Pages

Subscribe:

Wednesday, November 30, 2016

WIZ KHALIFA AMSHAURI KANYE WEST AVUTE GANJA ILI APONE HARAKA

Wiz Khalifa ana dawa sahihi kwa ugonjwa wa Kanye West.

Alipohojiwa na TMZ, Rapper huyo alidai kuwa Kanye akivuta bangi siku yake itakuwa nzuri.

“Smoke some KK, make your day-day all better!” Alimwambia ripota wa TMZ. “I’m gonna send him some to the mental institution.” Kanye West alilazimika...

UONGOZI WA ALIKIBA WAELEZA SABABU YA ALI KUSHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA AKIWA MBUGANI


0c0acf02-a361-4b13-8255-1ac97a92c1e4
Nimeuuliza uongozi wake sababu ya mwaka huu kufanya sherehe kubwa na tena mbugani. “Yes ni mara chache hufanya party on his birthday,” amesema mmoja wa mameneja wake.

“Aliamua kuja mbugani kwa sababu kuu ni kwa sababu anapenda wanyama pili ni kutumia jina lake kutangaza utalii wa ndani,” aliongeza. Wafanyakazi wa makampuni mbalimbali ya mbugani yaliungana na...

ROMA ACHUKIZWA NA MASHABIKI WANAOPENDA MUZIKI KUTOKA NJE YA TZ

Msanii wa Hip Hop kutoka Bongo, Roma Mkatoliki, amesema anashangazwa na kitendo cha mashabiki kupenda zaidi muziki wa nje kuliko ule wa wasanii wa hapa nyumbani. 

Roma amesema yeye kama msanii kitu kama hicho kinamuumiza na hajui iwapo ni thamani ya msanii imeshuka hapa nyumbani, au ni kweli muziki wa nje ni mzuri kuliko hapa nyumbani. Kitendo hicho cha Roma kimeungwa mkono kauli ya MC Koba ambaye naye...

PICHA YA DIAMOND AKIWA NA BOXER YAZUA MAMBO HUKO INSTA


14561815_1832954966923592_3538369615233024000_n
Diamond Platnumz ni bingwa wa kusababisha povu kwenye mitandao ya kijamii. Jumanne hii alisababisha tafrani kwenye mtandao wa Instagram baada ya kupiga stunt kama ya The Game na Kevin Hart, kwa kupost selfie akiwa amevalia kiboxer cheusi. Kwenye picha hiyo, Diamond aliandika.

 Straight from the Changing room!…I think i need to go back to the gym so that i can be more flexible on...

INASEMEKANA BAADA YA MIAKA 1000 DUNIA ITATEKETEA


disaster
Dunia tunayoishi haitokuwa kama ilivyo sasa baada ya miaka 1,000. Mwanasayansi nguli na mnajimu, Stephen Hawking, amesema binadamu hawatoweza tena kuishi katika ardhi ya dunia kwa miaka 1,000 nyingine, na chanzo kitakuwa yale yale, mabadiliko ya tabia nchi, mabomu na roboti.

Akiongea kwenye chuo kikuu cha Oxford wiki kadhaa zilizopita, Hawking alisema njia pekee itakayotupa maisha zaidi, ni kuhama kwenye dunia hii na kwenda...

MWAKILISHI WA YOUTUBE AFRICA AMUUMBUA OMMY DIMPOZ JUU YA KAULI YA KUNUNUA VIEWS

Baada ya Ommy Dimpoz kumtuhumu wazi wazi Nassibu Abduli kuwa ana nunua views na tunzo bila kuwa na uthibitisho na bila aibu Ommy ili kuwathibitishia watu kuwa kuwa watu hununua views alisema kuwa hata yeye aliwai kutaka kununu.

Lakini kabla ya hayo tuhuma hizo dhidi ya Nasibu Abduli zilikuwa zinatolewa kwa uwoga na msanii Ali salehe lakini wengi wafatiliaji walikuwa wanaelewa kuwa anaye tuhumiwa ni Nasibu Abdul,
Leo Clouds Fm waliamua kumtafuta muwakilishi wa You tube East Africa kumuuliza...

TUNDA: AKERWA NA MASWALI ANAYO ULIZA KUHUSU DIAMOND


14592013_1800456033544742_1978174817420967936_n
Tunda amechoka kuulizwa maswali kuhusiana na kuonekana kwenye video ya Diamond ya wimbo Salome aliomshirikisha Ray Vanny. Ni kwasababu anajiuliza, iweje ameshaonekana kwenye video takriban 10, lakini tangu aonekane kwenye video ya Diamond, swali limekuwa lile lile na ni kama vile watu ndio wameanza kumuonea kupitia video hiyo.

Kutokana na kuchoshwa na swali hilo, Tunda anayedaiwa kurudiana na mpenzi wake Young Dee, amempa jibu kavu mtangazaji wa Jembe FM, Natty E aliyemrushia swali lile lile limkeralo. “Nimefanya video ngapi? Nimefanya video karibia 10 lakini hii ya Diamond mnanifanyia...

IZZO B: SIJAWAHI KUFIKIRIA KUACHA MUZIKI

14134660_223993528022914_2191708896182140928_n
Msanii wa hip pop, nchini, Emanuel Simwinga ‘Izzo Bizness’ ameweka wazi kwamba, hafikirii kuacha muziki hata atakapozeeka, kwa kuwa ndiyo maisha yake kwa sasa.

Izzo B aliliambia MTANZANIA kwamba, muziki ndio unaofanya maisha yake yawe alivyo sasa, hivyo hawezi kuacha muziki kwa kuwa ana historia nao na anauheshimu na...

KOCHA WA TIMU YA CHAPACOENSE ALITABIRI KIFO KABLA YA AJARI YA NDEGE



Analopanga mola siku zote huwezi lipangua, daima Tarehe 29.11.2016 itakuwa ni moja ya siku ambayo wanamichezo na mashabiki wasoka hawatokuja kusahahu.

Tarehe 29.11.2016 ndiyo siku ambayo ndege iliyobeba wachezaji wa Chapacoense ilipata ajali na kuua takribani wachezaji wote, Chapecoense ilikuwa imefika hatua ya fainali ya Copa Sudamericana, ambayo ni sawa na Europa League kwa Ulaya na walikuwa wanaelekea...

Download: ChinBees_Ruba .mp3


Download

JOKATE ATHIBITISHA KUWA NA MAHUSIANO NA ALIKIBA

Uhusiano wa Jokate na Alikiba una takriban miaka miwili sasa lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kukiri hadharani.

Waswahili husema penzi ni kikohozi, kulificha huwezi. Ndio maana pamoja na kujitahidi sana kuuficha, uzito wa penzi lao umekuwa ukiacha mianya mingi inayodhihirisha uwepo wake mbele ya hadhira. Na sasa huenda Jokate akawa ameuweka wazi zaidi kwa salamu za...

JAY DEE: KAULI YA RUGE NI YA KIKUBWA UONGOZI WANGU UTAIFANYIA MAAMUZI

Laydee amesema kauli aliyoitoa Mkurugenzi wa Vipindi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba kuhusu kuwa tayari kucheza nyimbo zake akiwaruhusu, ni sahihi na ya kiutuzima. Muimbaji huyo mkongwe ametoa kauli hiyo kwenye mahojiano na mtangazaji wa Nyemo FM, ya Dodoma, Winston Makangale. 

“Nimeisikia kauli ya Ruge, kwa namna aliyoiongea na nafasi aliyokuwa nayo, sioni kama kuna kitu kibaya chochote alichokifanya kwa jinsi ambavyo amezungumza, naona amezungumza...

HIKI NDIYO KIWANGO CHA PESA ALICHOKITOA CR7 IKIWA KAMA RAMBIRAMBI KWA CHAPOCOENSE


Dunia inamsiba mzito hasa katika upande wa soka ,ni baada ya kuwapoteza wachezaji wake wa timu ya Chapocoense iliyoanguka nchini Colombia na kuuwa wachezaji wote. Mshambuliaji na winga wa Real Madrid ya hispania na kempteni wa ureno Christiano Ronaldo ameonyeshwa kuguswa na jambo hili na kuamua kutoa kiasi cha bilioni 3 kwaajili ya wafiwa wote.

Siku mbili kabla ya ajali timu ya Chapocoense ilikuwa ikishangilia ushindi kwa timu hiyo na ilikuwa siku ya mwisho kwa...

TIFFAH WA DIAMOND AWA MTOTO WA KWANZA AFRIKA KUFIKISHA FOLLOWERS MIL 1

Hakuna ubishi kuwa Princess Tiffah ndiye mtoto maarufu zaidi Afrika kwa sasa. Umaarufu wake unazidi kuongozeka kiasi ambacho wiki hii amefikisha followers milioni 1 kwenye mtandao wa Instagram.

Umaarufu huo hajahangaika hata kuutafuta kwakuwa ni mtoto wa couple maarufu zaidi pia Afrika – Diamond na Zari.
Akaunti yake husimamiwa na mama yake ambaye katika kusherehekea hatua hiyo ameamuandikia:...

Tuesday, November 29, 2016

Watch & Download: Navykenzo ft Wildad_Feel Good (Official Video)


Watch Here

Watch & Download: Motra The Future_Mbishe Gani (Official Video)


Watch Here

Download: NavyKenzo_Feel Good .mp3


Download

ALI CHOKI: NITAPUMZIKA TU LAKINI SITAACHA MUZIKI

Jumamosi hii mwanamuziki wa dansi nchini tanzania Ali Choki ametimiza miaka 30 ya muziki wake na amewashukuru wasanii ambao alishirikiana nao katika kipindi chote hicho cha muziki wake. 

Akiongea ndani ya eNewz Ali Choki amesema anashukuru kwa 'kampani' aliyoipata kutoka kwa wanamuziki wenzake kama Zahir Zoro, Komando Hamza Kalala na wengine lakini pia aliamua kupiga nyimbo za...

JUX: TEAM ZA MUZIKI ZINASAIDIA WASANII KUFANYA VIZURI


14624632_579954458855754_2472429113994903552_n
Jux amefunguka kuhusu timu zilizopo kwenye muziki hapa nchini. Hivi karibuni timu hizo zimeonekana kuchafua hali ya hewa mitandaoni kwa kutukanana matusi mazito huku baadhi ya wasanii wakikumbana na mvua hizo za kashfa na matusi.

Hitmaker huyo wa Wivu, amemuambia mtangazaji wa Maisha FM ya Dodoma, Silver Touchez kuwa timu zinasaidia wasanii kufanya vizuri ila hazitakiwi kufika mbali zaidi hadi kutaka...

HIZI NDIYO NYIMBO 10 ZINAZOONGOZA KWA KUCHEZWA KWENYE MEDIA NCHINI NIGERIA KWA SASA

Wimbo wa Tekno ‘Pana’ ndio unaongoza orodha ya ngoma zinazochezwa zaidi kwenye vituo vya radio vya nchini Nigeria. Kwenye orodha hiyo ya nyimbo 10 zilizoongozwa kuchezwa wiki iliyopita ni nyimbo mbili tu kutoka nje zilizoingia,
1: Tekno – Pana
2: Bruno Mars – 24k Magic
3: P-Square – Bank Alert
4: Prokassy – Imma...

BIRTHDAY YA ALIKIBA YALIWA MBUGANI... TAZAMA BAADHI YA PICHA HAPA


15057149_1268301769906976_2175893254640238592_n
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Alikiba. Na kusherehekea siku hiyo muhimu kwake, muimbaji huyo mahiri alitumia private jet kwenda na timu yake ya Rockstar4000 akiwemo Barakah Da Prince kwenda mbugani. Chini ni picha alizoweka kwenye Instagram....

Watch & Download: Rich Mavoko_Kokoro Audio Making


Watch Here

MWANA FA: DUME SURUALI NI DARASA KWA VIJANA WA KIDIGITALI

MWANA-FA-12
Wimbo wa Dume Suruali ndiyo inawezekana ukawa msemo kwa Watanzania wengi kwa kipindi cha miezi kadhaa ijayo, hiyo ni kutokana na mashairi yaliyoandikwa na mtunzi wa wimbo huo, Mwana FA akimshirikisha V-Money.

Unazungumzia mwanaume anavyolalamika kulazimishwa kuhonga fedha kwa mwanamke. Mwan FA ambaye jina lake halisi ni bwana Hamisi Mwinjuma, amezungumza na kufafanua kile alichokiandika...

Watch & Download: B Gway ft Mee Brown_Nimepoa (Official Video)


Watch Here

Watch & Download: ChinBees_Ruba (Official Video)


Watch Here

HANSCANA AELEZA SABABU YA VIDEO ZA KIBONGO KUFANANA


Muongozaji wa video na mshindi wa Tuzo za Watu 2015, Hanscana ambae pia ametisha sana kwenye utengenezaji wa video mpya ‘Muziki’ ya Darasa, pia ndiye director anayekuja kwa kasi kutokana na ubora wa kazi zake.

Muongozaji huyo na mtayarishaji wa video nchini Hanscana, amesema sababu inayo pelekea video nyingi za bongo kurudiwa na kufanana ni kutokana na maamuzi na mapendekezo ya...

YOUNG KILLER: HAKUNA MSANII WA HIPHOP ANAYE LIPWA MIL 10 KWA SHOW

Young Killer
Msanii wa muziki wa hip hop nchini, Young Killer Msodoki amedai kuwa hali ya uchumi kwa wasanii wengi wa hip hop ni duni huku akidai hakuna msanii wa hip hop anayelipwa zaidi ya milioni 10 kwa show moja.

Rapa huyo alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV kuwa wasanii wa hip hop wanashindwa kutambiana kwa pesa kama wasanii wengine kutokana wengi wao kuingiza kiwango sawa cha pesa, Pia Killer amesema muziki wa sasa una changamoto nyingi na ili upate nafasi ni lazima...

VANESSA MDEE ATAJWA KUIGIZA TAMTHILIA YA MTV SHUGA HUKO AFRIKA KUSINI


Baada ya watu kibao kujitokeza kufanya audition ili kushiriki katika tamthilia ambayo imejishindia tuzo , Vanessa Mdee ametajwa kama moja ya washiriki ambao watahusika katika tamthilia hiyo ya Shuga sehemu ya tano.

MTV Shugar ni tamthilia ambayo inaelezea mapenzi, muziki, mahusiano na Drama ambavyo vyote hivi ni moja ya issue ambazo zinawazunguka watu katika maisha yao ya kila siku, baada ya season nne kufanyika Kenya na Nigeria, inakuja tena kwa...

CHRISTIAN BELLA: WIMBO WANGU NA KOFFI TULIUTOA BILA PLAN


14499068_1749552105295206_1176540174012645376_n
Christian Bella amefunguka sababu ya wimbo wake ‘Acha Kabisa’ aliomshirikisha Koffi Olomide kutofanya vizuri. Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Clouds E cha Clouds TV kuwa waliuuachia wimbo huo bila plan wala kuutangaza ndio maana haukufanya vizuri.

“Ngoma tulivyorekodi hatukuifanyia promosheni, siku zote muziki hauwezi kufa. Ninaweza kusema kuwa tuliitoa bila plan kwa sababu Koffi alikuwa anakuja ndio tukaitoa, lakini ngoma ni nzuri tukiifanyia kazi na tukiiboosti kwa...

YOUNG DEE AFUNGUKA UKWELI KUWA AMERUDIANA NA TUNDA

Ni kwamba habari ya mjini kwa sasa ni story kuhusu uhusiano wa kimapenzi uliokuwepo kati ya rapa Young Dee ambaye aliwahi kuwa na uhusiano na Video Queen Tunda waliyeacha baada ya kutoelewana kupelekana polisi.

Baada ya kuwepo taarifa kwamba Tunda ameachwa na mwanaume anayetajwa kuwa alikuwa akimgharamia kwa kila kitu ikiwemo kulipia nyumba, kununua magari na starehe zote alizokuwa akizifanya kila siku, ikaja kuonekana ameanza kuwa...

DIAMOND AWEKA REKODI HUKO UK ACHUANA VILIVYO NA BRUNO MARS

Nyimbo mpya ya diamond ft Neyo iitwayo marry you ambayo official release imeshaachiwa United Kingdom (UK) shiku chache zilizopita imeendelea kufanya vizuri kwenye vituo mbali mbali.

Katika nyimbo mpya zilizotoka hivi karibuni diamond amekuwa akichuana na Bruno mars na wimbo wake wa Chunky,
Katika nyimbo bora za wiki zilizotoka hivi karibuni marry you imeshika nafasi ya 2 nyuma ya Chunky iliyokamata namba 1 kwenye kituo cha beat london, na kuweka record ya kuwa...

GIGY MONEY: MAUNO YANGU YA MWENDO KASI YANAFANYA WASANII WANITAFUTE

Video queen ambaye haishiwi vituko, Gigy Money amefunguka kwa kusema kuwa mauno yake ya mwendokasi ndio kitu ambacho kinawafanya wasanii wengi wamtafute kwa ajili ya kufanya naye kazi.

Mrembo huyo ambaye pia ni mtangazaji wa Choice FM, amesema kuwa video queen ni kazi ambayo inalipa tofauti na watu wanavyofikia, “Unajua kazi yoyote ukiiheshimu ni rahisi nayo...

Monday, November 28, 2016

ALIKIBA AFUMBUA FUMBO LA DIAMOND KUHUSU PETE YA KIJANI


15056662_331170897262349_6840282975670632448_n
Je unaikumbuka kauli ya Diamond aliyoitoa wiki iliyopita kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM kuhusu pete ya kijani? Ngoja nikukumbushe japo kidogo kile alichokisema, “Mimi sina matatizo na watu ndio maana wakijaribu kushindana na mimi huwa wanashindwa. Hata ukiniangalia sina hata pete ya kijani kwenye vidole vyangu.”

Kumbe alikuwa amerusha jiwe gizani kwa upande wa pili. Inawezekana Alikiba ameshtuka hilo kutokana na...

NAVYKENZO WATANGAZA GHARAMA YA ALBUM YAO NA NAMNA YA KUIPATA


Ebhana AIM ndio album ya kwanza ya Afro pop ambayo inategemewa kutoka mwaka huu mwezi Disemba, na hii ikiwa katika kipindi ambacho wasanii wengi na record label hawaamini juu ya album kutokana na wasambazaji kuwa wachache.

Akiongea muhudumu wa mauzo ya Album ya AIM, amefunguka na kusema kwamba kwa sasa wanapokea pre order ila pia wameweka katika vituo mbalimali ambavyo vitakuwa ni...

Lyrics: Mwana FA ft Vanessa Mdee_Dume Suruali (Mashairi)

mwana-fa
Mwana FA
Hudat hudat hii ni salam na ufahamu
Kama unauza mapenzi siyo kwa binamu
Huna haja ya kusubiri hii ni hukumu
Hakuna kitu utapata utangoja kama askari wa zamu
Dume suruali dume kaptula
Shauri zako ilimradi sipati hasara
Usione utani me sihongi hata kwa ishara
Utaniambia nini mpaka unigeuze fala
Kwanza nasikia hongo zinaleta mkosi...

SOLID GROUND FAMILY WAKILI KUMDHURUMU MUHOGO MCHUNGU

 
Kundi la muziki wa bongo fleva Solid Ground Family ambao wameanza kitambo kwenye game ya muziki na mpaka sasa wapo kwenye game, wamekiri kitendo cha kumdhulumu muigizaji mkongwe wa filamu Muhogo Mchungu. 

Wakizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, wamesema deni hilo la Muhogo mchungu walilipata wakati wanaenda kufanya shooting ya video ya Bush Party' ambayo ni...

BARAKA THE PRINCE: MIMI SIYO TEAM KIBA NI SHABIKI WA DIAMOND



13703179_103549963432328_613728120_n
Kama ulijua Barakah The Prince ni team Kiba, utakuwa umekosea kwa mujibu wa muimbaji huyo. Hitmaker huyo wa Nisamehe adai kuwa hayupo team yoyote kati ya Kiba na Diamond ila anachotaka yeye ni mashabiki kutoka pande zote hizo mbili. 

“Mimi sina team kiukweli. Mimi ni shabiki wa Diamond lakini pia ni shabiki wa Ali. Diamond ameleta heshima kubwa kwenye muziki wa Bongo Fleva. Ali ni msanii mkongwe ambaye ameniispire sana kuingia kwenye huu muziki, lakini pia Diamond...

DIAMOND ATWAA TUZO NA NYIMBO YAKE YA KIDOGO ALIYO WASHIRIKISHA P SQUARE



14561853_125294524622138_3682255086983053312_n
Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya African Entertainment Legend Awards (AELA), za nchini Nigeria kwenye kipengele cha Best Collaboration (Africa) kutokana na wimbo wake Kidogo aliowashirikisha, P-Square. Tuzo hizo zimetolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria.

Kuhusu AELA
African Entertainment Legend Awards (AELA) is designed to recognize and celebrate personalities and entertainers who standout distinctively and remained consistent overtime in...

Watch & Download: Dj Maphorisa ft WizKid_Good Love (Official Video)


Watch Here

SHAA: NIPO TAYARI KUIMBA TAARAB


Baada ya kuachia ngoma yake mpya ‘Sawa’ iliyo tayarishwa na Shirko na kufanya vizuri katika chati za redio mbalimbali, na ngoma hiyo ilikuwa kazi ya kwanza kutoka chini ya label yake, SK Musik.

Msanii wa Kike wa muziki wa Bongo Flava, Sara ‘Shaa’ Kaisi, amesema kuwa yupo tayari kuimba wimbo wa Taarab endapo atapata...

RAPPERS 6 WA KIKE KUTOKA BONGO WAKUTANA KWENYE WIMBO MMOJA


e8f12581-36c5-4ffe-967a-9b3d58d7ce5b
Stosh, Cindy Rulz, Rosa Ree, Chemical, Pink na Tammy wataoonesha umwamba kwenye ngoma ya pamoja iitwayo ‘Hola Hola’ iliyotayarishwa na Nahreel. Wimbo huo uliopo kwenye mradi uliopewa jina Dada Hood utatoka Jumatano hii. Mtangazaji wa Clouds FM, Mamy Baby naye ameweka nakshi zake.

DOGO JANJA: KUNA WASANII WA NJE WANAAMINI WAKIHIT BONGO BASI WAMETOKA

Instagram photo by Real Account for Dogo Janja_BLM - JPG
Rapa kutoka Tip Top Connection, Dogo Janja ambae kwa sasa anafanya vizuri kwenye ramani ya mziki wake na hit single ya ‘KIDEBE’, katika chat za redio mbalimbali, Kupitia kipindi cha Face-Off cha Dizzim Online, Dogo Janja aliweza kuzungumza mengi kuhusu muziki wa Bongo Fleva pamoja na Hip Hop ya Bongo.

Janjaro aliweza kujibu moja ya swali alilo ulizwa, Kwa nini muziki wa Hip hop ya Bongo haujafika mbali kimataifa ukilinganisha na Bongo Fleva? alianza kujibu kwa kusema Tanzania kuna...

MWANA FA: DUME SURUALI ILIKUWA INAITWA SITOI HELA


15099330_914188058682108_8839950530995290112_n
Hapo mwanzo, wimbo wa Mwana FA, Dume Suruali ulikuwa ukiitwa Sitoi Hela. Akiongea kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz cha EATV wiki iliyopita, Mwana FA alidai kuwa Sitoi Hela ulikuwa na maneno makali kiasi ambacho kutokana na kuhofia kuwakera wanawake wengine alilazimika kubadilisha mistari mingi.

“Kuna kitu kilitokea huko nyuma mtaani, kuna neno ‘unajua bana sisi staff’ Sisi staff kwa maana ya kwamba unajua staff wale wanapanda kwenye daladala kwamba ‘mimi staff wa gari gani’ sasa wanakuwa hawalipi. So nikafiria...

KIWANDA CHA DANGOTE MKOANI MTWARA CHASITISHA UZALISHAJI

Kiwanda cha Saruji cha Dangote kimesitisha uzalishaji kutokana kuelemewa na gharama za uendeshaji hatua inayowaacha watumiaji wake njia panda.

Mwezi uliopita Kiwanda hicho kilililamikia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini(TPDC) kwa kushindwa kuwauzia gesi kwa bei rahisi wakati...

SABABU ZA MBEYA KUSHIKA NAFASI YA PILI KTK MIJI YENYE MAKANISA MENGI AFRIKA ZATAJWA

Jiji la Mbeya ni la pili kwa wingi wa madhehebu barani Afrika likiongozwa na Lagos lililopo Nigeria. Kwa mujibu wa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Paul Ntinika, jiji hilo lina makanisa 450 na Mtaa wa Sae pekee una madhehebu tisa huku Mtaa wa Simike ukitajwa kuongoza kwa vituo vya maombezi.

Meya wa Jiji la Mbeya, Mchungaji David Mwashilindi ambaye ni kiongozi wa Kanisa la International Evangerism Assemblies of God, amesema migogoro ndani ya...

JAY DEE ATUPA DONGO KWA WALIOFUTA SAUTI YAKE KWENYE NYIMBO ZAO

Wiki iliyopita, Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, alidai kuwa vituo vyake vinaweza kuanza kucheza kazi za Lady Jaydee iwapo akiwaruhusu wafanye hivyo.

Kupitia Instagram, Lady Jaydee ameijibu ofa hiyo kwa dongo lililowaendea wasanii waliowahi kumshirikisha kwenye nyimbo zao lakini kwa kuogopa kuingia matatani na...

Sunday, November 27, 2016

PICHA YA MOSE IYOBO AUNT EZEKIEL AKIWA MJAMZITO YAZUA GUMZO

Moja kati ya picha ambazo zimekuwa zikisambaa kwa kasi katika mtandao wa Instagram leo Jumamosi ya November 26 ni picha ya muigizaji Aunty Ezekiel pamoja na mpenzi wake Mose Iyobo.

Picha hiyo ambayo imepostiwa na baadhi ya watu ikiwemo Mose Iyobo mwenyewe inamuonesha Aunty Ezikiel akiwa mjamzito, kitu ambacho kimefanya...

SASA UNAWEZA KUMPIGIA KURA MSANII UNAYE MPENDA KWENYE EATVAWARDS HAPA

Related image

VOTE HERE

HAYA NDIYO MADHARA YA CHAI KTK MWILI WA BINAADAMU

madhara ya chai ya rangi
Kuna nini kibaya kwenye CHAI na KAHAWA?:
Kwenye chai na kahawa kuna kitu kinaitwa CAFFEINA/KAFEINA.
Kafeina ni nini?:

1. Kafeina ni madawa ya kulevya kundi la ‘Stimulants drugs’.
Hii ndiyo sababu kwa mtu aliyezoea kunywa chai hii kila siku au kahawa, siku asipokunywa kichwa humuuma, ni kwa sababu amekuwa...

MWANA FA: PESA SIYO KITU KWENYE MAHABA


Siku kadhaa baada ya kuachia ngoma mpya 'Dume Suruali', rapa Khamis Mwinjuma ‘Mwana Fa’ amesema kwenye uhusiano wa mapenzi fedha ni kitu cha ziada hivyo zisipewe kipaumbele. 
Kwa mujibu wa Mwana Fa kinachokamata mapenzi ni upendo, unapoona mwenzako anaendekeza zaidi fedha kuliko mapenzi ya dhati basi ujue kuna tatizo.
“Kwenye ‘Dume Suruali’ nimejaribu kuwatetea wanamume wenzangu ambao wanakumbana na...