Pages

Subscribe:

Wednesday, May 31, 2017

ERIC OMOND ATOA SOMO KWA WANAWAKE WANAOTAKA KUWA KAMA VERA SINDIKA



Mchekeshaji kutoka Kenya, Eric Omondi ameonyesha picha zake akiwa amevaa nguo za kike ambapo amewaonyesha watu wanaotamani kuwa kama Vera Sidika.

Omondi amepost picha mbili katika mtandao wa Instagram na kuandika, “I assure you!!! This is going to...
be your best how to be #HowToBeVeraSidika @queenveebosset.”

“Am not sure you are ready for this!!! #HowToBeVeraSidika Your best how to be yet!!!
Please no DMs #NoStopping,” ameandika katika picha nyingine hiyo hapo juu.

0 comments:

Post a Comment