Pages

Subscribe:

Wednesday, July 27, 2016

DOGO JANJA AWATAKA MABOSI ZAKE WAFANYE MAZOEZI


Rapa Dogo Janja amewashauri watu walio karibu naye kuanza mazoezi ya mwili ili kuwa bora zaidi kiafya na kikazi."Madee ,Babu Tale na Mkubwa Fella wanabidi waanza tizi ili wawe fiti katika jambo lolote, hata pakitokea issue mbaya hapa atakayeanza kukimbia ni...
yule aliyefiti zaidi, Madee ndio msanii nayetaka kumshika mkono nimpeleke Gym mwenyewe ila Chege na Temba wanafanya tizi sana", alimalizia Dogo Janja.

0 comments:

Post a Comment