Pages

Subscribe:

Wednesday, May 31, 2017

MADHARA YA KUWAPA WATOTO CHAKULA KWA KIJIKO YATAJWA

Watoto ambao hulishwa chakula kwa kijiko wameelezwa kuwa hatarini zaidi kuwa na uzito mkubwa au unene kupita kiasi ukilinganisha na watoto ambao wanakula wenyewe kwa mikono yao, kwa mujibu wa utafiti mpya.

Amy Brown, Professor katika Chuo Kikuu cha Swansea amesema kuwa watoto wanaopewa nafasi ya kula wenyewe kwa mikono yao huwa na uwiano mkubwa wa afya bora hivyo wazazi wameshauriwa kutowalisha kwa kijiko watoto wenye umri wa...

LYRICS: Nyanshiski_malaika

https://images.genius.com/a3e4e948188a1faaa83f78d31c68cab1.570x568x1.png
[Verse 1]
Uko na tabia za kupendeza roho
Tabasamu ya kupapasa macho
Sauti yako nikiiskia pia natulia yanipunguzia hasira nazo
Urembo wako ulininasa roho
Siku ya kwanza kukuona kwa macho
Sa moyoni umekwamia siwezi kutania njoo unipunguzie mawazo...

ROSE NDAUKA AAMINI HAYA BAADA YA JOKATE KUTAJWA KWENYE JARIDA LA FORBES



Baada ya majina ya Watanzania kutokelezea katika jarida la Forbes la wajasiriamali wenye umri chini ya miaka 30, ambao ni Jokate Mwegelo na Lavie Makeup limemfanya muigizaji Rose Ndauka kuamini kwamba hakuna kitu kinachoshindakana kwenye hii Dunia.

Kupitia kurasa yake ya Twitter, Rose Ndauka aliamua kuandika jumbe yake kwa kusema kwamba “Kitu ulichokifanya,unatuhakikishia hakuna...

WAKAZI: ALBUM YA KISIMANI HAIJACHAHA



Msanii wa muziki wa hip hop, Wakazi, anajipanga kuachia albamu yake mpya ‘Kisimani’ ndani ya mwezi huu wa Ramadhani baada ya kuiandaa kwa kipindi cha miaka mitano.

Rapa huyo amedai tayari ameshawaahidi sana mashabiki wake juu ya albamu hiyo lakini kwa sasa analazimika kuiachia kwa namna yoyote, Akiongea na Bongo5 wiki hii, Wakazi amedai alikuwa anashindwa kuiachia albamu hiyo kutokana na...

HIZI NDIYO VURUGU ZA KUNDI LA RICH GANG's KWENYE MSIBA WA IVAN SEMWANGA


Jana May 30 ndio ilikuwa siku rasmi ya kupumzishwa kwa mwili wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini Uganda Ivan Semwanga ambaye aliwahi kuwa mapenzini na baby mama wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady na kufanikiwa kupata watoto watatu, ambaye amefariki May 25 huko ncini South Africa kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni shinikizo la damu.

Mwili wa Ivan ulipumzishwa mapema hapo jana katika wilaya ya Kayunga jijini Kampala nchini Uganda ikiwa ndio nyumbani kwa wazazi wa Ivan Semwanga. Mengi yalijiri katika msiba huo ila kubwa zaidi ni hili la marafiki wa marehemu Ivan...

MENEJA WA DIAMOND: NILIMKUTA SAM WA UKWELI ANAUZA MATUNDA


Meneja maneno ambaye awali alikuwa akisimamia kazi za wasanii kadha akiwemo Sam wa Ukweli,Rich Mavoko na Diamond Platnumz amefunguka jinsi alivyomkuta msanii Sam wa ukweli akiwa anauza matunda.

Maneno amefunguka hayo katika kipindi cha “Bongo Fleva Top 20′ cha EA Radio kuwa alimkuta msanii huyo alinaehit na ngoma ya ‘kisiki’ kwa sasa akiwa anauza matunda lakini...

ALIKIBA ADAI NGOMA YAKE MPYA IPO KATIKA HATUA ZA MWISHO


Unaikumbuka ile Mwana? Ngoma ambayo ilimrudisha vyema kabisa kwenye game ya music mfalme wa Bongo fleva Ally Saleh Kiba baada ya kimya cha muda mrefu. Kama hukumbuki vyema, ninachotaka kukukumbusha saa hii ni kwamba ngoma ile (Mwana) ilisukwa na mtayarishaji mkali na mkongwe wa Bongo fleva, Man Water. 

Kama ulimiss aina na ladha ya muziki kama ule kutoka kwa King Kiba, the wait is over, sababu ametusanua kuwa yuko katika hatua za mwisho kuikamilisha ngoma yake mpya ambayo...

BEN POL: SIJAMLIPISHA DARASSA FADHILA ILA WIMBO NDIYO ULIMUHITAJI


Msanii Ben Pol amesema ngoma yake mpya ‘Tatu’ aliyomshirikisha Darassa sio malipo au fadhila baada ya kufanya vizuri katika wimbo ‘Muziki’ bali wimbo wake ulikuwa unamuhitaji Darassa. Ben Pol amesema yeye na Darassa hawalipishani fadhila kwamba mmoja akimfanyia kitu mwenzake ni lazima amlipe.

“Hata mimi mwenyewe hapo katikati baada ya ‘Muziki’ nimefanya nyimbo nyingi sana, na ningeweza kusema mwanangu tufanye, nilikustaki kufanya ilimradi eti kwa sababu ni...

DIAMOND: SIPENDI TIFFAH AWE MSANII WATAMLA SANA


Juzi kati msanii Diamond Platnumz alikuwa jijini Nairobi katika media tour ikiwa ni pamoja na kumtambulisha msanii wake mpya ambaye amemsaini kwenye lebo yake ya WCB Wasafi anayefahamika kwa jina la Lavalava.

Na moja kati ya media ambazo alifanya nazo interview ni pamoja na NTV ambapo DIamond alitisha kwenye kipindi cha The Trend. Diamond Platnumz aliulizwa maswali mengi ila moja kati ya hayo ni pamoja na angependa watoto wake wawe...

ERIC OMOND ATOA SOMO KWA WANAWAKE WANAOTAKA KUWA KAMA VERA SINDIKA



Mchekeshaji kutoka Kenya, Eric Omondi ameonyesha picha zake akiwa amevaa nguo za kike ambapo amewaonyesha watu wanaotamani kuwa kama Vera Sidika.

Omondi amepost picha mbili katika mtandao wa Instagram na kuandika, “I assure you!!! This is going to...

LULU: ZARI NI MAANA YA MWANAMKE JASIRI


Hakuna asiyetambua ugumu ambao anaupitia Zari The Boss Lady kwasasa, ikiwa ni pamoja na kufiwa na aliyekuwa mwanaume wake ambaye walifanikiwa kupata naye watoto watatu, Ivan Semwanga almaarufu kama Ivan Don.

Lakini bado mwanamama huyo ameonekana kusimama imara na kucheza vyema nafasi yake kama mama bora kwa watoto wa marehemu Ivan Don ikiwa inaeleweka fika hivi sasa Zari yuko...

GODZILLA AKANUSHA KUWEKWA NDANI KIUNYUMBA NA DOREEN

Rapa Godzilla amekanusha kuwekwa ndani kimapenzi na aliyekuwa mtangazaji wa Clouds Fm, Dee Andy.
Wawili hao hapo awali walidaiwa kutoka kimapenzi. 

Kupitia mtandao wa twitter Godzilla amebainisha suala hilo halipo kama lilivyoandikwa kwenye mtandao flani ya kijamii. “Mwambieni yuke boya aliyeandika Jamii Forum nakaa ndani tu kisa Doreen this is...

BIFU LA LUDA NA DRAKE LILIMALIZWA KWA STYLE HII


Ludacris aamua kuweka wazi kuhusu bifu lake na Drake kwamba lilishamalizwaga kitambo hata kabla ya kuja kutangaza kwenye tuzo za Billboard.

Wakati album ya “Views” ilishinda tuzo ya Top Billboard 200 Album katika utoaji tuzo wa Billboard, Drake alitumia fursa hiyo kufunguka kwamba yeye na Ludacris hakuna tena bifu, Nikukumbushe kwamba bifu la wawili hao lilianza...

LAIZER ATAJA MSANII WA WCB ANAYE FURAHI KUFANYA NAYE KAZI


Mtayarishaji wa muziki kutoka studio ya Wasafi Records, Lizer amemtaja msanii wa WCB ambaye anafurahi zaidi akiwa anafanya naye kazi.

“Msanii yoyote anayejua mimi nina enjoy sana kufanya naye kazi, ukimuelekeza fuata hiki anafuata lakini naweza kusema kwa kuwa Raymond ndiye msanii aliyegundua kitu kilichopo ndani ya...

MRISHO MPOTO ASEMA NENO KUHUSU MZEE ALIYECHORA NEMBO YA TAIFA LA TANZANIA


Msanii wa muziki wa kughani nchini Tanzania, Mrisho Mpoto amesikitishwa na kifo cha Mzee Francis Kanyasu aliyechora Nembo ya Taifa na kusema anatamani siku zirudi nyuma ili aweze kuongea naye tena.

Mpoto amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kudai Mzee huyo alishawahi kumsaidia kumpa wazo la kufanya video ya wimbo wake wa ‘Njoo Ichukue’.
“Hii ni taarifa ya kunisikitisha sana kwenye maisha yangu ya muziki, nakumbuka kabla ya...

DOGO JANJA KUJA NA BIDHAA ZA MICHEZO ZA WATOTO


Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja amefunguka kwa  kusema kuwa yeye hana mpango wa kufanya biashara ya nguo kama wasanii wengine bali anafikiria kuwa na bidhaa za michezo za watoto. Dogo Janja ameimbia show ya XXL kuwa amejipanga kuja na brand ambayo itatoa vitu vya watoto kama game.

“Yaani mimi nitakuwa na deal na madogo, madogo janja Mungu akijalia niweze kusafiri nikaenda kuifanyia mitikasi hiyo nikirudi hapa narudi na bidhaa.  Unajua ukifanya biashara na mtu mzima...

Watch & Download: Kabo Snoop ft Olamide_Awaa [Official video]


Watch Here

Download: Mgana x Linah_Nitakupigia

Mgana x Linah - NITAKUPIGIA

Download

Watch & Download: Hamadai_Binadamu [Official Video]


Watch Here


Download: Becka Tittle ft Blue_Say Yeah


Download

Download: Heri Music_Malaika (Nyanshiski Cover)


Download

Download: G Nako_Lucky Me

G Nako - LUCKY ME

Download

Watch & Download: Adam Mchomvu_Shughuli [Official Video]

ADAM MCHOMVU - SHUGHULI

Watch Here

Friday, May 26, 2017

HARMORAPA AFUNGUKA SABABU YA YEYE KUVAA GAUNI ILIKUWA NI ALIKIBA




Harmorapa amefunguka kuhusu video inayosambaa mitandaoni ikimuonyesha amevaa gauni na kiremba kichwani.

Chipukizi huyo asiyeishiwa vituko amedai kuwa, anamkubali sana Alikiba hivyo alipomuona wiki iliyopita katika kipindi cha Lip Sync Africa kinachoruka kupitia runinga ya MTV SA akiwa amevalia...

CHEKA NA POST ZA MASTAA MBALI MBALI BAADA YA MAN UTD KUTWAA UBINGWA EUROPA

 
Baaada ya kumalizika mchezo kati ya Manchester United na Ajax, na Man United kutwaa 
ubingwa wa UEFA Europa League, mastaa wale mashabiki wa Man United wamekuwa na 
utani wa hapa na pale huko Ommy Dimpoz akiwatania mashabiki wa Arsenal kuwa...

Watch & Download: Sele Bobo ft Davido_Waka Waka [Official Video]


Watch Here

Watch & Download: Belle 9 x G Nako_Ma Ole (Official Video)


Watch Here

NJIWA ALIYE TUMIKA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA AKAMATWA

Polisi wa Kuwait wamemkamata njiwa aliyekuwa amebeba dawa za kulevya aina ya Ketamine ambaye alikuwa amenasa kwenye bati la jengo la forodha katika Bandari ya Abdel iliyopo mpakani mwa Kuwait na Iraq.

Katika taarifa iliyoripotiwa na BBC njiwa huyo alikamatwa baada ya kushindwa kuruka baada ya kuzidiwa na uzito wa dawa hizo ambapo alikuwa amebebeshwa kibegi kidogo mgongoni kilichojazwa vidonge 178 vya dawa zinazoaminika kuwa na...

HIKI NDICHO WALICHO KIFANYA G NAKO NA BELLE 9 KWAAJIRI YA HARUSI


Wasanii G Nako na Belle 9 katika project yao mpya ‘Ma-Ole’ ni kwa ajili ya kusherehesha kwenye harusi, na ni mwanzo wa kuwaandikia maharusi nyimbo kwa wale watakaohitaji.

Belle 9 amesema wakati wanatoa wimbo ‘Give It To Me’ akiwa na G Nako walipata show kadhaa za pamoja ambazo walienda kufanya kwenye harusi tofauti tofauti ndipo wakawaza kuja na...

KAULI YA DIAMOND SIKU MBILI KABLA YA KIFO CHA IVAN

Mwimbaji Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive Interview na On AiR with Millard Ayo siku mbili zilizopita na kuzungumzia ishu mbalimbali akiwa na kundi lake la WCB kwenye kumtambulisha msanii mpya wa WCB aitwae Lavalava.

Pamoja na maswali mengine, Diamond alijibu kuhusu Mpenzi wake Zari kwenda kumjulia hali Ivan ambaye ni mzazi mwenzie ambapo japo Mashabiki wengine walionyesha kutopenda Zari kumjulia hali, Diamond alisema...

MOSE IYOBO AMPIGA MARUFUKU AUNT EZEKIEL KULALA KAMBINI


Ni kawaida kwa wasanii movie kuweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya kushoot filamu zao, sasa mpenzi wa malkia wa filamu Aunt Ezekiel,  Mose Iyobo amempiga marufuku mrembo huyo kulala kambini kisa wivu wa kimapenzi.

Mose Iyobo ameimbia show ya XXL kuwa mwanzoni suala hilo lilikuwa linamuumiza kwa sababu walikuwa...

Thursday, May 25, 2017

DIAMOND ATAMKA MANENO MANNE KWENDA KWA MAREHEMU MUME MWENZAKE

Alfajiri ya leo May 25, 2017 ziliripotwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Baba wa watoto wa Zari The Boss Lady Ivan Semwanga ambaye ni mfanyabiasha maarufu kutoka Uganda.

Watu mbalimbali wametuma salamu zao za rambirambi kwa msiba huo akiwemo Diamond Platnumz ambaye ni mpenzi wa sasa wa Zari na wakiwa na watoto wawili, Diamond aliweka picha ya mshumaa na kuandika...

MANCHESTER UTD KUSHIRIKI UCL BAADA YA KUTWAA KOMBE LAEUROPA SIKU YA JANA


Manchester United wameshinda fainali ya Kombe la Europa kwa kuifunga Ajax Amsterdam kwa mabao 2-0 mjini Stockholm Sweden. Magoli ya Paul Pogba na Hendrick Mkhitaryan yameipa United sio tu Kombe bali pia...

GARI LA ZARI LAMFUKUZISHA KAZI Q BOY PALE WCB

Aliyekuwa mwanamitindo wa Diamond Platnumz na timu ya WCB, Q Boy Msafi amethibitishwa kutokuwapo ndani ya lebo hiyo baada ya kufutwa kazi kutokana na kosa alilofanya.

Q Boy amesema kuwa alifanya kosa ambalo linahusu gari la Zari (mpenzi wa Diamond Platnumz) na licha ya kuwa kosa lile ni la kibinadamu kwamba yeyote angeweza kulifanya, lakini uongozi wa WCB uliamua kumfuta kazi, Q Boy alitoa kauli hiyo akifanya mahojiano na kituo kimoja jijini Dar es Salaam ambapo alisema kwa sasa anajikita zaidi katika...

Watch & Download: Lavalava_Tuachane (Official Video)


Msanii mpya kutoka WCB, Lavalava ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Tuachane’. Tazama hapa chini video hiyo.

Watch Here 

WOLPER: NINA MAHUSIANO ZAIDI YA KIMAPENZI NA DIAMOND PLATNUMZ


Muigizaji Jackline Wolper amesema yeye na msanii Diamond Platnumz wana uhusiano wao ambao ni kiwango cha juu kwani wamekuwa wakishirikiana katika mambo mengi. 

Katika segment ya kikaongoni inayorushwa na EATV (facebook) inayotoa fursa kwa watu kumuuliza mgeni maswali, moja ya swali lilitaka kujua ni iwapo Wolper alishakuwa na uhusiano wa kimapenzi na...

KAULI YA WEMA SEPETU BAADA YA TAARIFA ZA KIFO CHA MZAZI MWENZA WA ZARI

Kifo cha mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mume wa Zari The Boss lady, Ivan Semwanga ni moja kati ya habari zinazozungumzwa sana kwenye mitandao ya kijamii kwa kugusa hisia za wengi.

Baada ya Zari kuthibtisha kifo cha aliyekuwa mume wake, watu mbalimbali wamekuwa wakituma salamu zao za pole kwa familia wakionesha kusikitika kwa kuguswa na msiba huu ambapo miongoni mwa watu hao ni Miss TZ 2006 Wema Sepetu.

Wema aliandika kwenye account yake ya Instagram: “Broken...

Download: Ben Pol ft Darassa_Tatu


Download

BEN POL AFUNGUKA SABABU ZA KUPIGA PICHA ZA UTUPU



Baada ya Ben Pol kuchafua hali ya hewa kwenye mitandao ya kijamii kuanzia Alhamisi ya wiki iliyopita kutokana na picha zake zinazomuonyesha akiwa nusu mtupu kuenea mitandaoni na kumsababishia kukutana na mvua kubwa ya matusi, msanii huyo amefunguka sababu ya kufanya hivyo.

Muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo wake mpya ‘Tatu’, ameiambia Bongo5 Junanne hii kuwa alifanya hivyo ili kuendana na...

ZARI AFIWA NA MWANAUME ALIYE ZAA NAYE WATOTO WATATU



Mzazi mwenzake na Zari The Bosslady, Ivan Ssemwanga amefariki dunia katika hospitali nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kutokana na matatizo ya moyo.

Ivan ambaye alifanikiwa kupata watoto watatu na Zari, baby mama wa Diamond Platnumz, alikimbizwa hospitalini mapema wiki iliyopita baada ya kupoteza fahamu. Kupitia mtandao wa Instagram, Zari amethibitisha kutokea kwa tukio hilo kwa...

Download: Danny Love_Yote Heri


Download

Friday, May 5, 2017

SHILOLE AMKANA LIVE ALIKIBA NA KUMKUBALI DIAMOND

Msanii wa muziki, Zuwena Mohammed aka ‘Shilole’, amedai yeye ni shabiki wa damu wa Diamond na sio Alikiba. Akiongea katika Kikaango cha EATV Jumatano hii, Shilole amedai anampenda Diamond kutokana na vile alivyo pamoja na vitu anavyofanya.
 
“Mimi namkubali zaidi Diamond Platnumz kuliko Alikiba,” alisema Shilole. “Nampenda Diamond kutokana na mambo yake na vile...

Download: Young D_Bongo Bahati Mbaya

YOUNG DEE - BONGO BAHATI MBAYA

Download