Pages

Subscribe:

Wednesday, July 27, 2016

KOFFI OLOMIDE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI 18 NCHINI CONGO

Mahakama imemhukumu Mwanamuziki Koffi Olomide, miezi 18 jela kwa kumpiga mnenguaji wake wa kike wiki iliyopita. Hukumu yake hiyo haina adhabu mbadala ya kulipa faini kwa hiyo atatakiwa kutumikia hiyo miezi 18 jela.

0 comments:

Post a Comment