Pages

Subscribe:

Thursday, November 24, 2016

CYRIL AFUNGUKA JUU YA UJIO WA KUNDI LA WAKACHA


Hit maker wa ngoma ya Shori Cyril Kamikaze amefunguka juu ya kurudi tena kwa kundi lao la muziki la Wakacha.

Akiongea na Clouds E ya Clouds TV Cyril amefunguka kuwa anachukizwa na tetesi zinazovuma kumuhusisha kuwa na utofauti na Jux, wakati mara kibao Jux anapokuwepo Tanzania huwa...
wanakuwa pamoja.

“Me na Jux hatuwezi kukutana tukapiga picha kwasababu tumesha zoeana sana, ila wanachotakiwa kukijua tu ni kwamba very soon tunarudi mtaani tukiwa na kazi 2 za pamoja na video ndio tuko tunashoot. Kwahiyo any time from now wategemee project mpya kutoka kwa Wakacha. Haziwezi kupita hata wiki mbili kuanzia sasa.” Alisema Cyril Kamikaze.

0 comments:

Post a Comment