Pages

Subscribe:

Monday, July 25, 2016

JUX NA MRISHO MPOTO WAUTANGAZA UTALII WA NDANI

#Serengeti #Vacation #Tanzania #wivu #Day3
Wasanii wa muziki Jux pamoja na Mrisho Mpoto kila mmoja kwa wakati wake ameamua kuwa mfano kwa Watanzania kwa kutembelea vivutio vya utalii.
Jux ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo ‘Wivu’ aliambatana na mpenzi wake Vanessa Mdee kutembelea katika mbuga ya wanyama ya Serengeti iliyopo mkoani Arusha.

Kupitia instagram, Jux alipost picha ya Vanessa na kuandika...

Day 1 at #SasakwaLodge was nice but the Queen arrived on Day 2 so we had to upgrade for that better view #FaruFaru is almost as dreamy as her #Tanzania #Serengeti #Vacation

#Day3 #gamedrive #Serengeti #Tanzania #vacation 

Kwa upande wa msanii wa muziki wa asili Mrisho Mpoto, alifanikiwa kuupanda mlima Kilimanjaro.

Haikua kazi rahisi,  kila anaeomba anapaswa kushukuru. Nawashukuru wote mlionieombea nna mengi sana sana ya kuhadithia.Everyone who asks for Prayers must be thankful too.  I Thank you so much for your prayers and good wishes. It has never been easy!  I have got a lot to share with you guys.
Kupitia instagram, Mpoto aliandika:

Haikua kazi rahisi, kila anaeomba anapaswa kushukuru. Nawashukuru wote mlionieombea nna mengi sana sana ya kuhadithia.Everyone who asks for Prayers must be thankful too. I Thank you so much for your prayers and good wishes. It has never been easy! I have got a lot to share with you guys.

Haikuwa kazi nahisi bila kutiana nguvu,  Baranco #Mpotokileleni

0 comments:

Post a Comment