Pages

Subscribe:

Monday, May 23, 2016

MABURUNGUTU YA PESA ZA DOGO JANJA YAWACHANGANYA MASHABIKI ZAKE

Msanii wa Hip Hop kutoka Tip Top Connection, Dogo Janja amewatoa udenda mashabiki wake wa instagram baada ya kupost picha akionyesha mabunda ya pesa huku pesa zingine zikiwa kwenye begi.
Dogo Janja

Rapa huyo anayefanya vizuri na wimbo wake ‘My Life’, alipost picha hizo instagram na kuandika: Mshamba... anaeishi maisha yake.
hh

Baada yakupost picha hizo instagram, mashabiki walianza kupost maoni yao huku wengi wakionyesha kutopendezwa na hatua hiyo.

_____ozii
Pesa kuonesha hadhan ndugu utajkuta pabaya watu skuiz washa geuka so watu pls so ktu kzu kufanya hvy uspende kuonesha hadhara ni wazo langu tu ndugu one love man

Checheclassic
Hyoo pesa umeitoa wp janjaro

0 comments:

Post a Comment