Pages

Subscribe:

Tuesday, July 19, 2016

KAULI YA DIAMOND BAADA YA KUWEKA REKODI YOUTUBE

Hakuna kinachompa moyo msanii kama mapokezi mazuri ya wimbo wake, Bila shaka Diamond kwasasa anafuraha kubwa kwani video ya wimbo wake mpya ‘Kidogo’ aliowashirikisha P sqaure imeshaweka rekodi ya kutazamwa zaidi ya mara Million 1 kwenye mtandao wa Youtube ndani ya siku nne tu.

Kwenye ukurasa wake wa instagram Diamond ameandika...

diamond3323

0 comments:

Post a Comment