Pages

Subscribe:

Wednesday, July 27, 2016

WEMA AVUNJA RECORD INSTAGRAM KWA WANAWAKE WA BONGO

Baada ya Mwanamuziki Diamond Platnumz Kuvunja Record ya kuwa msanii wa kwanza kufikisha wafuasi Million mbili kwenye Instagram Africa Mashariki , sasa Wema Sepetu nae amekuwa mwanamke wa kwanza kufikisha idadi hiyo ya followers million 2 kwenye mtandao wa Instagram.

0 comments:

Post a Comment