Pages

Subscribe:

Friday, July 29, 2016

HII NDIYO PICHA ILIYO ZUA MJADALA KUHUSU MIMBA YA JOKATE

Kumekuwa na tetesi kwa muda kuwa Jokate Mwegelo ana ujauzito huku akiwa hapendi sana kuuonyesha hadharani, Lakini kwenye picha hii aliyo iweka IG inaonyesha jinsi ujauzito wake unavyo onekana huku yeye akiwa ameipa caption isemayo... “For the love of mirror selfies. Nanight loves.“

0 comments:

Post a Comment