Pages

Subscribe:

Wednesday, May 31, 2017

LAIZER ATAJA MSANII WA WCB ANAYE FURAHI KUFANYA NAYE KAZI


Mtayarishaji wa muziki kutoka studio ya Wasafi Records, Lizer amemtaja msanii wa WCB ambaye anafurahi zaidi akiwa anafanya naye kazi.

“Msanii yoyote anayejua mimi nina enjoy sana kufanya naye kazi, ukimuelekeza fuata hiki anafuata lakini naweza kusema kwa kuwa Raymond ndiye msanii aliyegundua kitu kilichopo ndani ya...
Lizer.

Huwa nina enjoy naye zaidi kwasababu ndiye msanii ambaye nilitoka naye.” Amemuambia mtangazaji wa Ice Fm, ya Njombe, Gami Dee.
 
Hata hivyo Lizer alisema alijifunza production kipindi anafanya muziki baada ya watayaraishaji kumsumbua.

0 comments:

Post a Comment