Pages

Subscribe:

Thursday, January 17, 2019

Watch & Download: Nay Wa Mitego_Mbele Kwa Mbele (Official Video)


Watch Here

Download: Alicious Theluji_Nitadata


Download

Download: Baghdad ft Mtafya x Drama_Eti Naskia


Download

Download: Ben Pol_Wakuone


Download

Download: Cheed_Nitakubembeleza


Download

Download: Nacha_Hadithi


Download

HUYU NDIYE JASON SPINDLER RAIA WA MAREKANI ALIYEFARIKI NCHINI KENYA


Aliyenusurika katika shambulizi la kigaidi la Septemba 11 mwaka 2001 ni miongoni mwa watu 14 waliouawa na magaidi kwenye jengo lenye hoteli ya Dusit 2, Riverside jijini Nairobi nchini Kenya.

Kijana huyo Mfanyabiashara raia wa Marekani, anajulikana kwa jina la Jason Spindler ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya I-Dev International, alinusurika katika shambulizi lililofanywa na...

BABA MZAZI WA ALIKIBA AZIKWA MAKABURI YA KISUTU


Mwanamuziki Ali Kiba amefiwa na baba yake Saleh Kiba leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa takribani siku 21. Akithibisha taarifa ya kifo hicho, Abdu Kiba ambaye ni mdogo wa Ali Kiba alisema ni kweli baba yao amefariki na msiba upo nyumbani kwao Kariakoo Mtaa wa Muheza.

Kwa mazishi yamefanyika leo hii saa...

Friday, January 11, 2019

ATAKAYE HITAJI KUMSHIKA MKONO R KELLY KULIPIA ZAIDI YA LAKI 8

Muimbaji R Kelly amechukua headlines kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni hii ni baada ya tuhuma za unyanyasaji wa kingono kwa wanawake kumuandama lakini tuhuma hizo hazijamzuia kupata shows mbalimbali zenye gharama ya juu.

Kupitia mtandao wa TMZ umeripoti kuwa R Kelly ana mpango wa kufanya show Mjini Ludwigsburg nchini Ujerumani mwezi April mwaka huu 2019 ambapo unaambiwa mauzo ya tiketi yanatajwa kufikia gharama zaidi ya shillingi laki mbili za Kitanzania pia kwa shabiki atakayetaka kusalimiana naye itabidi alipe...

Download: Hanstone ft K-2ga_Maso


Download

Download: Lameck Ditto_Nchi Yangu


Download

Download: Nay Wa Mitego_Mbele Kwa Mbele


Download

Download: Weusi_Wapoloo


Download