Pages

Subscribe:

Thursday, July 21, 2016

NGUO ZA BRAND YA SHETTA ZAANZA KUUZWA RASMI

sss
Mkali wa wimbo ‘Namjua’ Shetta ameingiza sokoni nguo za brand yake huku zikiwa na muonekano wa aina tofauti tofauti. Rapper huyo amefuata nyayo ya Ommy Dimpoz, Diamond pamoja na Jux ambao tayari waliingiza bidhaa zao za nguo sokoni. 

Kupitia instagram, Shetta amepost picha mbalimbali za bidhaa zake na kuandika: New logo in town, ukitaka kuwa mjanja au kuonekana mjanja wa mjini sasa hivi basi ujachelewa, jipatie...
kofia kali za kijanja zenye logo mpya kabisa ya town ya Shetta, zinapatikana rangi aina zote na sio mdosho…. kwa bei poa kabisa.
ffff
Kofia
ssssss
Nguo za kinadada

0 comments:

Post a Comment