Pages

Subscribe:

Wednesday, July 27, 2016

BARAKAH DA PRINCE KIINGELEZA TATIZO, NAJ AWA MKALIMANI WAKE NCHINI SA

2
Barakah Da Prince yupo nchini Afrika Kusini alikoenda kufanya mambo mengi ikiwemo kushoot video mpya na pia ziara kwenye vyombo vya habari. Amezunguka kwenye vituo vya redio kadhaa na pia kuhojiwa na kituo cha MTV Base. 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, kituo hicho kiliweka video fupi inayomuonesha mtangazaji akimhoji Barakah na huku pembeni akiwa na mpenzi wake, Naj. Mtangazaji huyo anauliza maswali kwa Kiingereza, Naj anamtafsiria Barakah anayejibu kwa Kiswahili na...
Naj anamtafsiria mtangazaji na mchakato unaonekana kuendelea hivyo katika interview nzima. 
5
Tazama Video hapa chini...

Watch Here 

0 comments:

Post a Comment