana kwenye viwanja vya Leaders alikoenda kwenye tamasha la Nyama Choma.
Akiwa NBA Hasheem alichezea timu nne tofauti zikiwemo...

BIFU LA SHILOLE NA VANESSA LAISHIA JUKWAANI

Vanessa na Shilole wakijaribu kuelezea juu ya bifu lao. WAREMBO wanaofanya vyema kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Vanessa Mdee, usiku wa kuamkia leo wameweza kuvunja bifu lao ambalo limekuwa likivuma kwenye mitandao ya kijamii baada ya...

ALIKIBA AKANUSHA KUMTUNGIA JOKATE WIMBO WA AJE

Alikiba amesema Aje si wimbo aliomuimbia Jokate wala msichana yeyote bali aliimba kwaajili ya mashabiki wake. “Sijamuimbia mtu yeyote kwa kweli, mi nimeimba kwa ajili ya mashabiki wangu, kwanza sijawahi kumuimbia mtu kabisa, sijawahi, so ni kwa ajili ya mashabiki wangu,” Kiba alikiambia kipindi cha Friday Night Live cha EATV.

Hata hivyo Kiba alikiri kuwa kumtaja Wema kwenye wimbo huo kimekuwa ni kitu cha surprise kwa mrembo huyo. Aje ni miongoni mwa nyimbo zinazofanya vizuri kwa sasa si tu Tanzania, bali...

Friday, May 27, 2016

Watch & Download: Bill Nas_Chafu Pozi [Official Video]


Watch Here

MARUFUKU KUVAA NGUO FUPI SHERIA ZA VIBOKO NA FAINI ZATAJWA

Moja ya matukio ambayo yanamake headlines katika Wilayani Siha Kilimanjaro ni pamoja na adhabu zinazotolewa kwa wale wanaovunja sheria, kingine ni kwamba kijiji cha Sanya Hoye kimepitisha adhabu ya faini ya Shilingi 50,000 pamoja na viboko 15 kwa atakayekutwa baa na mtoto mdogo au kuvaa nguo fupi.

Mwenyekiti wa kijiji cha Sanya  Hoye, Moses Mnuo ametoa ufafanuzi wa maazimio waliyokubaliana katika kikao cha kijiji cha Sanya Hoye. ‘Tumepitisha sheria kwa mtu yeyote anayevaa nguo fupi kwa watoto wa kike ni...

MAU ATEMBELEA NYOTA ZA WASANII


Mau- bongo Movies
Msanii wa komedi kutoka Bongo Maulid Ali a.k.a Maufundi anatumia mitandao ya kijamii kujiingizia pesa kwa kufanya video kavaAkizungumza na Enewz Mau alisema kuwa kwa sasa amepata staili mpya ya kumuingizia pesa ambayo mara ya kwanza alikuwa anafanya kama burudani lakini amegundua...

DIAMOND ATWAA TAJI LA LIP SYNC AFRICA YA MTV


DIAMOND13
D’Banj ambaye ni host wa show hiyo akimpongeza Diamond kwa ushindi
Diamond Platnumz amechukua taji la kipindi cha Lip Sync Africa kinachorushwa na kituo cha MTV SA.
 
Alikuwa akichuana na mshkaji wake, Theo wa kundi la Mafikizolo. Kwenye kipindi hicho, wasanii wawili hushindana kuziimba nyimbo za wasanii wengine kwa kugandamizia na...

Download: D Junior_Puyanga


Download

IMEBAINIKA BIFU LA VANESSA NA SHISHI LILIKUWA KIKI TU

Siku hizi kutafuta Kiki hata kwa kutukanana na mabeef imekuwa kitu cha kawaida kwa wasanii wetu hapa Tanzania... Unaambiwa Ile bifu ya Wanamuziki warembo wawili Vanessa Mdee na Shilole imekuja kubainika kuwa ilipangwa ili kuvutia watu katika Show yao ya...

ALIKIBA KUWATAMBULISHA WASANII WALIO CHINI YA LEBO YAKE


Hivi unajua kama Ali Kiba aliwahi kuwasimamia wasanii kadhaa chini ya ‘label’ yake kama tunavyoona kwa baadhi ya wasanii wa hapa nchini kwa sasa,iliishia wapi ana mpango wa kurudi tena kusimamia wasanii.
’Hivi vitu nilikuwa navyo muda mrefu ila havikuwa ‘promoted’unajua vitu vyangu vingi huwa vinakuwa kimyakimya nilikuwa na wasanii wengi lakini nilivyopumzika kufanya muziki kipindi kile ilibidi niwapumzishe kwasababu ya...

Download: Nyandu Tozi ft Cliff Mitindo, Deddy x Gosby_Kiboko Ya Mabishoo


Download

CHOMBEZO: PENZI LA DADA (Sehemu ya Kwanza) 01


PENZI LA DADA (sEHEMU YA 1)
MTUNZI:KHAMIS KAMBI

Jina langu naitwa John O'conner naishi ktk mji wa chicago soon baada ya kumaliza chuo nimejiunga na kampun ya John and Bertty tawi la Chicago nikafanikiwa kupanda cheo hadi kua meneja mauzo wakati nipo hpo nilikutana na msichana mrembo anaitwa Tatiana alikua ni mrefu mweny umbo la kuvutia lips zake mda wote zimeloa akitabasam hata kama una hasira ...na ww utatabasam naam huyo ndio Tatiano msichana aliyetokea jimbo la Texas wakati tupo ktk majukumu ya kazi cku zote tulipenda kufanya kazi pamoja kwa kushirikiana hali iliyoleta ukaribu mkubwa kati kadri cku...

Thursday, May 26, 2016

CHID BENZ ADAIWA KUTOROKA SOBER HOUSE

Wakati wadau wa muziki wakifahamu kuwa Msanii wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’ yuko katika kituo cha kusaidia waathirika wa madawa ya kulevya ‘sober house’ kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani, inadaiwa jamaa alishatoroka kitambo na sasa yuko kitaa.

Taarifa iliyotua kwenye meza ya dawati hili ilidai kuwa, Chid alitoroka kituoni hapo baada ya kushindwa kuhimili mazingira yalikuwepo hivyo akaona bora arudi mtaani kwa staili ya...

MBOTO NA RIYAMA WAMUUMBUA TUNDA MAN

Mchekeshaji maarufu hapa nchini, Mboto, pamoja na muigizaji wa filamu Bongo movies, Riyama Ally, wamekanusha kufanya filamu ya 'Mama Kijacho' kama alivyodai mwanamuziki Tunda Man ambaye ndiyo alijinadi kuwa muhusika mkuu.

Mboto amekanusha hayo mbele za kamera ya eNewz na kusema kuwa "mimi sijawahi kushuti movie ya mama kijacho," alisema Mboto alizidi kuongeza kuwa "Msema kweli mpenzi wa Mungu, Hata Mzee Magufuli...

WEUSI WAASHOOT VIDEO YAO NA CHIDMAN PAMOJA NA MSANII MWINGINE WA SA

13258940_617719245043779_2092866993_n


Weusi wapo nchini Afrika Kusini walikoenda kushoot video za ngoma mpya. Weusi wakiwa na msanii wa Nigeria Chidinma na muongozaji wa video, Justin Campos

Haijajulikana kama wameenda kwaajili ya mradi wa kundi ama ni kazi binafsi za Joh Makini lakini awamu hii...

VANESSA MDEE KUFANYA COLLABLE NA MSANII KUTKA UFARANSA

13267325_1186684574676609_1258199952_n


Vanessa Mdee na msanii wa Ufaransa, Lylah wanatarajia kuja na wimbo utakaozikutanisha Bongo na Ufaransa kimuziki.

Lylah ni msanii maarufu wa R&B na Zouk nchini Ufaransa. Wawili hao wameshare ujio wa single ya kupitia Instagram. “New Heat Coming #France #Tanzania can’t wait for you to hear it. Much love for my beautiful talented sister girl @lylahoriginal,” aliandika Vanessa kwenye...

LULU AFUNGUKA KUHUSU MIMBA YAKE NA KUOLEWA

Miezi michache iliyopita mwanaBongomovie Lulu aliamua kumtangaza mpenzi wake hadharani kua ni Majay, mkurugenzi wa Efm. Na maswali ya mashabiki wengi yakawa ni kweli watadumu au ndo atakua kafika na kuamua kuolewa????

Lulu aliamua kujibu maswali hayo pale alipoamua kujibu maswali aliyokua akiulizwa na mashabiki wake kwa njia ya video. Katika video hiyo Lulu aliamua kufunguka mambo mengi sana ikiwemo ufafanuzi wa picha aliyopost ikionyesha...

Wednesday, May 25, 2016

Download: Young Killer ft Mr Blue_Kumekucha


Download

BIRTHDAY YA TIFFAH MTOTO WA DIAMOND YAANZA KUANDALIWA MIEZI 3 KABLA

Tiffah3e

Mtoto wa staa wa muziki nchini, Diamond Platnumz, Tiffah atatimiza mwaka mmoja August 6 mwaka huu, ambapo tayari familia yake imeanza kufanya maandalizi ya kusherekea sherehe ya mtoto wao kutimiza mwaka mmoja.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Tiffah ambao unaendeshwa na wazazi wake, umetoa ujumbe huu kwa kampuni za mapambo:
My 1st Royal birthday is loading. Kindly tag the best event planner/decor personnels that...

HII NDIYO LIST YA WANAUME WALIYOWEZA KUMNASA WOLPER KWA KUMDANGANYA NA PETE

Waliosema ujana maji ya moto hawakukosea kwani una changamoto nyingi hasa pale unapofikia wakati wa kumtafuta mtu sahihi wa kuwa naye maishani yaani mke au mume.

Staa wa filamu  za Kibongo, Jacqueline Wolper anaweza kuthibitisha hilo kwani pengine anaweza kuwa staa mwenye listi ndefu ya wanaume waliomvisha pete za uchumba kisha wakapata walichokitaka na mitini japo haikatishi ndoto zake za...

Download: Raymond_Natafuta Kiki


Download

VIDEO: BIFU LA WEMA SEPETU NA HARMONIZE LACHAFUA HALI YA HEWA

Kuna bifu kubwa sana limeibuka kati ya msanii wa Wasafi Harmonize na team Wema baada ya Harmonize kutoa freestyle yenye maneno ya kumkashifu Wema Sepetu.

Kijana Harmonize mpaka sasa anaoga matusi yote ya dunia hii kutoka kwa team Wema. kwenye clip hiyo Harmonize aliskika akisema: Naskiaga wanasema uzuri wa nyumba usikufanye utembee peku, "sista duu usitoe mimba ukaja kulia kama Sepetu " - Harmonize 

Watch Here 

YOUNG DEE AFUNGUKA KUHUSU MADAWA YA KULEVYA NA POMBE

Young Dee amekanusha tena uvumi ulioenea mtaani kuwa anajihusisha na matumizi ya dawa za kulevya. Akiongea kwenye kipindi cha Harakati cha Clouds FM kinachoendeshwa na Kalapina, rapper huyo amesema tokea akiwa mdogo amekutana na mambo mengi ya kuzushiwa.

“Hata mimi nasikia sana,” alijibu alipoulizwa kuhusu tetesi za kutumia unga. “Unajua mimi nimekuwa kwenye muziki tokea niko mdogo maana tokea nipo shule nimekutana na...

WOLPER AFUNGUKIA MAPENZI YAKE NA HARMONIZE

WOLPER892
Wolper jana amefanya mahojiano na Zamaradi Mketema kwenye kipindi cha TakeOne na kuzungumzia mambo mengi kuhusu yeye na aliyekuwa mpenzi wake Putin ‘Mkongo’ aliyemvisha pete, na uhusiano wake na msanii Harmonize.
‘Ni kweli Raj (Harmonize) ni mpenzi wangu,ukweli nilimjua siku nyingi nilikuwa nikimchukulia kama mwanamuziki tu, tuna mwezi mmoja na...

NAY WA MITEGO AMNASA MCHUMBA MHABESHI


NAY WA MITEGO
Miezi michache tu baada ya staa wa Hip Hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’  kuripotiwa kutoka na msichana anayejulikana kama Chaga Baby, imedaiwa kuwa hivi sasa, yupo na mrembo raia wa Ethiopia (Mhabeshi) anayejulikana kwa jina la Addi na ameapa kufunga naye ndoa.

Chanzo makini kililiambia gazeti hili kuwa, Nay na mwanadada huyo ambaye ni msanii wa filamu, kwa sasa ni mahaba niue na wanapoelekea ni pazuri tofauti na...

WEMA SEPETU: IPO SIKU NTAITWA MAMA

Wema Sepetu ana kila kitu anachokitaka duniani, fedha, magari na vingine lakini amekosa kitu kimoja tu muhimu – mtoto.

Na Miss Tanzania huyo wa zamani anataka watu wajue kuwa suala la mtoto si kitu anachokichukulia poa hata kidogo. Muigizaji huyo alielezea hisia zake hizo kwa kupost picha akiwa na mama yake na kuandika: Iko siku na mimi ntaitwa Mama.’ Aliongeza...