Pages

Subscribe:

Sunday, July 31, 2016

PAM D: BAADHI YA WANAUME WANATUOGOPA WASANII WA KIKE

Msanii wa kike Pam D ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya 'Nipe nono' ambao amemshirikisha Nay wa Mitego amefunguka na kusema kuwa kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakiwaogopa sana wasanii wa kike wa bongo fleva.

Amesema wanaume wengi wamekuwa wakidhani kuwa wasanii hao wanawasaliti.
Pam D amesema hayo na kudai kuwa hata yeye anatamani kumpata mtu ambaye atakuwa 'serious' katika mahusiano lakini tatizo...

Download: Nas_Nas Album Done


Download

Goals & Highlights: Man Utd 5-2 Galatasaray [Video]


Manchester United 5-2 Galatasaray: Ibrahimovic & Rooney fire Mourinho's men to victory

Watch Here

Download: Dudu Baya ft Mau_Poko Poko

Dudubaya

Download

Download: Cannibal ft Juma Nature_Buti Na Shati

cannibal_getMziki

Download

Watch & Download: Professor Jay ft Sholo Mwamba_Kazi Kazi [Official Video]


Watch Here

MAMA DIAMOND ANYWEA BAADA YA TETESI ZA MIMBA YA ZARI KUZUKA


ZARI NA MAMA DIAMOND
Imevuja! Baada ya muda mrefu kusambaa kwa habari kuwa mama wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’, ‘haivi’ na mwandani wa msanii huyo, Zarinnah Hassan ’Zari The Boss Lady’, imedaiwa kuwa kwa sasa bi mkubwa huyo amenywea kwa kumkubali Zari.

Taarifa hizo zilizopenyezwa na chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya familia ya Diamond zimeeleza kuwa, hivi karibuni mama Diamond amesalimu amri na kutamka hadharani kuwa Zari ni...

HUU NDIYO UTHIBITISHO KUWA ALBUM MPYA YA DIAMOND INANUKIA


index
Kuna uwezekano mkubwa kuwa Diamond anajiandaa kuachia album yake mpya Meneja wa staa huyo ambaye kwa sasa yupo Afrika Kusini ametupa hint kuwa santuri mpya ya msanii wake ipo njiani kuja. Sallam Sharaff amepost picha hiyo chini na kuandika kwa maneno yanayotafsiriwa kwa Kiswahili ‘hii ni tarehe sahihi ya...

STAN BAKORA ATOA VIDEO HII BAADA YA NAY KUFUNGIWA NA BASATA

Stan Bakora
Mchekeshaji Stan Bakora ameendelea na utani wake ambapo Ijumaa hii ameachia video ya kumdhihaki rafiki yake Nay wa Mitego baada ya kufungiwa na BASATA.

Watch Here 

KALA JEREMIAH AZUNGUMZIA WANA NDOTO ILIVYO MTOA JASHO


Ndoto
Haikuwa rahisi kwa Kala Jeremiah kuikamilisha ngoma yake mpya, Wana Ndoto. Ni kwasababu wimbo huo aliurekodi mwanzo mwaka 2013 lakini producer aliyeutayarisha alishindwa kumkabidhi. 

Baada ya kumpiga chenga kwa muda mrefu, rapper huyo alikata tamaa hadi mwaka 2016 alipopata mtoto, Alama. Amesema mtoto wake huyo alimpa tena hamu ya kuufanya tena wimbo huo lakini tatizo ni kuwa...

KOFFI OLOMIDE AENDELEA KUSOTA BAADA YA KUNYIMWA DHAMANA

koroga-festival-koffi-olomide-capital-fm
Mwanamuziki maarufu Koffi Olomide amenyimwa dhamana ya kuachiliwa huru kulingana na wakili wake. Muimbaji huyo baada ya kupandishwa mahakamani alikanusha tuhuma zinazo mkabili huku jaji alikataa ombi lake la kuachiliwa kwa dhamana.

Siku ya Jumatatu ,maafisa wa polisi walimkamata Olomide mwenye umri wa miaka 60 nyumbani kwake katika makaazi ya Kinshasa baada ya kupatikana katika kamera...

WANENE ENTERTAINMENT WAZINDUA STUDIO ZA KISASA JIJINI DAR

index
Ni uwekezaji mkubwa zaidi katika sekta ya burudani hapa Tanzania. Ndani ya himaya hii, kunapatikana studio za gharama kubwa zilizosheheni mitambo ya kisasa. Kuna studio mbili za sauti huku idara hiyo ikiongozwa na mjuzi na msomi wa ukandarasi sauti na mtayarishaji muziki, Sarthak Tale kutoka nchini India.

Wanene Entertainment imezindua studio kubwa za kisasa ambazo kwa mujibu wao ni za kwanza Afrika Mashariki na Kati. Uzinduzi wa studio hizi ulihudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya burudani huku...

IRENE UWOYA: KAMA NINGEPEWA UKUU WA WILAYA NINGEUMUDU

Irene Uwoyo
Msanii wa filamu Irene Uwoya amefunguka kwa kusema kuwa kama angepata nafasi ya ukuu wa wilaya basi angefanya vizuri kwa kuwa ana uwezo mkubwa wa kuongoza.Muigizaji huyo ameimbia Bongo5 kuwa hakuwa na matarajio yakuteuliwa lakini kama angeteuliwa angeitendea haki nafasi hiyo.

“Mimi sijaomba wala sijawai kusema kama nataka hiyo nafasi, lakini kama ikitokea naiweza sana, nipo vizuri sana ndio maana hata nikathutu kugombea ubunge kwa sababu nilijua...

SERIKALI: MENDE HAKUBALIKI KAMA CHAKULA KWA WATANZANIA


160209111450_cockroaches__624x351_tomlibbykaushikjayaramandpaulinejennings
Baada ya utafiti wa siku chache kubaini wingi wa protini katika maziwa yanayoweza kutolewa kutoka aina mpya ya mende, Serikali imesema haina mpango wa maziwa hayo kwa sasa. Kauli hiyo ya Serikali imekuja baada ya timu ya kimataifa ya wanasayansi kubaini chembechembe za protini ndani ya mende aina ya diploptera puntuate ambaye huzaa watoto tofauti na...

Saturday, July 30, 2016

DIAMOND ATHIBITISHA KUFANYA COLLABLE NA SWIZZ BEATZ


Diamond
Collabo kati ya Diamond Platnumz na producer na rapper mkongwe wa Marekani, Swizz Beatz inakuja. Staa huyo amethibitisha kuwa alizungumza na Beatz kuhusu kufanya wimbo wao walipokutana New York kwenye tamasha la One Africa Music. 

“Tulikuwa tunazungumza kuhusu project ambayo tunatakiwa tuifanye, tuifanye Tanzania au tuifanye wapi, tulikuwa tunaangalia kwa...

ALIKIBA AANZA KUFANYA VIDEO YA WIMBO WA AJE AKIWA NA M.I.

KOROGA-FESTIVAL-PRESS-CON-ALIKIBA-NAIROBI-NOV-2015-5-1024x683
Mkali wa wimbo ‘Aje’ AliKiba baada ya kufanya vizuri na original version ya wimbo huo, ameweka kambi nchini Afrika Kusini kuandaa remix ya wimbo huo akiwa amemshirikisha msanii wa Nigeria, M.I.
 
Awali kolabo hiyo ya ‘Aje’ akiwa na M.I ilivuja katika mitandao ya kijamii wakati haijamalizika hali ambayo ilimfanya kuachia original version yake. Kwa mujibu wa video ya AliKiba iliyozagaa katika mitandao ya kijamii, inamuonyesha muimbaji huyo akiwa...

MUBENGA AFUNGUKA BAADA YA TETESI KUWA KADHURUMUWA NA OMMY DIMPOZ

ommy-dimpoz-na-Meneja-wake-Mubengamuba
Aliyekuwa meneja wa msanii wa muziki Ommy Dimpoz, Mubenga, amekanusha taarifa ambazo zimezagaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa kilicho muachanisha na Ommy Dimpoz ni kudhurumiana pesa. Hapo awali Mubenga alisema aliamua kuachana na Ommy Dimpoz ili...

PROFESSOR JAY KUFUNGA NDOA NAMAMA WATOTOT WAKE

10616801_739013806157461_1892671967_n

Mchawi wa Rhymes na mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Professor Jay’ amesema hivi karibuni atafunga ndoa na Mama watoto wake ‘Mama Lisa’ ambaye tayari ameshadumu naye kwenye mahusiano kwa muda mrefu.

Rapper huyo ambaye hivi karibuni ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kazi Kazi’ akiwa ameshirikisha Sholo Mwamba, amekiambia kipindi cha FNL cha East Africa Television Ijumaa hii kuwa...

VICTORIA KIMANIAMUWEKA WAZI MPENZI WAKE


KImani
Muimbaji wa Kenya anayefanya kazi zake nchini Nigeria, Victoria Kimani kwa mara ya kwanza amemweka wazi mpenzi wake. Ni muda mrefu muimbaji huyo amekuwa akimficha mpenzi wake na huku akionekana kuwa karibu na mchezaji wa soka wa ligi ya Uingereza..,

ZARI NI MJAMZITO TENA..!!! WATARAJIA MTOTO WA PILI NA DIAMOND

Zari The Boss Lady has shared this Wonderful Pic of Her On Bed with Diamond Platnumz Proving that she is caring Diamond Platnumz's second child..Ooh Yes A Baby Boy This Time and she said.. "This Kiss Goes To My Unborn SON..."

Download: Jason Derulo_Kiss The Sky


Download

Watch & Download: Tiwa Savage ft WizKid_Bad [Official Video]


Watch Here

Download: Kimbunga ft Cat P_Ibaki Kwao Story


Download

Friday, July 29, 2016

JOKATE: ALIKIBA NI KING ASIYE NA MBWEMBWE


Msanii na mwanamitindo Jokate Mwegelo amefunguka na kumwaga sifa za kutosha kwa msanii Alikiba na kusema kuwa ni msanii huyo ni mfalme ila hana mbwembwe kama wasanii wengine. Jokate alitumia ukurasa wake wa Instagram kumwaga sifa hizo na kudai kuwa akiwa...

PROFESSOR JAY: KUTOJUA KIINGEREZA SIYO DHAMBI


Professor-Jay
Msanii wa muziki wa Hip Hop na mbunge wa Mikumi, Professor Jay amesema kuwa kutokujua Kiingereza siyo dhambi. Rapper huyo kwa sasa anakiki na wimbo wake mpya ‘Kazi Kazi’ aliomshirikisha msanii wa nyimbo za visingeli, Sholo Mwamba. Akiongea na Mwandishi, Professor Jay alisema.

“Hii sijui kiingereza, Kiingereza ni Kushoboka tu. Viongozi wengi mbona tunaona wanakuja hapa Tanzania hawajui Kiingereza. Aidha kiongozi huyo ameongeza kuwa kwa wasanii mameneja ndio...

JOH MAKINI ASHANGAZWA NA TETESI ZA KUGOMBANA NA NAHREEL


Joh
Joh Makini amesema maneno anayoyasikia mtandaoni kuwa Weusi na producer Nahreel hawana tena maelewano mazuri yanamshangaza na hajui yameanzia wapi. Tetesi hizo zimedai kuwa tangu Nahreel abadilishe utaratibu wa kurekodi kwenye studio yake ya The Industry, Weusi na wasanii wengine wa karibu nayo wameonekana...

NAY: NAOMBA RADHI KWA YEYOTE NILIYE MKWAZA NA PALE KATI PATAMU

Nay-true-boy
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Nay wa Mitego ameanza kutekeleza baadhi ya maagizo aliyopewa na Baraza la Sanaa la Taifa baada ya kufungiwa kwa wimbo wake wa ‘Pale Kati’.Rapper huyo alipewa adhabu hiyo pamoja na kulipa faini ya shilingi milioni 1 baada ya kukutwa na makosa matatu likiwena la kutojisajiri katika baraza hilo.

Katika taarifa aliyotoa Nay wa Mitego, ameonyesha kujuta huku akiwaomba radhi mashabiki wa muziki wake kama ambavyo aliagizwa na BASATA. “Wakati naandika wimbo “Pale Kati” nilikua nimeangalia...

WATANZANIA WAONGOZA TUZO ZA AFRICAN YOUTH CHOICE AWARD

Idadi ya majina ya wasanii wa Tanzania kwenye tuzo za nje inazidi kuongezeka, waandaji wa Tuzo za African Youth Choice Awards 2016 wametangaza nomination.
Diamond , Alikiba, Vanessa Mdee, Navy kenzo, Harmonize, Dj Peny.  na Joyce Kirya wamechaguliwa kuwania tuzo hizo. Tazama list nzima hapa...

PENZI LA YOUNG D LAVUNJIKA... TUNDA AELEZEA YOTE

post-feature-image
Muuza nyago macha-chari Bongo, Tunda Sebastian amefunguka kumwagana na mwandani wake wa muda mrefu, ambaye ni staa wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young D’ na kusema ameamua kujiweka kando kwenye maswala ya mapenzi.
Akipiga stori na Showbiz Xtra baada ya kumbananisha kuhusiana na tetesi za uhusiano wake kuvunjika kutokana Young D kubaini anatoka na mwanamuziki mwenziye (jina kapuni) ndipo akaeleza kuwa, ishu hiyo...

Watch & Download: Nikki Wa II ft Chin Bees_Sweet Mangi [Official Video]


Watch Here

Download: Ainea_Wacha Waseme


Download

Download: Professor Jay ft Sholo Mwamba_Kazi Kazi



Download

CHID BENZ AMUULIZA DIAMOND KUHUSU KUTOBOA PUA


Chidi-Benz na diamond
Baada ya miezi kadhaa kutoka sober, Chid Benz jana ameachia ngoma yake mpya iitwayo Chuma aliyomshirikisha mkali wa ngoma ya Natafuta Kiki, Rayvany,kwenye kipindi cha XXL, amesimulia kwa mara ya kwanza kumuona Diamond akiwa maetoboa pua.

Kama unakumbuka vizuri Diamond aliwahi kumuimba Chid Benz baada ya kutoboa pua kwenye ngoma aliyoimba na Nay Wa Mitego iitwayo ‘Muziki Gani’. “Unajua sikuwa kwenye mitandao kwa muda mrefu kuna mtu alikuwa...

VANESSA AZUNGUMZIA BATA WALIZO KULA NA JUX HUKO SINGITA

Wanamuziki, Vanessa Mdee na mpenzi wake Juma Jux ‘Jux’ baada ya manenomaneno kuzagaa kuwa wameachana juzikati wapenzi hao walionekana kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti iliyopo mkoani Mara kisha kwenda kula bata kwenye hoteli ya bei mbaya ya Singita.

Akipiga stori na safu hii juzi akiwa Serengeti, Vanessa alisema kuwa, wameamua kwenda huko kwa mapumziko ya siku nne ikiwa ni sehemu ya kufanya...

HII NDIYO PICHA ILIYO ZUA MJADALA KUHUSU MIMBA YA JOKATE

Kumekuwa na tetesi kwa muda kuwa Jokate Mwegelo ana ujauzito huku akiwa hapendi sana kuuonyesha hadharani, Lakini kwenye picha hii aliyo iweka IG inaonyesha jinsi ujauzito wake unavyo onekana huku yeye akiwa ameipa caption isemayo...

Wednesday, July 27, 2016

BAADA YA KUMFUNGIA NAY AFANDE SELE AWAPA MASWALI BASATA


Msanii Afande Sele ameonyesha kutoridhishwa na kitendo cha msanii Nay wa Mitego kufungiwa kufanya kazi za sanaa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)

kwa muda usiojulikana mpaka atakapotimiza masharti aliyopewa na baraza hilo
Afande Sele kupitia ukurasa wake wa 'Facebook' amesema kuwa yeye anashangaa kuona adhabu hiyo anapewa Nay wa Mitego tu ilihali...

DIVA KUWASHIRIKISHA ROMA, CHEMICAL, BILL NAS, BAGHDAD NA MR BLUE KWENYE BABY BOY [RMX]


Baby Boy
Remix ya wimbo ‘Baby Boy’ wa Diva utakuwa na rappers watano. Mtangazaji huyo wa Clouds FM amewataja rappers hao kuwa ni Chemical, Roma, Bill Nas, Baghdad na Mr Blue. Amedai kuwa remix hiyo itakuja na video yake pia itakayosimamiwa na kampuni ya QSJ Mhonda.

“Ni wimbo mzuri sana with a lot of changes, imagine 5 big rappers in one track na wote wameonyesha uwezo mkubwa, Chemical killed it,” Diva ameiambia Bongo5.
“Nimefurahi kufanya kazi na wote, Roma killed it, Roma was happy kusikia verse ya Bill Nas na...

TAZAMA PICHA KADHAA ZA BEYOUNCE NA JAY Z WAKIWA MAPUMZIKO PARIS

See more pics inside...

ALIYE MTOA BARAKAH DA PRINCE KIMUZIKI AFUNGUKA YA MOYONI

Aliyemtoa Baraka Da Prince kupitia rekodi yake ya Jitunze 'Kidbway' ameongelea uhamaji wa Baraka kwenda RockStar 4000 nakusema ni njia nzuri kama atafikia malengo aliyojiwekea. 

KidBway anasema "Nitafurahi akifikia yale malengo niliyokuwa nayo kichwani wakati naanza kufanya naye kazi, hata kama atayafikia kwenye njia tofauti na nilizoona mimi ,nitafurahia kwa...

JAY MOE AFUNGUKA KUWA NA UHUSIANO NA SHILOLE

Mwanamuziki rapa nchini anayetikisa kwa ngoma ya 'Pesa Madafu', Jay Moe amekuwa akionekana karibu sana na rapa Bilnass ambaye anatikisa na ngoma ya 'Chafu Pozi' kitu ambacho ni njia pekee ya Jay Moe kumpata mrembo Shilole.

Baada ya kuwepo kwa tetesi za wawili hao kutoka kimapenzi na zaidi kuonekana picha wako pamoja kwenye moja ya eneo za kula bata wakati wa usiku, Mwaandishi alimtafuta rapa Jay Moe. Jay alifunguka nakusema ndio...

NAY AFUNGIWA KUTOJIHUSISHA NA MUZIKI BAADA YA KUKUTWA NA MAKOSA MATATU

Nay true boy
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana msanii wa muziki wa Hip Hop, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ hadi hapo litakapojiridhisha kwamba ametekeleza maagizo yote aliyopewa na baraza sambamba na yeye kubadilika katika kubuni kazi zenye maadili na zisizo dhalilisha watu wa kada mbalimbali.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa waandishi wa habari na Katibu Mkuu wa BASATA, Godfrey L. Mngereza, imemtaka rapper huyo kulipa faini ya shilingi milioni 1, na kufanya marekebisho ya mashairi ya wimbo wake wa...

DOGO JANJA AWATAKA MABOSI ZAKE WAFANYE MAZOEZI


Rapa Dogo Janja amewashauri watu walio karibu naye kuanza mazoezi ya mwili ili kuwa bora zaidi kiafya na kikazi."Madee ,Babu Tale na Mkubwa Fella wanabidi waanza tizi ili wawe fiti katika jambo lolote, hata pakitokea issue mbaya hapa atakayeanza kukimbia ni...

Download: Mo Music_Ado Ado


Download

Download: Tross_Sisemi


Download

Download: Kala Jeremiah ft Miriam_Wana Ndoto


Download

DAYNA: NAONA KAMA BAHATI KUFANYA KAZI NA MR T TOUCH

Dayna
Dayna Nyange amefafanua sababu inayomfanya afanye kazi nyingi na mtayarishaji wa muziki, Mr T-Touch kuwa ni kutokana na maelewano mazuri waliokuwa nayo. Akiongea siku ya jana muimbaji huyo alisema kuwa ni kama bahati kwake kukutana na kufanya kazi na Mr T-Touch.

“Nimeamua kumtumia Mr T-Touch kwenye nyimbo zangu tatu ikiwemo hii mpya ‘Komale’ kwa sababu ni producer ambaye nimeshafanya naye kazi zaidi ya moja na...

BARAKAH DA PRINCE KIINGELEZA TATIZO, NAJ AWA MKALIMANI WAKE NCHINI SA

2
Barakah Da Prince yupo nchini Afrika Kusini alikoenda kufanya mambo mengi ikiwemo kushoot video mpya na pia ziara kwenye vyombo vya habari. Amezunguka kwenye vituo vya redio kadhaa na pia kuhojiwa na kituo cha MTV Base. 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, kituo hicho kiliweka video fupi inayomuonesha mtangazaji akimhoji Barakah na huku pembeni akiwa na mpenzi wake, Naj. Mtangazaji huyo anauliza maswali kwa Kiingereza, Naj anamtafsiria Barakah anayejibu kwa Kiswahili na...

MR T TOUCH: SIJAACHANA VIBAYA NA NAY NIMEAMUA KUTETEA MAISHA YANGU


13736136_1027734437295098_733240745_n
Mtayarishaji wa zamani wa studio ya Nay wa Mitego ‘Free Nation’ Mr T Touch amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na aliyekuwa bosi wake baada ya wawili hao kudaiwa kuachana vibaya. Akiongea na Bongo5 Jana, Mr T Touch amesema ameachana na Nay wa Mitego ili...

NANI MKALI KATI YA RAYMOND NA CHID BENZ KTK FREESTYLE JIBU LIKO HAPA


IMG-20160712-WA0045
Chid Benz anafahamika zaidi kwa freestyle kali hali iliyopelekea watu kumpa jina la King of freestyle lakini pia watu wengi walikuwa hawafahamu uwezo wa Raymond kwenye kufreestyle lakini kwa sasa wameweza kuutambua kwa kuwa kabla ya kumfahamu akiwa na WCB, msanii huyo alikuwa anarap.

Wasanii hao walishindana kwa freestyle walipoenda walipoenda kutambulisha wimbo wa ‘Chuma’ wa Chid Benz aliomshirikisha Raymond. Check video nani zaidi Hapo chini...

BEYOUNCE NA ADELE WATAWALA NOMINATION TUZO ZA MTV VMA 2016

MTV wametangaza nomianation ya tuzo za MTV Video Music Awards 2016 na Beyonce ameongoza akiwa na nomination 11 kupitia album yake ya ‘Lemonade’
Adele anafatia akiwa na nomination 8 wakati Taylor swift aliyeongoza kwa nomination 10 mwaka jana kupitia wimbo wa ‘Bad blood’ pekee akitoka patupu mwaka huu sambamba na...