Pages

Subscribe:

Thursday, July 21, 2016

MASHABIKI WAMTAKA RAY KUFANYA KAZI NA SI KUJIKITA KTK MAPENZI

Raymond
Msanii wa muziki Raymond ‘RayVanny’ amepokea ushauri wa bure kutoka kwa mashabiki wake wa muziki baada ya kusema ‘sifa ya kuwa bachela ni kujijali mwenyewe’. Muimbaji huyo wa WCB ambaye hajawai kuweka wazi mahusiano yake ya mapenzi, ameshauriwa na mashabiki wake...
kuendelea kufanya kazi kwa bidii na kuacha kujiingiza katika mahusiano ya mapenzi kwa sasa.
Kupitia instagram, Raymond aliandika:
Sifa ya bachela kujijali mwenyewe, inataka moyo maana wenzangu wanavalishwa kabisa kama midoli ya dukani lol.
Baada ya kauli hiyo mashabiki wake katika mitandao ya kijamii walitoa maoni haya.

Tgmmichael12
Ucwe na haraka nayo timiza malengo yko ulopanga muda ukion ss natka mupenz n ww kmsaka


Raphaelmilimo
Ahaahahaha safi sana kaka wee komaa na game kwanza achana na hao mashuga mommyzii. Husiwe kama hurmonize kupenda jitu kubwa lilokubuu na kudate


Enijulius
jmn hujatakaa kuwa naee though co sifaa Kama haujawa tayar wala ucwe na haraka mwaya @rayvanny

sarahpaul6650
Cha msingi muombe Mungu mbn utavishwa tu pia utalishwa yan kila kitu utapata


Johnjenifarr
Usjali wala usiwe na haraka na mambo hayo yapo tuu… one day yess


Madadi.mohammedi
Aya bhana sema ww utatuacha kwenye chama cha ubachela mda cmrefu maana ushakuwa star watt lazima wa shoboke

0 comments:

Post a Comment