Pages

Subscribe:

Wednesday, July 27, 2016

ALIYE MTOA BARAKAH DA PRINCE KIMUZIKI AFUNGUKA YA MOYONI

Aliyemtoa Baraka Da Prince kupitia rekodi yake ya Jitunze 'Kidbway' ameongelea uhamaji wa Baraka kwenda RockStar 4000 nakusema ni njia nzuri kama atafikia malengo aliyojiwekea. 

KidBway anasema "Nitafurahi akifikia yale malengo niliyokuwa nayo kichwani wakati naanza kufanya naye kazi, hata kama atayafikia kwenye njia tofauti na nilizoona mimi ,nitafurahia kwa...
mafanikio yake kama ndio njia itakayomfikisha" Pia Kid amesema "Muda mwingine unatakiwa kujitoa hata kama utaumiza watu ili ufanikiwe, siwezi mtakia mabaya,sio vizuri kumuombea mtu vitu vibaya".

0 comments:

Post a Comment